Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kumbe chaputa mpo wengi hivi

Wanaume kamili tunazidi kubaki wachache sana

Ila poa adui muombee njaa wake zenu watatukoma
 
we piga tu wasikutishe kaka!
mboni hata baadhi ya vigogo wa "siri Kali" nao wanapigaga!
cha msingi usitumie sabuni zenye kemikali maana dudu itaiva kama nyanya..!
mi huwa napigiaga kondom na nilisha toboa tundu kwenye godoro huwa naingizaga hapo wala sipigii mikono!
# mabadiriko hayaepukiki.

Ama kweli we mbwa dume, mkeo hajajua hilo tundu, umenikumbusha enzi ya utoto duh, litakuwa na harufu hilo.
 
Ni tabia ambayo nimeianza mara baada ya kugundua wanawake wa siku hizi ni full stress na walishanitenda, halafu pia nimegundua nabana matumizi kwakuwa sihongi tena, sana sana gharama ninazozipata ni kununua tu sabuni za vipande ambazo huwa nazitumia katika kuzipigia punyeto.

Nina miaka mitatu sasa sifanyi ngono na mwanamke na badala yake napiga tu punyeto, na nakumbuka kwa siku tano zilizopita nimepiga mno punyeto na tokea jana naona kuna hitilafu katika uume (mchi) wangu ambapo sasa kuna vipele na vinaniwasha.

Wana wapiga punyeto wenzangu, naomba msaada wenu katika hili, au kwa wale mliobobea katika masuala ya afya hii ya uzazi naomba ushauri wenu kwani ile sehemu yenye vipele inaniwasha mno halafu tokea asubuhi nimepatwa na hamu tena ya kupiga punyeto ila nashindwa kwakuwa nikipaka tu sabuni tayari kwa kupata utelezi, uume wangu, hasa ile sehemu yenye vipele inawasha vilivyo.

Msaada wenu tafadhali, nitawashukuru nikijua nina tatizo gani na tiba yake ni nini. Niokoeni jamani members!​

Mie nakushaurin onana na daktari kwa ushauri, na pia achana kabisa na punyeto, kwan inamadhara zaid ya unavyofikilia hasa ugumba ukizingatia stegi uliofika wewe n mbaya sana.

kwa hyo acha hyo tabia ili ufanikiwe hili, tafuta mwanamke, fanya mazoezi, acha kuangalia pono, usipende kukaa mwenyewe hasa unapohisi kupiga punyeto.

Huo ugo
 
we piga tu wasikutishe kaka!
mboni hata baadhi ya vigogo wa "siri Kali" nao wanapigaga!
cha msingi usitumie sabuni zenye kemikali maana dudu itaiva kama nyanya..!
mi huwa napigiaga kondom na nilisha toboa tundu kwenye godoro huwa naingizaga hapo wala sipigii mikono!
# mabadiriko hayaepukiki.

Ama kweli we mbwa dume, mkeo hajajua hilo tundu, umenikumbusha enzi ya utoto duh, litakuwa na harufu hilo.
 
Mwanangu siku nikikufumania kwenye hako ka mchezo nitakuweka henzerani barabara.mimi ningeendekeza hilo gemu ningemwoa mamako?je wewe ungezaliwa?unaninyima wajukuu hivi hivi.acha mara moja.
 
😆😆😆 kichwa cha Habari tu kimenivunja mbavu hata sijasoma content .......badilisha demu wako huyo Mche wa sabuni ya KUKU sio mzuri kwa afya ..mpige sound Cocoa butter akikubali endelea kujiumiza tu na mikono yako
 
bigi wasikudanganye,we endelea kupiga tu kwa hilo utakuwa ulitumia sabuni yenye kemikali tu,hataa mii iliwahi nitokea ck moja dudu iliwaka moto wiki nzima haisimami nikikojoa ni moto tu kumbe nilitumia sabuni Fulani inaitwa Revlon,mbaya sana hii nikiionaga tu Dukani hilo duka sinunui kitu hata km Nina shida zingine.,au badili style Mimi siku hizi napga ile ya kibaskeli na mpenzi mende tu,style ya nyanga niliacha
 
Ni tabia ambayo nimeianza mara baada ya kugundua wanawake wa siku hizi ni full stress na walishanitenda, halafu pia nimegundua nabana matumizi kwakuwa sihongi tena, sana sana gharama ninazozipata ni kununua tu sabuni za vipande ambazo huwa nazitumia katika kuzipigia punyeto.

Nina miaka mitatu sasa sifanyi ngono na mwanamke na badala yake napiga tu punyeto, na nakumbuka kwa siku tano zilizopita nimepiga mno punyeto na tokea jana naona kuna hitilafu katika uume (mchi) wangu ambapo sasa kuna vipele na vinaniwasha.

Wana wapiga punyeto wenzangu, naomba msaada wenu katika hili, au kwa wale mliobobea katika masuala ya afya hii ya uzazi naomba ushauri wenu kwani ile sehemu yenye vipele inaniwasha mno halafu tokea asubuhi nimepatwa na hamu tena ya kupiga punyeto ila nashindwa kwakuwa nikipaka tu sabuni tayari kwa kupata utelezi, uume wangu, hasa ile sehemu yenye vipele inawasha vilivyo.

Msaada wenu tafadhali, nitawashukuru nikijua nina tatizo gani na tiba yake ni nini. Niokoeni jamani members!​

Mbona hujanifikia hata robo
 
Back
Top Bottom