Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata mimi nashangaa mkuu,sijui huu uongo na uzushi wanautoa wapi kuhusu punyeto. Sijawahi kupiga punyeto ila sio chanzo cha ED.
Nadhani haya ni mafundisho ya wale waganga wa kienyeji na madokta njaa wa tiba mbadala ukitembea kila mahala katika jiji la dar unawqkuta wamekusanya watu wanawaambia kua punyeto ndio chanzo cha ED wakati hata utafiti hawajafanya wala shule hawajaenda.
Watu wako addicted na illusion,chovjote ukiwambia wanaamini.
Tanzania idadi ya wajinga ni wengi mno.
Mbaya zaidi ni wako tayari kuamini chochote kile wakisikiacho bila hata kuhoji wala kujaribu kuutafuta ukweli wao wenyewe.
Siku hizi upatikanaji wa habari ni mrahisi mno.
Hivyo mtu kuendelea kuwa mjinga ni kujitakia tu.