Ndo nashangaa iyo kiuhalisia imekuaje kwako

Sihitaji kuwa mwanamke kuweza kujua kama madhara uliyoyaandika yana ukweli au la. Ila kisayansi hayo madhara uliyoyaandika ambayo sijakubaliana nayo hayana ukweli wowote. Na kama yana ukweli basi leta uthibitisho wa kisayansi uliofanya na mtaalamu wa afya especially kutoka kwa specialist wa magonjwa ya wanawake.
 

Ungekua mwanamke ingekua vyema sana!!
 
Asante kwa mtoa mada maana kuna mdada mmoja alikuwa mhanga hii maneno akaniomba nimshughulikie/nimgegede maana anadai mume wake amfikishi, lakini binafsi ilibidi tu nimkwepe maana nilijua dhahiri na mimi ningeumbuka tu kuligegeda na kumfikisha jitu lilokwisha kuwa sugu.
 

Ha ha haaaa et ungeliumbuka...usiwemuoga hivyo nexttime ujaribu
 

rubii unaweza kutoa 'evidence' au 'reference' iliyothibitishwa kisayansi ili kuthibitisha angalau moja ya hizo point 10 ulizoorodhesha?
 

jifunze kua positive ,nimeuliza swali kutokana na maelezo hapo juu
 
Ha ha haaaa et ungeliumbuka...usiwemuoga hivyo nexttime ujaribu
Sasa kama ameweza kumtangaza mume wake kuwa hawezi kumfikisha kilele, mimi ndio ashindwe kunitangaza? nikaona bora lawama kuliko fedheha.
 
Wadau salamu ziwafikie,

Nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto.

Ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo, nifanyeje ili niache tabia hii?
 
Utakuwa na pepo mkuu, una mke ambaye asbh ungekuwa unapasha, badala yake unapiga punyeto! there must be something wrong mkuu…sio bure, mseti mkeo asubuhi kafanye nae bafuni uone kama kutakuwa na changes, vinginevyo tafuta namna ya kuondokana na hilo pepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…