tonii herrera
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 362
- 202
Wakuu hilo tatzo nami pia nilikua nalo,,na nlikua napenda punyeto haswaa,kwa cku napga zaid ya mara3 kw siku,nkaanza kuona madhara wakat nasex,yn ndan ya dakk 3-5 nakua nshamaliza yaan liwe goli la kwnza,la2 au la3,ndan ya dakk20 nakua cwez tena kuendlea na nguv kuniishia...nkaanza kutafta tiba ndipo nkajivunza baadh ya mazoez ya kurudsha nguv ya misuli
Na kuna watu wanamatatizo ya nguvu za kiume ila hawajawahi kupiga hy punyeto.. sometimes we believe what we want to believe
Fyi.. napinga punyeto kwa watu wazima
Upigaji punyeto ni sawa na ulevi Wa gongo,viroba,uvutaji unga,bangi nk.Hapa inahitajika elimu kwa sasa toka vyombo husika,maana hili jambo limeshika kasi sana miaka hii na ndiyo maana mada za punyeto ni nyingi sana kwenye mitandao,ni wakati sasa kwa wataalam wa magonjwa ya akili kuja upande huu kusaidia.
Huu bado haujawa utafiti kabisa na hauwezi ukatumia sababu madhara uliyoyaanisha(problems) kama ushahidi ni madhara uliyoyaona kwako tu kwa kuamini yamesababishwa na hiyo punyeto (this is not scientific hypothesis)
Sababu uliyotoa ya kuwa siku hiz mgumu kuelewa na msahaulifu sana tofauti na ulivyokuwa primary bado ni dhaifu sana ambayo haiwezi kuleta mantic kwa GT
Umesema huyo mke wako ndio mwanamke wako wa kwanza kufanya nae mapenzi baada ya kuacha nyeto sasa wewe umejuaje kama umeshuka kiwango ikiwa kabla ya hapo ujawai kufanya ngono coz technically kiasilia watu wengine goli moja tu ndio uwezo wao
Unazidi kunipa mashaka pale unaposema hauchezi gemu vizuri mpaka unye viroba hapa sioni uhusiano na punyeto sababu pombe (alcohol) siku zote inahamsha nyege pamoja na kuufanya mwili kufanya kazi kuliko kawaida yake kwenye 6×6 walevi watanisaidia hapa
Mie napinga sana upigaji punyeto kwa sasa ingawa nilikuwa mwanachama miaka hiyo ya uteenager na hapa nimekupinga sababu zako coz hazijakaa kisayansi hata kidogo..
TUPIGE VITA PUNYETO COZ SIO TENDO LA ASILI
Pole sana uniPM kuna dawa asili ya miti shamba itakurudisha kwenye hali yako halisi ya nguvu za kiume
After all punyeto is confidential .no one does publicly. How can you know some one does
Huu bado haujawa utafiti kabisa na hauwezi ukatumia sababu madhara uliyoyaanisha(problems) kama ushahidi ni madhara uliyoyaona kwako tu kwa kuamini yamesababishwa na hiyo punyeto (this is not scientific hypothesis)
Sababu uliyotoa ya kuwa siku hiz mgumu kuelewa na msahaulifu sana tofauti na ulivyokuwa primary bado ni dhaifu sana ambayo haiwezi kuleta mantic kwa GT
Umesema huyo mke wako ndio mwanamke wako wa kwanza kufanya nae mapenzi baada ya kuacha nyeto sasa wewe umejuaje kama umeshuka kiwango ikiwa kabla ya hapo ujawai kufanya ngono coz technically kiasilia watu wengine goli moja tu ndio uwezo wao
Unazidi kunipa mashaka pale unaposema hauchezi gemu vizuri mpaka unye viroba hapa sioni uhusiano na punyeto sababu pombe (alcohol) siku zote inahamsha nyege pamoja na kuufanya mwili kufanya kazi kuliko kawaida yake kwenye 6×6 walevi watanisaidia hapa
Mie napinga sana upigaji punyeto kwa sasa ingawa nilikuwa mwanachama miaka hiyo ya uteenager na hapa nimekupinga sababu zako coz hazijakaa kisayansi hata kidogo..
TUPIGE VITA PUNYETO COZ SIO TENDO LA ASILI
Kwa wote mlionipatia ushauri asanteni sana.
Dah nway Mkuu umezungumza kwa kuhisi tu na kusoma vitabu lakini hujazungumza uhalisia wa Jambo. Ni kwa sababu hujapitia effects anazopitia mtoa mada.
Kati ya mada realistic hapa jf basi hii ni mojawapo. Kuna rafiki zangu wawili mikoa tofauti na nyakati tofauti walishanihadithia the like. Na pia ukifatilia sana Habari za mahusiano story za hivi ni nyingi sana. Na scientifically proven. Ntarudi kuelezea..