Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kaaaaziiiiiiiiiiii kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara anakutana na hili liuzi humu, yani ndo mazima haitasimama tena!!!
btw... ka unaamini katika kristo, fanya maombi... hakuna lisilowezekana yeye ndo kamuumba na ndo anajua aluvyo
Well said bro!!ubarikiwe!!!Mimi nilishawah kua muanga wa nyeto tangu primary o level high schooladi chuo nakumbuka kuna mzee aliniambia amua utaacha lakini Fanya sana mazoez Acha picha za ngono kula vitu vya asli mfano mboga mboga maziwa achana na mikaango kama ukidumu kwa mda wa miez mitatu jitahid ifike mitano ikibidi mwaka nilifanya hivyo kwa kua nia ilikua kuacha ili jogoo wangu awike kama kawaida Mungu mkubwa nilianza pata nafuu na kikubwa kilichonitesa ni kushindwa kumfikisha demu wangu kwa one against one labda mpaka nimmassage sana kwa namna flani mpaka afike ilinitesa lakini I thanks EPL ilinitoa mawazo sana na nilifanya mazoez kama nataka kushiriki mashindano ya kimataifa yani jioni ilikua lazima jogging believe me nilianza kusimamisha taratibu mpaka ikafikia wakati kama imechomelewa na nikawa nakung'uta mashuti nikiamka namuona mtoto anatabasamu basi naona dawa nikuzidisha mazoez mpaka sasa i.ekua kama sehemu ya utamaduni wangu Nb; usiache kula vitu asilia. kiukweli gharama ya kucure madhara ya nyeto ni kubwa please mwambie dawa ni mazoez siyo na kikomo na kula vitu aslia asiruhusu mawazo at oll utampenda huyo NISIKILIZE MIMI NILISHAWAHI TAABIKA kama huyo jamaa yani ulivyoweka hii thread umenikumbusha mbali sana.
Well said bro!!ubarikiwe!!!
Mm pia ni muhanga wa hyo kitu, yaan maelezo yaliyotolewa hapo juu kuhusu jamaa na mm yanaendana kabisaaaaa. Ila kwa ulichokiandika nimeanza kukata tamaa ya kupona
Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24) ni kijana mtanashati mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha
Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la erectile dysfunction(jogoo hawiki) yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak nikamuuliza nini tatizo hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically. Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani so i understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just bcz of the pressure ya kupona haraka
Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.
Na pia tatizo jingine ni kuwa ame loose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake kwahiyo muda wote he questions my true feelings jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.
Sasa wadau swali langu ni je hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida??na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??
(This is serious question) thanks in advance
mbona watu tumepga sana masterbation na tukipewa mechivtupo vizur sana

Aisee, binafsi nimepiga sana puli na hadi sasa mara moja moja mpenzi wangu akiwa mbali najidunga, but haijawahi kunifanya kufikia hatua hiyo. kutakuwa na tatizo jingine tu kwa mtu wako may b tatizo la kisaikolojia, jaribu kwenda naye kwa madaktari wa saikolojia wanaweza kumsaidia!

Acha huo mchezo jitahid kwa miez ikibidi mwaka piga zoez unstoppable mfano jogging utakua polepole unaanza ona matokea ya kufurahisha zingatia kula vizuri hasa vyakula vya asilia zingatia Acha kutazama picha za ngono
Sasa jaribu hii,unapoona imenywea usimuache,ichukue uanze kuhangaika nayo vyoyote vile utakavyoweza ukifanikiwa hata mara moja kuisimamisha basi akili yake ita ji tune kuwa kumbe yuko fiti ,wewe usiishie hapo mpaka atakapokuwa hana hofu nawewe tena then itaacha hiyo hali tratibu, ila usiwe unamlaumu inapotokea ameshindwa kusimama endelea kumpa moyo.Ukitaka kujua hiyo hali siyo permamnent mwambie afanye masturbation utaona inasimama na anapata bao vizuri tu.Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha
Inakera sana kuwa na mwanaume wa hivyo, halafu utakuta wana wivu kweli kweli wakati hakutimizii unachotaka. Mi nilishakuaga na mpenzi wa hivyo yaani tulipendana nae saaana na pia alikuwa best friend sana lakini tukifika kitandani Zzzzzz inaweza usiamini mi siku ya kwanxa kama nilishikwa na butwaa lakini ndo hivyo nilimshauri ilishindikana na baadae nikaachana nae, niliona ni majaribu tu hayo niolewe nae halafu nianze kuwaone wivu wenzangu walioolewa na watu wenye vidudu imara.