Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Ndo nashangaa iyo kiuhalisia imekuaje kwako

Sihitaji kuwa mwanamke kuweza kujua kama madhara uliyoyaandika yana ukweli au la. Ila kisayansi hayo madhara uliyoyaandika ambayo sijakubaliana nayo hayana ukweli wowote. Na kama yana ukweli basi leta uthibitisho wa kisayansi uliofanya na mtaalamu wa afya especially kutoka kwa specialist wa magonjwa ya wanawake.
 
Ungekua mwanamke ingekua vyema sana!!
 
Asante kwa mtoa mada maana kuna mdada mmoja alikuwa mhanga hii maneno akaniomba nimshughulikie/nimgegede maana anadai mume wake amfikishi, lakini binafsi ilibidi tu nimkwepe maana nilijua dhahiri na mimi ningeumbuka tu kuligegeda na kumfikisha jitu lilokwisha kuwa sugu.
 
Ha ha haaaa et ungeliumbuka...usiwemuoga hivyo nexttime ujaribu
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.
Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua
1/INA HARIBU KIZAZI
2/INA KUFANYA KUA MVIVU MARA KWA MARA
3/UNA KUA UNA KOSA HAMU YA TENDO
4/MAUMIVU UKENI YASIYO NA SABABU
5/UKE KUWA MREGEVU YAANI MTEPETO
6/HUPEREKEA UKE KUTOA MAJI MAJI MARA KWA MARA AU MAJI YALE AMBAYO UTOKA KABLA YA TENDO KUTO KUWEPO IVYO ITAKUFANYA KUPATA MICHUBUKO NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO
7/ UWEZI KUJA KUJUA RAHA YA TENDO UKIZOHEA PUNYETO SANA WW DADA
8/PUNYETO INA FANYA UKE WA MWANA MKE KUKOSA RADHA KABISA IYO ITA PELEA KUKIMBIWA NA MMEO AU MWENZAKO KUTAFUTA KAMCHEPUKO KENYE UKE MTAMU
9/NA UKIZOHEA PUNYETO ITAKUFANYA KUWA MTU WA HASIRA HASIRA KILA MARA
10. PUNYETO NI HATARI KWA AFYA YAKO PIA UKII HIZOHEA SANA ITA PEKEKEA KUFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA

rubii unaweza kutoa 'evidence' au 'reference' iliyothibitishwa kisayansi ili kuthibitisha angalau moja ya hizo point 10 ulizoorodhesha?
 
Dadaaa! Dah! Mpaka ukatumie madole, wanaume wamekwisha?? Si umtongoze mmoja akusitiri angalao mara moja?? Tatizo sio kuuharibu uzazi bali ni kukosa ham ya tendo halali baadaye. Yaan, unamaliza mzuka weye mwenyewe kwa kui -stimulate ile G spot yako bila mtu mwenye kipoozeo. Inatakiwa iguswe na dume halaf asikuache hivi hivi bila sindano.. si wajua tena??

jifunze kua positive ,nimeuliza swali kutokana na maelezo hapo juu
 
Ha ha haaaa et ungeliumbuka...usiwemuoga hivyo nexttime ujaribu
Sasa kama ameweza kumtangaza mume wake kuwa hawezi kumfikisha kilele, mimi ndio ashindwe kunitangaza? nikaona bora lawama kuliko fedheha.
 
Wadau salamu ziwafikie,

Nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto.

Ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo, nifanyeje ili niache tabia hii?
 
Utakuwa na pepo mkuu, una mke ambaye asbh ungekuwa unapasha, badala yake unapiga punyeto! there must be something wrong mkuu…sio bure, mseti mkeo asubuhi kafanye nae bafuni uone kama kutakuwa na changes, vinginevyo tafuta namna ya kuondokana na hilo pepo
 
Back
Top Bottom