Punyeto ni nini na nini madhara yake?
we jamaa noumer sana!!! Chakufanya bana ni hiki. Jaribu kufunga kula kata mara 3 kwa wiki si unajua hiyo yote ni kazi ya ubongo sasa kama una njaa sana ktu haiwezi enda mnara kaka. Afu kula vyakula vinavyo punguza libido. Fanya mazoezi sana. Kama unashindwa oa mke wa pili na watatu. Nadhani wote hao hawaweze kufanana. Vilevile muogope mungu kwa hayo unaoyafanya, ikitokea umepata ajali mikono yote ikakatika uatafayaje?????
 
Kwanza acha kuangalia picha za ngono kama unazo, amini ni tamaa yako ndio inakupelekesha na usikukubali kuwa mtumwa tena pia acha taratibu sio kwa ghafla tu... Mf kwa siku 3 unafanya mara 1, then kwa wiki mara 1, then kwa mwezi mara 1, hatimaye unaacha kabisa.
 
Hahahahaaaa nyie Punyeto ina raha yake..punyeto tamuu wandugu..unajua uzuri wa punyeto we ni kujikadiria,ukisema leo nataka kuvunja bikra basi unakaza mkono na lotion yako(sabuni inachubua sana),ukisema leo nipate kitu cha mnato bas unatanua mkono kidogo....ukitaka korongo basi unatanua kiganja na lotion kwa wingi...mi punyeto imeniweka sana mjini..una lotion yako na maji ya vuguvugu..walah hukumbuki vicheche.
 
Duuuuhhhhh,

Mara 3 kwa siku (tid), ina maana kwamba jamaa hafanyi kazi au anatumia toilet za kazini???

Hizi mindset nyingine ni hatari sana.....

Nitarudi next time!
 
mpendwa,

japo mi si daktari, kwanza nipingane na wewe kuwa misuli ya miguu inakakmaa kwa sababu ya kujichua na kuwa unashindwa kutungisha mimba kwa sababu hiyo, eti mbegu hazipati muda wa kukomaa. hayo mawili si kweli (ila niko tayari kujifunza toka kwa wataalamu).

nijuavyo mimi, mbegu hutoka zinapokuwa zimezalishwa na zimehifadhiwa kwenye vifuko vyake. hapo unahitaji lishe tu kuweza kuwa na mbegu za kutosha. si kweli kuwa kutoa mbegu (iwe kwa kujichua au kwa ngono) kunasababisha zitoke kabla hazijakpmaa vya kutosha. mbegu si matunda kwamba zinahitaji kuvundikwa. Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana, kwamba zikiwa tayari kutoka huwa ziko tayari, hasihitaji kuvundikwa ili ziive au zikomae, mbegu za baba hazihitaji kukomaa bali yai la mama. kwa hilo ondoa hofu na unaweza kwenda hospitali pamoja na mkeo mpimwe wote ili kujua ukweli ni kwa nini hamtungishi miba.

kuhusu tabia sugu ya kujichua, hizo ndizo hasara za kumkaribisha shetani moyoni mwako, hata unapotaka kumfukuza anagoma kutoka. kujichua ni matokeo ya tamaa ya ngono katika umri mdogo ambao huwezi kuoa/kuolewa. imeandikwa, "unapojaribiwa usiseme unajaribiwa na Mungu, bali mtu hujaribiwa na TAMAA yake akisha kudanganywa na ibilisi"

nakushauri umrudie Mungu na kwa kuwa umeishaoa, ikubali SOLUTION ya Mungu kwamba mkeo ndio kimbilio lako kwa mahitaji kama hayo ya kupambana na ashiki. kama ni kutwa mara tatu mara kumi au mara ngapi, mueleze na naamini atakuelewa tatizo lako na mtakubaliana.

hapa hutapata msaada wa kukusaidia sana zaidi ya ule utakaopata kwa mkeo. jiamini na muamini Mungu na muamini mkeo.

hakuna lisilowezekana kwa Mungu

ubarikiwe sana mpendwa

glory to God!

Amen!
Miss Judith, Kama umesoma maelezo yangu hapo juu vizuri utakuwa umenielewa vibaya, Nimesema kuwa Dr, ndiye aliye niambia kuwa mbegu zina chukua siku 5 kokomaa toka ulipo mwaga kwa mara ya mwisho, hayo siyo maneno yangu bali ni ya mtaalamu wa maswala ya uzazi tuliyekwenda kumuona mimi na mke wangu.....

Swala na kwenda kupima tayari tulikwisha pima na kuonekana wote hatuna matatizo......Nimeona kuna sehemu umeandika nahitaji lishe ya kuweza kuongeza mbegu za kutosha je ni lishe ipi hiyo? ninge furahi ungenianishia hivyo vyakula tafadhali....

Ubarikiwe sana ndugu.
 
Dada yangu tatizo la kutotungisha mimba katika case hii ni kutokukomaa kwa mbegu. Naomba tu aelewe hivyo nisingependa kutumia maneno mengi kukuchanganya bure. Mbegu huendelea na process za upevukaji katika safari yake yote ya kwenda kufanya fertilization. Ujue kwamba kinchozitoa mbegu ni muscle contraccion wakati wa orgasm na hivi huweza toka hata kama hazijawa tayari muda wowote huo zikikurupushwa na hii orgasm. Swala la misuli ya miguu ni justifiable kwa kuwa kuna hormone kibao zinazohuska na nguvu za misuli ya mwanaume. Hata swala la mwanaume kuonekana na misuli ya kiume ni tokeo la hormone hizi. Zaidi ya hayo wakati mwanaume akiejaculate karibu misuli yote ya mwili hukakamaa. Kwa kuwa jamaa yuko addicted baada ya muda ubongo unachain matukio kuanzia kwenye ubongo hadi kwenye misuli. Kwa lugha laini ni hivi.

Asante kwa ufafanuzi wako mzuri ndugu... Je mkuu, naweza kukaa kwa kipindi gani pasipo kujichua au kushirikiana kimwili na mwenza wangu, ili kuweza kupata kokomaza mbegu za kuweza kutunga mimba?
 
we jamaa noumer sana!!! Chakufanya bana ni hiki. Jaribu kufunga kula kata mara 3 kwa wiki si unajua hiyo yote ni kazi ya ubongo sasa kama una njaa sana ktu haiwezi enda mnara kaka. Afu kula vyakula vinavyo punguza libido. Fanya mazoezi sana. Kama unashindwa oa mke wa pili na watatu. Nadhani wote hao hawaweze kufanana. Vilevile muogope mungu kwa hayo unaoyafanya, ikitokea umepata ajali mikono yote ikakatika uatafayaje?????

hah hah hah! mke wa 2 na wa 3 ? hapana ndugu imani yangu haniruhusu kufanya hivyo, pia kuweza kumudu wake watatu kwa uchumi wetu ni kazi sana ndugu, zaidi nitakuwa najiingiza kwenye matatizo mengine badala ya kutatua tatizo linalonikabili kwa sasa
 
Hahahahaaaa nyie Punyeto ina raha yake..punyeto tamuu wandugu..unajua uzuri wa punyeto we ni kujikadiria,ukisema leo nataka kuvunja bikra basi unakaza mkono na lotion yako(sabuni inachubua sana),ukisema leo nipate kitu cha mnato bas unatanua mkono kidogo....ukitaka korongo basi unatanua kiganja na lotion kwa wingi...mi punyeto imeniweka sana mjini..una lotion yako na maji ya vuguvugu..walah hukumbuki vicheche.

Dah! mkuu we hatari sana, huu mchezo siupendi kusema kweli..... Mkuu ebu leta maneno ya namna ya kuachana na jambo ili badala ya kuendelea kusifia ukawaambukiza na wengine kuingia kwenye jambo ili ambalo kwa uhakika siyo zuri hata kidogo!
 
Duuuuhhhhh,

Mara 3 kwa siku (tid), ina maana kwamba jamaa hafanyi kazi au anatumia toilet za kazini???

Hizi mindset nyingine ni hatari sana.....

Nitarudi next time!

Na kusubiria ndugu, natumaini utakuja na ufumbuzi wa ili tatizo!
 
amua kuacha na UACHE KWELI KWELI mtangulize Mungu atakupigania
 
Amen!
Miss Judith, Kama umesoma maelezo yangu hapo juu vizuri utakuwa umenielewa vibaya, Nimesema kuwa Dr, ndiye aliye niambia kuwa mbegu zina chukua siku 5 kokomaa toka ulipo mwaga kwa mara ya mwisho, hayo siyo maneno yangu bali ni ya mtaalamu wa maswala ya uzazi tuliyekwenda kumuona mimi na mke wangu.....

Swala na kwenda kupima tayari tulikwisha pima na kuonekana wote hatuna matatizo......Nimeona kuna sehemu umeandika nahitaji lishe ya kuweza kuongeza mbegu za kutosha je ni lishe ipi hiyo? ninge furahi ungenianishia hivyo vyakula tafadhali....

Ubarikiwe sana ndugu.

nashukuru mpendwa kwa ufafanuzi.

huyo daktari wako kuna kitu hajakiweka sawa. kama ni kweli kuwa ili mimba itunge unahitaji kutunza (kuvundika) mbegu kwa siku angalau tano ili zikomae basi suala la uzazi lingekuwa tabu kubwa sana kuliko tunavyoweza kufikiri. mfano kama usingekuwa unajichua na ukawa unakutana na mkeo kwa njia ya kawaida kila siku, ina maana pia usingeweza kutungisha mimba? kwa sbabau kila siku ungekuwa unamwaga na usingekuwa unazivundika!

kumbuka hata zile siku 3-5 za hedhi wengine hawamalizi na wengine hukimbilia nyumba ndogo! pia zingatia kuwa mababa na mababu zetu (na hata baadhi ya waamini wa kiislamu wa leo) wana wake rasmi zaidi ya mmoja, wakati wa hedhi kwa mmoja, huhamia kwa bi mwingine na kuenedelea kumwaga mbegu zake na cha kushangaza kote huko wanzaa! sasa kama mbegu hazitunzwi hata kwa siku tano, wanawake wote hao kwenye hizo chains wangezaaje? tafakati mpendwa.

vivyo hivyo kwa suala la misuli pia. kama linasababishwa na ejaculation peke yake, basi tatizo hili nalo wangekuwa nalo wanaume wengi sana manake just imagine how many men do ejaculate everyday? kama maelezo ya daktari wako ni kweli, tatizo la misuli si lingekuwa janga la dunia nzima? usiridhike na huyu daktari wa sasa, tafuta mwingine mwenye ujuzi zaidi unaweza kupata msaada.

nakushauri kuwa ni vyema ukafanyiwa uchunguzi vizuri wa misuli na mbegu zako na mtu wmenye utaalamu zaidi. kwa kweli pamoja na uelewa wangu mdogo katika masuala haya, ninapata shida kuamini haya mawazo ya daktari wako. hata hivyo ni mawazo yangu tu mpendwa.

nakutakia baraka za Bwana na nakupa pole sana

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

ninakuombea pia ujaliwe ombi lako la mtoto

tulihimidi jina la Bwana kila wakati
 
ili usipate mda wa kupiga ni vizur uwe unakula late hrs lets say saa4usiku, ukishiba piga glas ya maji barid then jiegeshe kitandan, utashangaa umelala fofo mpaka asbh na ukawa umesahau kupiga puli. pia jitaid kuwa bize na mambo ya maendeleo yako na familia, acha kuangalia porn mvz kama zipo kwa laptop zi delete mpaka kwenye recyclebin ili usije ukakumbuka nakuamua kurestore. pia muombe MUNGU akusaidie coz si kwa nguvu zetu
 
habari zenu ndugu zangu?

Mimi siyo kijana na wala siyo mtu mzima,naweza sema ni mtu wa makamo, nina tatizo ambalo hapo awali sikulichukulia kama linaweza kuwa naathari zozote kwangu....

Miaka ya 1991 hadi 1997 nilianza masomo ya olevel kwenye chule zetu hizi za boarding ambazo zilikuwa za jinsia moja tu ya kiume, na wakati huo ndio nilikuwa kwenye kipindi chaukuaji na kujitambua kimwili, hivyo basi kwa kutokana na madiliko ya kimwili vijana wengi shuleni pale tulikuwa na tabia ya kijichua (ponyeto) kutokana na kuona wenzangu wanapunguza makali ya ukame kwa njia hiyo na mimi nilikuwa mmoja wao na hatimae kuwa mtaalamu wa tendo hilo...

A level niliendelea na tabia hiyo hadi nilipoingia chuo na kuchanganyana na jinsia tofauti na kupata wasichana wakushirikiana nao kwenye tendo la ngono.. Japo nilipata msichana/wasichana siku weza kuacha tabia ya kujichua kwani niliona napata raha zaidi kwenye kujichua kuliko kushiriki tendo ilo na mwanamke, hivyo niliendelea na tabia hiyo na ilifikia kipindi nikishiriki tendo lile na mwanamke siridhiki hadi nikamalizie kwa kujichua.....

Baada ya kumaliza chuo niliamua kuoa, baada ya kuoa sikuweza kuachana na tabia hiyo kwani mke wangu hana pumzi za kutosha kuniimili, yeye anaridhika mapema zaidi yangu, na hawezi kwenda mzunguko zaidi ya mmoja, hivyo kitendo hicho kilinifanya speed yangu ya kujichua iongezeke, pia waifu alilifahamu jambo hilo..

Mwaka 2005, tulipata mtoto wetu wa kwanza, kutokana na mke wangu kuwa kwenye kipindi cha malezi ndio speed ya kujichua iliongezeka maradufu, yaani ilikuwa kutwa mara 3 kama vile milo,nilijichua asubuhi/mchana na usiku... Niliendelea hivyo hadi leo hii hapa sijaweza kuacha hata kupunguza kiwango cha kujichua, na usiku nisipofanya hivyo sipati usingizi kabisa.

Sasa mtoto wetu amekuwa na ana umri wa miaka 6 na toka mwaka jana tumefanya mpango wa kumtafutia mdogo wake pasipo mafanikio, na hii inatokana na kwamba mbegu zangu hazipati mda wa kukomaa ili kuweza kupevusha yai la mwanamke, nimejitahidi kuonana na madaktari wametupima na wakaona mimi na mke wangu hatuna tatizo kabisa zaidi ya kwamba niliambiwa niache kupiga ponyeto kwani mbegu zangu hazipati mda wa kukomaa, na akasema mbegu za mwanaume zinachukua zaidi ya siku 5 kuweza kukomaa ziwe nauwezo wa kupevusha yai la mwanamke

tatizo

tatizo linakuja ni kwamba siwezi kukaa zaidi ya siku mbili pasipo kufanya ponyeto, kwani nikikaa siku mbili tu bila kufanya hivyo, siwezi kulala na misuli ya miguu inakaza sana kitendo kinachonifanya nipige ponyeto atakama sitaki... Wife sasa amekuwa mkali sana anataka mtoto, na ameanza kunitolea maneno makali sana.... Hapa nilipo sijafanya hicho kitendo kwa siku nne na niko kwenye hali mbaya sana miguu inakufa ganzi mara kwa mara misuli inakaza sana hadi inakuwa taabu kwangu, kusema kweli nimejaribu mbinu nyingi sana kuacha mchezo huu kwa kushirikiana na mke wangu lakini wapi....

Hivyo basi nimeona siyo vibaya nikashare na nyie tatizo langu najua kwa njia moja au nyingine mnaweza kunisaidia kiushauri au kiutaalamu zaidi... Ushauri wenu ni muhimu zaidi ndugu zanguni, naomba kuwasilisha kwenu wanajf

mkuu kabla ya kuendelea akuna jamaa waliwahi kukuvunjia yai enzi zakohope umeeelewa kuwa mkweli nijue watakusaidiaje kwa hili??kuanzia hapo naweza toa ushauri
 
Hatua ya kwanza ya mafanikio ni uamuzi wako wa kuwa wazi. Amua hutaki na hutataka tena.
 
Na kusubiria ndugu, natumaini utakuja na ufumbuzi wa ili tatizo!

Mkuu Gwambali,

Kuna maoni mazuri sana yameshatolewa na wadau na especially Miss Judith. Jaribu kuyafuatilia hata kwa ku-google ili uone kama kweli dokta wako alikueleza ukweli.

Hayo matatizo ya misuli yatakuwa na sababu nyingine na hilo la kujichua na kukosa mtoto pia lina walakini! Kama ingekuwa hiyo basi hata birth control ingekuwa rahisi sana. Jaribu kujipatia balanced diet na mazoezi ya kutosha. Hata bila kuacha kujichua unatapa mtoto tu.

Ila hebu basi na wewe nijibu, unaweza kujichua mara 3 kutwa? Ina maana unafikiria kufungua zipu kwa zaidi ya masaa 12 kwa siku?

Kuhusu hilo la frequency sijakuelewa bado!!
 
Unafanya mara tatu kwa siku kwani wewe sio mfanya kazi? Halafu kuna kujichua ukiwa kitandani na wakati mwingine bafuni. sasa kama unajichuaga sana kitandani ni raisi sana kuacha. Kama wewe mnywaji wa bia, Basi hakikisha unapata pombe kali kama konyagi au whiskey yeyote ambapo ukinywa tuu inakulegeza mwili na nguvu za kuuujaza mpira(kudinda)na unachukua sekunde moja tuu kulala.

ukifanya hivyo kwa mwezi mmoja utaona yale mawazo yanayokujia kujia kukupa hamu ya nyeto nayo yanatoweka, unaweza kuacha kiraisi. Kama sio mnywaji wa pombe, basi tumia sana valium MG 10 mbili kabla ya kulala nazo hulegeza mwili kirahisi na kukupa usingizi kirahisi. halafu uwe unasoma sana novel au kufanya mazoezi ya viungo muda wako wote wa ziada au down time.

Kama unajichua bafunu wewe acha mlango wazi unapoingia kuoga na utaona kama vile kila mtu anakuona wewe. Basi huwezi kujichua utakuwa na woga wa kuonwa. kama hiyo huwezi basi njie nyenginewe ni kumwambia mkeo awe anakuchua huku nae anaona cums zako.

Kila ukijisiskia mwambie awea anakuchua yeye, sasa utajenga hali fulani ya kumuonea haya mkeo na taratibu utaona hamu ya nyeto nayo inaanza kutoweka.
 
Hahahahaaaa nyie Punyeto ina raha yake..punyeto tamuu wandugu..unajua uzuri wa punyeto we ni kujikadiria,ukisema leo nataka kuvunja bikra basi unakaza mkono na lotion yako(sabuni inachubua sana),ukisema leo nipate kitu cha mnato bas unatanua mkono kidogo....ukitaka korongo basi unatanua kiganja na lotion kwa wingi...mi punyeto imeniweka sana mjini..una lotion yako na maji ya vuguvugu..walah hukumbuki vicheche.

Acha ndugu yangu, utaathirika kisaikolojia, utakua kama mleta thread!!!!!
 
nashukuru mpendwa kwa ufafanuzi.

huyo daktari wako kuna kitu hajakiweka sawa. kama ni kweli kuwa ili mimba itunge unahitaji kutunza (kuvundika) mbegu kwa siku angalau tano ili zikomae basi suala la uzazi lingekuwa tabu kubwa sana kuliko tunavyoweza kufikiri. mfano kama usingekuwa unajichua na ukawa unakutana na mkeo kwa njia ya kawaida kila siku, ina maana pia usingeweza kutungisha mimba? kwa sbabau kila siku ungekuwa unamwaga na usingekuwa unazivundika!

kumbuka hata zile siku 3-5 za hedhi wengine hawamalizi na wengine hukimbilia nyumba ndogo! pia zingatia kuwa mababa na mababu zetu (na hata baadhi ya waamini wa kiislamu wa leo) wana wake rasmi zaidi ya mmoja, wakati wa hedhi kwa mmoja, huhamia kwa bi mwingine na kuenedelea kumwaga mbegu zake na cha kushangaza kote huko wanzaa! sasa kama mbegu hazitunzwi hata kwa siku tano, wanawake wote hao kwenye hizo chains wangezaaje? tafakati mpendwa.

vivyo hivyo kwa suala la misuli pia. kama linasababishwa na ejaculation peke yake, basi tatizo hili nalo wangekuwa nalo wanaume wengi sana manake just imagine how many men do ejaculate everyday? kama maelezo ya daktari wako ni kweli, tatizo la misuli si lingekuwa janga la dunia nzima? usiridhike na huyu daktari wa sasa, tafuta mwingine mwenye ujuzi zaidi unaweza kupata msaada.

nakushauri kuwa ni vyema ukafanyiwa uchunguzi vizuri wa misuli na mbegu zako na mtu wmenye utaalamu zaidi. kwa kweli pamoja na uelewa wangu mdogo katika masuala haya, ninapata shida kuamini haya mawazo ya daktari wako. hata hivyo ni mawazo yangu tu mpendwa.

nakutakia baraka za Bwana na nakupa pole sana

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

ninakuombea pia ujaliwe ombi lako la mtoto

tulihimidi jina la Bwana kila wakati

Asante sana kwa maoni yako mazuri... Japo kuwa nilikwenda kwa mtaalamu sikiridhika na majibu yake tu ndio maana nikaja hapa ilikupata maoni mengine tofauti....

Kwenye red, kumbuka swala la ejaculation kwa njia ya kujichua ni tofauti sana na kwa njia ya kujamiiana na mweza wako, njia ya kujichua unatumia hisia zaidi na nguvu kuliko njia ya kawaida!

Pia Kabla ya kupatwa na ili tatizo niliwahi kusoma sehemu kuwa kujichua kupita kiasi kuna sababisha misuli ya mikuu kukakamaa!

hata hivyo nashuruku Mungu kampeni yangu ya kutaka kuacha ili tendo inaendelea vizuri na Mungu ananippigania na ushauri wenu umenisaidia sana kwa kweli, pia nashukuru mke wangu naye ananipa support nzuri tu...
 
acha kuangalia porn mvz kama zipo kwa laptop zi delete mpaka kwenye recyclebin ili usije ukakumbuka nakuamua kurestore. pia muombe MUNGU akusaidie coz si kwa nguvu zetu

Mkuu, kusema kweli nilikuwa nazo nyingi sana, Siyo kudelete tu mkuu, nimefanya kutuoa kazi zangu za officen na kuiformat kabisa...
 
Back
Top Bottom