Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Google mdalasini na asali...
pia tumia yai mbichi saba za kienyeji, gonga koroga changanya na habbatsoda kijiko kimoja kunywa mara mbili au tatu kwa wiki hadi upone angalau kwa mwezi mmoja au miwili
 
Sawa nimekuelewa kwahiyo wewe unahisi tatizo ni nn?? Unaweza kutoa mchango wako labda ukasaidia

Tatizo kwa kulingana na maelezo yako ni la kisaikolojia zaidi.

Dawa hapo ni kuacha na kuwa na subira tu.

With the passage of time na kwa vile bado umri wake ni mdogo [relatively speaking], basi sina shaka kuwa anaweza kurudia hali yake ya kawaida.

Lakini in the meantime, si vibaya kujaribu ED medicince kama Levitra, Viagra, na Cialis ili kuona ana perform kwa namna gani akitumia hizo nyenzo.

Na wewe kama unampenda kweli na una nia ya dhati ya kumsaidia, basi pia kuwa na subira na usionyeshe kukata tamaa. Kumkubali kwako nadhani kutaweza kumsaidia na kujenga upya imani yake kwake mwenyewe.
 
Huo mchezo ukizidi sana huwa unaathiri sehemu ya ubongo,kuharibu nervs na misuli ya uume.ingekua ni madhara ya kisaikolojia zaidi,ni rahisi kupunguza tatizo,ila kama ni parts flani zimeathirika physically ni ngumu kulimaliza kabisa.

Mm pia ni muhanga wa hyo kitu, yaan maelezo yaliyotolewa hapo juu kuhusu jamaa na mm yanaendana kabisaaaaa. Ila kwa ulichokiandika nimeanza kukata tamaa ya kupona
 
Suluhisho:

1. Aache kabisa kuangalia picha za ngono (pornography), aamue kuacha, akiwa mpweke ajiweke bize na shughuli nyingine ili kuepuka kishawishi.

2. Afanye mazoez ya kubana "jogoo" km vile mtu anayebana mkojo na wkt anabana ahesabu mpk ishirini halaf anaachia. Arudie mara kumi hata zaid mpk ishirini.

Mazaoezi haya afanye muda wa asubuhi na jion akiwa amekaa kwenye kiti.

3. Wakati anaendelea na hayo mazoez, atumie tiba ya mchanganyiko wa Kitunguu swaumu, Tangawizi na Asali. Matumizi, aponde vipande kiasi cha vitunguu pamoja na tangawizi halafu aweke maji achemshe apate glasi moja, halafu ikishachemka atoe jikon aweke kwenye kikombe na achanganye na Asali kijiko kimoja. Halafu anywe ikiwa vuguvugu.

Atumie hii dozi na mazoezi kila siku. Baada ya wiki 1 mpk wiki 2 ataona matokeo mazuri.

Safi sana mkuu.
Mm pia ni muhanga.. kwa hii njia yako nitaanza kuitumia kuanzia kesho. Maana nimefatilia sana haya maswala ya kurudisha nguvu lkn nimeanza kukata tamaa. ila kwa ushauri wako nahisi nitapona fasta
 
Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24) ni kijana mtanashati mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la erectile dysfunction(jogoo hawiki) yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak nikamuuliza nini tatizo hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically. Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani so i understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just bcz of the pressure ya kupona haraka

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ame loose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake kwahiyo muda wote he questions my true feelings jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida??na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is serious question) thanks in advance
Elimu ni muhimu
 
Pole ingawa umeeleza tatizo moja, lakini nimegundua wewe unatatizo jingine la lugha. Kiswahili na Kiinglish ulichoandika ni shida.
 
Labda mngebadili timetable yenu na mjaribu kudandiana wakati wa asubuhi, muangalie itakuwaje.
 
Trap-Queen that can't trap a 'little guy'? Pardon my manners, but what do you trap mi-lady?
 
My dear, kupenda kuna dwfinitions nyingi sana.
Ushauri wa haraka kwa hapa sidhani kama upo kwa mapana yake.

Ila wewe kama unatafuta mwenzi wa maisha tafuta anayekufaa wewe. Make sure anazo qualities unazohitaji kwenye future yako.
Inawezekana kuwa unatamani kujitoa sadaka pia mi poa as long as hutatumia hio sadaka kutafuta sifa au sympathy au kimdharau kaka wa watu.
Wewe sio nesi wala daktari wake.
Commitments baina yenu ziwe kuheshimiana kuaminiana kutunzana regardless.
Mapungufu ambayo najua na wewe unayo kama yeye ni muhimu msiyaweke mbele kama mnajikuta yanakaa mbele na hamna mamno mengine mazuri mnayopeana sidhani kama mtaishi kwa raha.
Ila pia kwa sie wakristu ndoa isiokuwa na tendo la ndoa sio ndoa.
Tafakari umamuonaje huyo kaka

-Ni mtu asiyeweza ku do? Unaogopa kumuacha asipate shida au wewe usikose mwingine? Usivunje ahadi? Usisemwe kuwa unachukia walemavu? Usiambiwe umeshindwa?
-Au ni mtu unayempenda anayekupa mapenzi na kukusuport mambo mengi na ukiwa nae unafurahi? Akiondoka unammiss? Mkiwa pamoja mnakuwa na nguvu ya mambo mengi? Anakujenga na wewe unamjenga?

hapo umempa general definition ya yeye kujitambua nini maana ya mapenzi. sasa akishajitambua ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kumsaidia mwenzi wake. ila kama wadau wengine wanavyosema hili jambo ni mind set tu. linatokea wengi na wengi huwa wanaweza ku overcome na kusahau yote. naamini huyo jamaa ana kitu fulani kipo kichwani mwake anashindwa namna ya kukitoa.. hiyo hali ndio inamsababishia psychological problems na kushindwa ku achieve full errection. watu kama hawa kama hana matatizo ya impotency huwa wakiwa usingizini huwa wanapata full errection coz akili inakuwa imetulia. au akiwa alone anapata full errection coz anakuwa hana wa kumuhofia.. au akiona demu mpya anapata full errection ghafla kwasababu anakuwa amemtamani. ndio maana nasema haya mambo ni mind set. ukikosea step ukajikuta umemsema vibaya kwa hiyo hali utakuwa umemmaliza kabisa..

afanye mazoezi na kula vizuri ili ajenge akili yake kuwa hiyo errection imesababishwa na mazoezi au vyakula vizuri anavyokula.. (aphrodisiac foods)
 
Unaonekana unaogopa mitishamba katika vitu vinavoweza kumrejesha basi ni hilo la mitishamba na baadhi ya matunda,asali mbichi,mayai sjui huwa wanachanganya na nn wenyewe but awaone wahusika kibaya ya dawa za kiswahili ukiwa huoni kinachochanganywa nn ajitajidi kuona vinavochanganywa kwa vitu asilia au apewe list atengeneze mwenyewe atakuwa poaa tuu
 
Pole sana, ila mshauri awe anakula vyakula vya asili.

Hili pia liwe fundisho kwa wanaume wengine wanaopiga nyeto. Nyeto si nzuri kwa afya. Fanyeni mazoezi na msifikirie ngono.
 
Pole sana, umepata ushauri mwingi na mzuri, ila uvumilivu wako na kumpa confidence kutamsaidia kumuondoa kwenye hilo tatizo lake kirahisi zaidi..Hongera ur strong woman wengine wanakimbiaga
 
Masturbation cannot reach to that extent. He's hiding something. The moment you stop masturbating for one month, everything comes back to normal. Try to undress infront of him then see what happens. If he doesn't react, try to give him some alcohol. If again nothing happens, kuna mzizi flani ivi maasai wanauza. Trust me you will mourn to your loudest voice.
 
Mtafutie na karoti ili uwe unastua kwa nyuma usikute huyo boy wako tayali wanampumulia kwa kisogo
Jaribu uone ana react vipi? just do it as a puprise to him akimaind mpoze kwa lugha laini
Vnginevyo nakwambia huyo mboy wako si liziki..!!
Sio lazima ku-comment.Ungeweza kukaa kimya tu kuliko kuandika utumbo wako hapa.Staarabika hata kidogo
 
Pole mamiii kwa matatizo ya shemejii bt usikate tamaa,jaribuni kutembelea hizi herbal clinick hakika Mungu atawasaidia
 
USIPATE SHIDA MKUU:
kama hayo uliyoshauriwa hayajafanya kazi...
Option 1: Aende tu Arusha eneo la Ngaramtoni,Simanjiro n.k kuna Wamasai wanauza mizizi flan unachanganya kwenye chai ya rangi,watakupa na mafuta ya ng'ombe(samli) mpe atumie siku 3 tu halafu utatuletea majibu hapa.

2nd option: Afanye mazoezi haswa na atoke jasho at least mara 3 kwa wiki,kisha katika mlo wake awe anajumuisha Kitunguu swaumu + tangawizi mbichi pamoja na vijiko viwili vya asali mbichi pia kila siku asubuhi kabla ya chai. Maji mengi pia yatamsaidia.

Pia Ajiamini kuwa anaweza kukuridhisha.

NAAMINI ATAKUWA ZAIDI YA ZAMANI. MBARIKIWE.
 
Back
Top Bottom