Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hata mimi nashangaa mkuu,sijui huu uongo na uzushi wanautoa wapi kuhusu punyeto. Sijawahi kupiga punyeto ila sio chanzo cha ED.

Nadhani haya ni mafundisho ya wale waganga wa kienyeji na madokta njaa wa tiba mbadala ukitembea kila mahala katika jiji la dar unawqkuta wamekusanya watu wanawaambia kua punyeto ndio chanzo cha ED wakati hata utafiti hawajafanya wala shule hawajaenda.

Watu wako addicted na illusion,chovjote ukiwambia wanaamini.

Tanzania idadi ya wajinga ni wengi mno.

Mbaya zaidi ni wako tayari kuamini chochote kile wakisikiacho bila hata kuhoji wala kujaribu kuutafuta ukweli wao wenyewe.

Siku hizi upatikanaji wa habari ni mrahisi mno.

Hivyo mtu kuendelea kuwa mjinga ni kujitakia tu.
 
Nimepaniki wapi?

Unajua maana ya kupaniki wewe au unatumia tu maneno bila hata kujua maana zake?

Hakika kama unaona nimepaniki basi wahi ukapimwe akili maana waweza kuwa na dalili za ugonjwa wa akili kwa sababu unaona maruerue.

Wewe Ngabu (hope unaelewa maanayake)....hivi kuona maruerue ni dalili za ugonjwa wa akili? Mh
 
Kaka it's not only masturbation but masturbation using pornography http://www.mensjournal.com/health-fitness/health/are-you-watching-too-much-porn-20130821
i hope now u understand what I mean

Kusoma na kuelewa...naona ndo tatizo lako na wengine!

Kama umesoma na kuelewa hiyo habari iliyomo kwenye hiyo link, hakuna conclusive evidence/ study/ or research inayosema kwamba punyeto na filamu za ngono zinasababisha ED.

Sasa nahisi pia huenda hata usijue 'conclusive evidence' ni nini. Unajua?
 
Wewe Ngabu (hope unaelewa maanayake)....hivi kuona maruerue ni dalili za ugonjwa wa akili? Mh

Haswa! Kuona maruerue [hallucinating] ni dalili ya ugonjwa wa akili.

Mtu anayeuliza maswali kwa utulivu kabisa wewe unaona eti kapaniki.

Kapaniki kitu gani sasa? Kama unaona kapaniki ilhali yeye katulia kabisa basi ndo maruerue yenyewe hayo maana unaona jambo ambalo kiuhalisia halipo bali lipo kichwani mwako tu.

Na sidhani hata una akili ya kuelewa nilichoandika hapo. Pole weee.
 
Purely private business. Hayatuhusu.
images
 
Mtafutie na karoti ili uwe unastua kwa nyuma usikute huyo boy wako tayali wanampumulia kwa kisogo
Jaribu uone ana react vipi? just do it as a puprise to him akimaind mpoze kwa lugha laini
Vnginevyo nakwambia huyo mboy wako si liziki..!!

Nyie ndio tukiwa kwenye vikao sensitive tunawatoa nje au tunawatuma mkalete soda kwasababu ya mawazo mgando kama haya!!! Mtu kashasema anaumwa alafu wewe unaleta ujinga wako hapa mbufuuu!!
 
pole sana, ushauri wangu mchukue, nenda naye kwa doctor atapata alternative huko.
 
Hahaha...JF buanaaa

Mtafutie na karoti ili uwe unastua kwa nyuma usikute huyo boy wako tayali wanampumulia kwa kisogo
Jaribu uone ana react vipi? just do it as a puprise to him akimaind mpoze kwa lugha laini
Vnginevyo nakwambia huyo mboy wako si liziki..!!
 
Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24) ni kijana mtanashati mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la erectile dysfunction(jogoo hawiki) yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak nikamuuliza nini tatizo hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically. Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani so i understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just bcz of the pressure ya kupona haraka

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ame loose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake kwahiyo muda wote he questions my true feelings jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida??na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is serious question) thanks in advance

pole kwa yaliyo kukuta Ila nitatizo dogo sana kama yupo serious azingatie ushauri wangu, mwambie aanze mazoez kama squatty. pullup, na atumie matunda kV. ndizi mbivu, karoti, na atumie sana tangawizi, pia afanye mazoezi. ya hisia yanaitwa kegel excirseze. yatamfanya awevizuri kitandani
 
Pia akapime moyo wake kama uko sawa pamoja na presha. Tafiti mbalimbali zimeonyesha kwamba ED ni indicator mojawapo nzuri sana ya matatizo ya moyo hata kama kwa sasa hayajionyeshi. Ndo maana kukata njia za mkato na kubugia ma-viagra inaweza kuwa hatari na wengi wameishia kupoteza maisha.

Halafu hiyo masturbation asiitumie kama kisingizio. Anaweza kuwa na matatizo mengine tu. Pia muulize logic yake ya kuingia katika mahusiano mapya wakati akijua kuwa jongoo lake halipandi mtungi. 30 years is too early kuwa na ED critical kiasi kwamba unashindwa kupiga goli angalau tatu...
 
mwambie ajaribu Mazoezi ya kegel, yataimarisha uume wake. Yanafanywa kwa kukanda uume kwa kutUmia mafata ya nazi au olive oil, Unayapàka viganjani halafu Unapasha Moto viganja then unajichua uume taratibu kwenye misuli yake asubuh na jion

Sidhani kama hii ndio kegel...
 
Erectile dysfunction
Alikuwa anapigaje masturbation while he is erectile dysfunction.?????

Erectile dysfunction kuna so many causes
Some are treatable some are not na halihusiani na masterbation kabisa
So kama anapiga punyeto lazima anasimamisha.
 
Suluhisho:

1. Aache kabisa kuangalia picha za ngono (pornography), aamue kuacha, akiwa mpweke ajiweke bize na shughuli nyingine ili kuepuka kishawishi.

2. Afanye mazoez ya kubana "jogoo" km vile mtu anayebana mkojo na wkt anabana ahesabu mpk ishirini halaf anaachia. Arudie mara kumi hata zaid mpk ishirini.

Mazaoezi haya afanye muda wa asubuhi na jion akiwa amekaa kwenye kiti.

3. Wakati anaendelea na hayo mazoez, atumie tiba ya mchanganyiko wa Kitunguu swaumu, Tangawizi na Asali. Matumizi, aponde vipande kiasi cha vitunguu pamoja na tangawizi halafu aweke maji achemshe apate glasi moja, halafu ikishachemka atoe jikon aweke kwenye kikombe na achanganye na Asali kijiko kimoja. Halafu anywe ikiwa vuguvugu.

Atumie hii dozi na mazoezi kila siku. Baada ya wiki 1 mpk wiki 2 ataona matokeo mazuri.
 
Mwambie aende ukerewe kuna babu ana kibeberu cha mbuzi kinatumika kuajust mashine mbovu kama hizo
 
Inakera sana kuwa na mwanaume wa hivyo, halafu utakuta wana wivu kweli kweli wakati hakutimizii unachotaka. Mi nilishakuaga na mpenzi wa hivyo yaani tulipendana nae saaana na pia alikuwa best friend sana lakini tukifika kitandani Zzzzzz inaweza usiamini mi siku ya kwanxa kama nilishikwa na butwaa lakini ndo hivyo nilimshauri ilishindikana na baadae nikaachana nae, niliona ni majaribu tu hayo niolewe nae halafu nianze kuwaone wivu wenzangu walioolewa na watu wenye vidudu imara.
 
Hii ni excessive masturbation inayokwenda kuathiri mpaka ubongo jaribu kufanya utafiti kwenye mtandao utaona

Hapo hamna cha masterbation wala nini. Tatizo lake huyo ni ukosefu wa lishe sahihi na mazoezi. Mwambie ale ugali wa dona kwa sana (aache kula chipsi yai) na afanye zoezi linalo toa effect kwenye nyama za tako, kiuno na nyonga mfano kucheza football hata 30mins mara 3 au 4 kwa week. Miezi minne tu utamkimbia kitandani.
 
Kusoma na kuelewa...naona ndo tatizo lako na wengine!

Kama umesoma na kuelewa hiyo habari iliyomo kwenye hiyo link, hakuna conclusive evidence/ study/ or research inayosema kwamba punyeto na filamu za ngono zinasababisha ED.

Sasa nahisi pia huenda hata usijue 'conclusive evidence' ni nini. Unajua?

Sawa nimekuelewa kwahiyo wewe unahisi tatizo ni nn?? Unaweza kutoa mchango wako labda ukasaidia
 
Erectile dysfunction
Alikuwa anapigaje masturbation while he is erectile dysfunction.?????

Erectile dysfunction kuna so many causes
Some are treatable some are not na halihusiani na masterbation kabisa
So kama anapiga punyeto lazima anasimamisha.

Yani mwanzoni alikuwa anapata erections vizuri tu na ndio akawa anafanya punyeto kutumia porn kwahiyo imemuathiri kisaikolojia amezoea kupata hisia kwa kutumia picha za kutazama na sio kwa kuona mwili wa mwanamke mbele yake sijui naeleweka au bado? ?
 
Kwa uzoefu wangu musterbation haiwezi kumuathiri kwa kiwango hicho, most likely alikuwa na hilo tatizo tangu kuzaliwa halafu likaja kuchagizwa na musterbation
Lakini pia ambalo ni la hatari zaidi kwa kesi chache nilizokutana nazo kuna watu wameathiriwa na hiyo hali mpaka wamekuwa na tabia za kishoga lakini kwa siri sana, yani starehe yake ni yeye kufanywa kwahiyo hata akiwa na msichana hainjoy kivile na hata erection ni tatizo
Fanya hivi kwa kuanzia mnapotaka kufanya ngono mshauri atumie Viagra, kama kweli ni tatizo la musterbation Viagra itafanya kazi yake
Lakini vilevile msidharau mitishamba kuna dawa nzuri sana huko na zisizo na madhara kama shida ni musterbation zitamponyesha kabisa
Kwa Kuongezea awe anatabia ya kulamba asali pamoja na kitungu maji kama akiweza kusaga akanywa kama juisi itamsadia sana pia vitu kama pili pili na vitunguu swaumu vitamsaidia na kila mwisho wa mwezi awe anakunywa dawa za kienyeji za kutoa sumu hasa za wamasai ttz lake hata miezi tatu halitaisha
 
Back
Top Bottom