.ingekuwa vyema ungeeleza hata hiyo life style mpya ikoje..ila nimemsoma kama kasema jamaa jogoo kuwika asubuhi ni kwa kubahatisha kiasi nataka kuamini huyu jamaa ni mgonjwa.

Kama jogoo kuwika asubuhi ni tabu hiyo ni shida nyingine labda alizaliwa na tatizo hilo na akalichagiza na upigaji punyeto. Life style nayozungumzia hapa ni ulaji wa vyakula vya asili visivyo na mafuta mengi, kufanya mazoezi kila siku atleast push ups na kata tumbo twice per day asubuh na jioni. Kunywa maji mengi na kuacha kabisa kutizama sexual contents.
 
Zaidi ya 90% ni tatizo la isaikolojia, nendeni hospitali vipimo vitfanyka na ushauri mtapata , atapona kabisa.
 
Amejibu kitu cha pweza.. ile supu iwe local isiwe na viungo.....apige hiyo mara kwa mara....itamuongezea handas
 
Mwambie aache kung'ang'ana kulitoa hilo tatizo
Akae kama miez flan hv bila kufikiria chochote,yan aenjoy life2,baada ya apo aanze masterbation bila kuangalia porno,kidogo2 baadae nawe uanze kufanya nae,
Ila nawe c unajifanya akikwambia2 unakurupuka kwenda kama umeitiwa hela unalinga kidogo af unasogea kidogo baadae,hiyo itamjengea
Koz kafikia state ambayo yuko aroused na porn2 na puchu bas yaan images and not bodies
Gudluck to ur boy lady
 
Hii ni excessive masturbation inayokwenda kuathiri mpaka ubongo jaribu kufanya utafiti kwenye mtandao utaona
Hii ni hali ya kawaida kwa wanaume wengi hasa wakifikia umri kama huo. Kuna msongo wa mawazo kuhusu maendeleo n.k. Ukitaka kumsaidia ni kujifanya huna hamu ya kulana taratibu mnajifanya mnacheza cheza halafu mtajikuta mambo yanajipa. Ukifanya formal approach hata siku moja hatasimamisha sawasawa (total erection) ila mkifanya informal approach itasimama tu.
 

Hili tatizo lipo hata kwa marijali, nitakupa story moja!!

Nilizoea kuwa na wapenzi wembamba tuu tangu naanza kujua swala la ngono. Nilikuwa nasikia tu wanawake wanene inabidi ushibe, uwe na mazoezi na nguvu na vitu kibao kwamba usipokuwa navyo huwezi kumridhisha mwanamke mnene.

Hamadi siku moja janamke neneee lina makalio kuleee, likanidondokea ghafla tena tulikuwa kwenye mafunzo so tulikuwa hotelini jioni. Sikutongoza ila tulijikuta tuu tunafikia kufanya ngono baada ya story kibao room kwangu.

Amini usiamini kwa sumu ya maneno niliyokuwa nimelishwa juu ya mwanamke mnene yaani ile nagusisha mbuny* na dud* yangu tu mzigo huooo.....!! Na haikunyanyuka tena mpaka asubuhi tunajiandaa kwenda mafunzo kitu imenyong'onyea tu. nilijisikia vibaya sana hasa nikizingatia mwanamke akikaa anga zangu nafumua mashuti mpaka amnaomba poo na bado niko fiti

Yule binti nahisi alinielewa sana, alitumia ile siku kuniriwadha na kunifanya nijihisi hakuna kosa lililofanyika. Siku nzima nilijaribu kuwaza nini kimetokea na kujaribu kuvuta hisia za ngono ili japo dud* isimame nijione mzima lakini wapiii....!! Tukiwa lunch aliniambia neno moja lililorudisha matumaini, "pale ulipoingiza tu dud* nikafika fastaa na wewe ndo unamaliza" yaani pale pale dud* hiyooo ikawa inatamani mechi na nahisi hisia zilipohisi kwamba nimemridhisha basi kisaikolojia nikakaa kawaida.

Tuliporudi hoteli jioni yaani nilimshika mkono moja kwa moja room na kazi ilikuwa ni bandika bandua mpaka alikimbia room.

Umeelewa kwa nini nimekupa hii story?? Uwezo wa kumrudisha normal huyo jamaa upo mikononimwako angalia anachohofia, kwa mfano ushasema anahofu utamuacha basi we jifanye umefika kwake hata unataka hata kuhamia kwake ili akuoe. Mfanye anachokifanya kuwa kinakutosheleza na unaridhika ili ajenge confidence iliyopotea. Ikishindikana hapo ana tatizo jingine, ila kama inasimama na kushindwa kuinuka tena ilo ni tatizo la hisia zaidi.

Jitahidi kuamsha hisia zake lakini pia kuhama mazingira inaweza kuwa suluhu ingine, mfano mnakutana anapopigia punyeto mara nyingi akili itakuwa kule kule kwenye athari za punyeto.

Halafu kuwa mtundu, wengine wanalalmika tu sijui goli moja basi lakini ye akifika room analala tu anasubiri kufanyiwa na kupokea dud*
 
Fanya hivyo then utanipa feedbacks,nilikua nayo nikafata maelekezo
 
PONDA GRM 200 KAROTI Boiled egg nusu, kjko 1 cha asali changanya pamja kula nusu saa kabla ya kulala endelea kwa mwz 1
 
Nyeto haiuwi mashine kiasi hicho. Ana tatizo lingine huyo.
 
Asubuhi akiamka jogoo wake anakuwa kawwika kama iilivyo kawaida yetu au yeye hawiki?

Mkuu kuna watu wakiamka asbh haisimami lakini kwenye game wanaperform vizuri tu. Labda ana tatizo la kuwa na hofu sana na kutokujiamini,hili linaweza kusababisha akaenda round moja tu then kitu kinalala.
 
Huo mchezo ukizidi sana huwa unaathiri sehemu ya ubongo,kuharibu nervs na misuli ya uume.ingekua ni madhara ya kisaikolojia zaidi,ni rahisi kupunguza tatizo,ila kama ni parts flani zimeathirika physically ni ngumu kulimaliza kabisa.
 
Mimi nilishawah kua muanga wa nyeto tangu primary o level high schooladi chuo nakumbuka kuna mzee aliniambia amua utaacha lakini Fanya sana mazoez Acha picha za ngono kula vitu vya asli mfano mboga mboga maziwa achana na mikaango kama ukidumu kwa mda wa miez mitatu jitahid ifike mitano ikibidi mwaka nilifanya hivyo kwa kua nia ilikua kuacha ili jogoo wangu awike kama kawaida Mungu mkubwa nilianza pata nafuu na kikubwa kilichonitesa ni kushindwa kumfikisha demu wangu kwa one against one labda mpaka nimmassage sana kwa namna flani mpaka afike ilinitesa lakini I thanks EPL ilinitoa mawazo sana na nilifanya mazoez kama nataka kushiriki mashindano ya kimataifa yani jioni ilikua lazima jogging believe me nilianza kusimamisha taratibu mpaka ikafikia wakati kama imechomelewa na nikawa nakung'uta mashuti nikiamka namuona mtoto anatabasamu basi naona dawa nikuzidisha mazoez mpaka sasa i.ekua kama sehemu ya utamaduni wangu Nb; usiache kula vitu asilia. kiukweli gharama ya kucure madhara ya nyeto ni kubwa please mwambie dawa ni mazoez siyo na kikomo na kula vitu aslia asiruhusu mawazo at oll utampenda huyo NISIKILIZE MIMI NILISHAWAHI TAABIKA kama huyo jamaa yani ulivyoweka hii thread umenikumbusha mbali sana.
 
Tatizo mmejipa cheo cha udaktari... mmeweka mawazo yenu kwenye ishu ya punyeto tu baasi. Erectile dysfunction inaweza kusababishwa na mambo zaidi ya 1000 duaniani hapa. Na kwa taarifa tu, probability ya hiyo kitu kusababishwa na punyeto ni ndogo sanaaa.

Uliza
 
Huo mchezo ukizidi sana huwa unaathiri sehemu ya ubongo,kuharibu nervs na misuli ya uume.ingekua ni madhara ya kisaikolojia zaidi,ni rahisi kupunguza tatizo,ila kama ni parts flani zimeathirika physically ni ngumu kulimaliza kabisa.

ni kweli ila ukiamua kuacha unapona kabisa.
 

Hujui unachoo ongea wewe kama we ni daktari pole sana rudi ukasome tena na waambie waliokufundisha wakufunze how to deal with fact na namna au uwaambie wakufundishe somo la mazara ya punyeto
 
Hujui unachoo ongea wewe kama we ni daktari pole sana rudi ukasome tena na waambie waliokufundisha wakufunze how to deal with fact na namna au uwaambie wakufundishe somo la mazara ya punyeto

Sawa dokta
 

Mshana, ni mitishamba gani unayoiongelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…