Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kama tatizo lako ni kwamba baada ya kuoa unaona mke wako hakutoshelezi kama unavyoeleza (hana pumzi za kukutosha kukuhimili), ongeza bendi ya pili.
 
Kama tatizo lako ni kwamba baada ya kuoa unaona mke wako hakutoshelezi kama unavyoeleza (hana pumzi za kukutosha kukuhimili), ongeza bendi ya pili.
<br />
<br />
hapa bhana tatizo co bend tatizo la punyeto ukizoea tab yake kwamba punyeto unaibana sana mashine ila ya mwanamama inakuwa inapwaya unaeza kaa masaa unatafuta kimoja 2. So inabid aache 2 nyeto na kurudisha iman kweny jumba la raha. Bendi italeta tatizo.
 
We brother unahitaji msaada wa Mungu, nenda kwa walokole unaweza ukasaidiwa..!
 
Umenifanya nicheke kwa nguvu arifu, pole sana..

Labda kwa kukushauri, pale hali inapokuwa mbaya usikae eneo ambalo utakuwa peke yako, unaweza kwenda uwanjani ukafanya mazoezi ambayo yatasaidia kuifanya miguu isikaze kama unavyosema.
 
ha haaaa haaaaaa haaaaa................daaaah utu uzima wote huo,ila sio iiishu mkuu jitahdi uache, pole sana
 
Pole sana mkuu, huwa unapiga punyeto na nini Sabuni au Kavu Kavu? Kuna mabingwa wengine wanapiga na Lotion
 
Pole sana, ingawaje mie naona sio tatizo unataka kujinyima raha bure bila sababu. Kwanza kujichua hauhitaji condom, hakuan kuambukizana magonjwa na wala mimba zisizotarajiwa, haki ya nani ukiacha na hivi mkeo hana pumzi utaishia kutafuta vipozeo nje na hatari yake unaijua.

Dawa yake hapa ni kutafuta lishe inayoongeza uzalishaji wa mbegu zako na utapiga mzigo bila taabu; kwa kuanzia tumia raw protein (mf. supu ya karanga ambayo imechemshwa kidogo bila kuiva sana utaona matokeo yake)
 
Duh!!!!punyeto ina raha yake!!!inabidi uvumilie,fanya mazoezi kwa sana,jichanganye na watu,jaribu kuji'keep' busy,shiriki katika jumuia mbalimbali!!!!!!!taaratibu mawazo yataondoka!!!!mkeo alichangia sana kuku'adict' kwenye punyeto,isingependeza sana akulaumu,sanasana,ajaribu kukushauri na kuwajibika ipasavyo uwanjani ili aweze kukuondoa huko!!!
 
Harafu una bahati/ nzuri unagongana sana na mazingira yanayokutaka uzidi kuipenda punyeto
 
Pole sana, ingawaje mie naona sio tatizo unataka kujinyima raha bure bila sababu. Kwanza kujichua hauhitaji condom, hakuan kuambukizana magonjwa na wala mimba zisizotarajiwa, haki ya nani ukiacha na hivi mkeo hana pumzi utaishia kutafuta vipozeo nje na hatari yake unaijua.

Dawa yake hapa ni kutafuta lishe inayoongeza uzalishaji wa mbegu zako na utapiga mzigo bila taabu; kwa kuanzia tumia raw protein (mf. supu ya karanga ambayo imechemshwa kidogo bila kuiva sana utaona matokeo yake)

Mkuu, tuache maskara, kwa kiwango nilichofikia siyo starehe tena bali ki karaha, Nguvu zipo za kutosha tatizo wataalamu wanadai mbegu zenye uwezo wakupevusha yai la mwanamke ni zile zilichukua siku 5 na kuaendelea....

Sasa kasheshe ni mimi kuvumilia hizo siku tano pasipo kujichua, nimeanza mazoezi ya kuacha hii kitu na leo niko siku ya 4 ,misuli inashika ile mbaya na mda mwingine makoti yanakuwa kama yamekufa nganzi vile...


Ushauri wako nitaufanyia kazi ndugu,shukrani sana.
 
Duh!!!!punyeto ina raha yake!!!inabidi uvumilie,fanya mazoezi kwa sana,jichanganye na watu,jaribu kuji'keep' busy,shiriki katika jumuia mbalimbali!!!!!!!taaratibu mawazo yataondoka!!!!mkeo alichangia sana kuku'adict' kwenye punyeto,isingependeza sana akulaumu,sanasana,ajaribu kukushauri na kuwajibika ipasavyo uwanjani ili aweze kukuondoa huko!!!

Ili la mazoezi ni zuri, wiki hii tunayo..... Na wajibika vizuri sana tu hadi waifu anaridhika kwa hilo, shida ni kwamba hili tendo la kujichua linafanya mbegu zangu zisiweze kukomaa na kuwa na uwezo wa kupevusha yai na hivyo kusindwa kutunga mimba....
 
kutwa mara 3 kama vile milo,nilijichua asubuhi/mchana na usiku...

Kwa hiyo jamaa hafanyi kazi, au wakati wa kazi anachomoka kwenda kujichua? I can imagine namkuta boss wangu anajichua napiga picha kwa simu yangu na kusambaza kwa wafanya kazi wote.
 
Pole sana mkuu,lakini dawa yake ni ndogo tu,nenda kwenye Kanisa lolote la kilokole lililo karibu nawe ukaombewe,kwa Jina La Yesu Utaacha mchezo huo mchafu
 
wkt tunasoma ilikuwa inaitwa 'puli' au 'puchu'na Nakumbuka kuna jamaa walikuwa wanaipiga kwa sabuni,babycare na kuna mbae mmoja alikuwa anapiga na mkono mkavu na anaweza kupiga uwanjani tukiangalia mpira yeye akiona demu dk. 2 tu kesha...z, duh, Kaka, hilo ni tatizo, jitahidi sana kumwomba Mungu uache hiyo tabia...
 
mhh umentisha kweli kijana saa unaposema asbh,mchana na jioni we hufanyi kazi au unapigia hata job,kwann mkeo asikupe asbh basi ukapunguza hamu manake hapo ishu ni kuejaculate, nadhani cha msingi jiulize unapopiga nyeto unafaidika nn? kama jibu hakuna basi acha vumililia unajpunguzia siku za kuishi kwani nyeto inamaliza nguvu sana.we kula tundi kwa wife inatosha ukitoka job pitia bar au club kaa na wenzio pata 2 tatu then rudi home malizia raha kwa wife ulale.hii inaisha tu kama walivosema wenzangu hapa jf epuka kujitenga.
 
mpendwa,

japo mi si daktari, kwanza nipingane na wewe kuwa misuli ya miguu inakakmaa kwa sababu ya kujichua na kuwa unashindwa kutungisha mimba kwa sababu hiyo, eti mbegu hazipati muda wa kukomaa. hayo mawili si kweli (ila niko tayari kujifunza toka kwa wataalamu).

nijuavyo mimi, mbegu hutoka zinapokuwa zimezalishwa na zimehifadhiwa kwenye vifuko vyake. hapo unahitaji lishe tu kuweza kuwa na mbegu za kutosha. si kweli kuwa kutoa mbegu (iwe kwa kujichua au kwa ngono) kunasababisha zitoke kabla hazijakpmaa vya kutosha. mbegu si matunda kwamba zinahitaji kuvundikwa. Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana, kwamba zikiwa tayari kutoka huwa ziko tayari, hasihitaji kuvundikwa ili ziive au zikomae, mbegu za baba hazihitaji kukomaa bali yai la mama. kwa hilo ondoa hofu na unaweza kwenda hospitali pamoja na mkeo mpimwe wote ili kujua ukweli ni kwa nini hamtungishi miba.

kuhusu tabia sugu ya kujichua, hizo ndizo hasara za kumkaribisha shetani moyoni mwako, hata unapotaka kumfukuza anagoma kutoka. kujichua ni matokeo ya tamaa ya ngono katika umri mdogo ambao huwezi kuoa/kuolewa. imeandikwa, "unapojaribiwa usiseme unajaribiwa na Mungu, bali mtu hujaribiwa na TAMAA yake akisha kudanganywa na ibilisi"

nakushauri umrudie Mungu na kwa kuwa umeishaoa, ikubali SOLUTION ya Mungu kwamba mkeo ndio kimbilio lako kwa mahitaji kama hayo ya kupambana na ashiki. kama ni kutwa mara tatu mara kumi au mara ngapi, mueleze na naamini atakuelewa tatizo lako na mtakubaliana.

hapa hutapata msaada wa kukusaidia sana zaidi ya ule utakaopata kwa mkeo. jiamini na muamini Mungu na muamini mkeo.

hakuna lisilowezekana kwa Mungu

ubarikiwe sana mpendwa

glory to God!
 
mpendwa, japo mi si daktari, kwanza nipingane na wewe kuwa misuli ya miguu inakakmaa kwa sababu ya kujichua na kuwa unashindwa kutungisha mimba kwa sababu hiyo, eti mbegu hazipati muda wa kukomaa. hayo mawili si kweli (ila niko tayari kujifunza toka kwa wataalamu). nijuavyo mimi, mbegu hutoka zinapokuwa zimezalishwa na zimehifadhiwa kwenye vifuko vyake. hapo unahitaji lishe tu kuweza kuwa na mbegu za kutosha. si kweli kuwa kutoa mbegu (iwe kwa kujichua au kwa ngono) kunasababisha zitoke kabla hazijakpmaa vya kutosha. mbegu si matunda kwamba zinahitaji kuvundikwa. Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana, kwamba zikiwa tayari kutoka huwa ziko tayari, hasihitaji kuvundikwa ili ziive au zikomae, mbegu za baba hazihitaji kukomaa bali yai la mama. kwa hilo ondoa hofu na unaweza kwenda hospitali pamoja na mkeo mpimwe wote ili kujua ukweli ni kwa nini hamtungishi miba. kuhusu tabia sugu ya kujichua, hizo ndizo hasara za kumkaribisha shetani moyoni mwako, hata unapotaka kumfukuza anagoma kutoka. kujichua ni matokeo ya tamaa ya ngono katika umri mdogo ambao huwezi kuoa/kuolewa. imeandikwa, "unapojaribiwa usiseme unajaribiwa na Mungu, bali mtu hujaribiwa na TAMAA yake akisha kudanganywa na ibilisi" nakushauri umrudie Mungu na kwa kuwa umeishaoa, ikubali SOLUTION ya Mungu kwamba mkeo ndio kimbilio lako kwa mahitaji kama hayo ya kupambana na ashiki. kama ni kutwa mara tatu mara kumi au mara ngapi, mueleze na naamini atakuelewa tatizo lako na mtakubaliana. hapa hutapata msaada wa kukusaidia sana zaidi ya ule utakaopata kwa mkeo. jiamini na muamini Mungu na muamini mkeo. hakuna lisilowezekana kwa Mungu ubarikiwe sana mpendwa glory to God!
Dada yangu tatizo la kutotungisha mimba katika case hii ni kutokukomaa kwa mbegu. Naomba tu aelewe hivyo nisingependa kutumia maneno mengi kukuchanganya bure. Mbegu huendelea na process za upevukaji katika safari yake yote ya kwenda kufanya fertilization. Ujue kwamba kinchozitoa mbegu ni muscle contraccion wakati wa orgasm na hivi huweza toka hata kama hazijawa tayari muda wowote huo zikikurupushwa na hii orgasm. Swala la misuli ya miguu ni justifiable kwa kuwa kuna hormone kibao zinazohuska na nguvu za misuli ya mwanaume. Hata swala la mwanaume kuonekana na misuli ya kiume ni tokeo la hormone hizi. Zaidi ya hayo wakati mwanaume akiejaculate karibu misuli yote ya mwili hukakamaa. Kwa kuwa jamaa yuko addicted baada ya muda ubongo unachain matukio kuanzia kwenye ubongo hadi kwenye misuli. Kwa lugha laini ni hivi.
 
Dawa yako wewe ni mungu tu! Nenda kaombewe and that is the only solution. But ivi ni kweli umeshindwa ata kufanya mazoezi????
 
Back
Top Bottom