Punyeto ni nini na nini madhara yake?
ulikuwa unapiga mara ngapi kwa siku mkuu...pole sana ila suluhisho ni ww kuacha kwa dhati na kuhakikisha unakua na mpenz wako na ufanye nae mara kwa mara huku ukimueleza ulikua una tatzo ilo aweze kukusaidia....kikubwba una hofu so unatakiw autibu iyo hofu...najua punyeto huwa haiachwi inapumzishwa tu kwa muda....jitahd uoe pia...mboga za majan na matunda ni dawa pia..

Na afanye mazoezi pia kama kukimbia walau mara mbili kwa siku
 
nilinza kupiga punyeto tangia 2008 Niko form one mpaka 2011. hapo ndipo nilipoacha. lkn hata hivyo nilikuwa tayari nimeshaathirika kwa mambo yafuatayo
1.uume umekuwa mdogo ukiwa haujasimama unakuwa kama wa mtoto mdogo lkn ukisimama unakuwa wa kawaida
2.namaliza mchezo yaani (orgasim) kwa mda wa dk 1au moja na nusu na baada ya hapo huwa siwezi kurudia tendo tena.
3.ukiwa unatoa shahawa unahisi maumivu makali kwenye njia ya mkojo.
4.lkn pia nikiwa nakojoa vile vile nahisi maumivu makali chino ya tumbo na kwenye kinena.
Nimetumia sana dawa lkn sijaona suluhisho
naombeni ushauri nifanye nn ili niponee
asante ni sana.

Hizo shahawa hazizalishi kwani! Au unataka tiba ya nn?
 
Kwa huu uzi nimepata uwoga

Wapiga punyeto ni wengi sana na linaweza kua janga la taifa

Ila punyeto ni ujinga na upuuzi mkubwa ni kama umeshindwa kuzicontrol hisia zako na hutaweza kucontrol chochote hapa duniani.

Mimi nshapiga punyeto pia sana ila kabla haijaniathiri nliamua kusema basi sitaki tena na nikaiacha kirahisi tu kama nlivyoanza kirahisi sijapata faida yoyote kupiga punyeto na sijapata hasara yoyote kuiacha

Just say NO to "punyeto" maybe 2 times per month whatever necessary!!
 
Ingia Google andika Green World Vigpower......utapata maekezo yake jnc itakavyo kusaidia........pia ukiitaka ikiyo elezewa kwa kiswahili nchek whatsup nikutumie 0714.912.390
 
Habari wakuu,

Nilitaka kujua ni madhara gani mtu anayopata kwa kupiga punyeto kwa muda mrefu? Mfano miaka mitano na kuendelea na nini faida zake kwa tendo hilo?
 
Utapata magonjwa ya neva na mwisho kufa kabla ya wakati wako.
 
faida hupati ukimwi utaish miaka ming
penz binafsi lisilokua na gharama
 
Humu ndani watu wametoa ushuhuda jinsi punyeto inavyoeffect perfomance on bed be careful
 
Back
Top Bottom