Na afanye mazoezi pia kama kukimbia walau mara mbili kwa siku
 

Hizo shahawa hazizalishi kwani! Au unataka tiba ya nn?
 
Kwa huu uzi nimepata uwoga

Wapiga punyeto ni wengi sana na linaweza kua janga la taifa

Ila punyeto ni ujinga na upuuzi mkubwa ni kama umeshindwa kuzicontrol hisia zako na hutaweza kucontrol chochote hapa duniani.

Mimi nshapiga punyeto pia sana ila kabla haijaniathiri nliamua kusema basi sitaki tena na nikaiacha kirahisi tu kama nlivyoanza kirahisi sijapata faida yoyote kupiga punyeto na sijapata hasara yoyote kuiacha

Just say NO to "punyeto" maybe 2 times per month whatever necessary!!
 
Ingia Google andika Green World Vigpower......utapata maekezo yake jnc itakavyo kusaidia........pia ukiitaka ikiyo elezewa kwa kiswahili nchek whatsup nikutumie 0714.912.390
 
Habari wakuu,

Nilitaka kujua ni madhara gani mtu anayopata kwa kupiga punyeto kwa muda mrefu? Mfano miaka mitano na kuendelea na nini faida zake kwa tendo hilo?
 
Utapata magonjwa ya neva na mwisho kufa kabla ya wakati wako.
 
faida hupati ukimwi utaish miaka ming
penz binafsi lisilokua na gharama
 
Humu ndani watu wametoa ushuhuda jinsi punyeto inavyoeffect perfomance on bed be careful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…