Utakuwa na pepo mkuu, una mke ambaye asbh ungekuwa unapasha, badala yake unapiga punyeto! there must be something wrong mkuu…sio bure, mseti mkeo asubuhi kafanye nae bafuni uone kama kutakuwa na changes, vinginevyo tafuta namna ya kuondokana na hilo pepo
Endelea kujiselfie kaka haina shida
Hahaha CHAPUTAWewe ni mwanachama wa kudumu wa CHAPUTA......
wadau salamu ziwafikie;
nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto, ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo; nifanyeje ili niache tabia hii??
Duh huku ni kukatishana tamaa. Hicho chama kina mwenyekiti?Wewe ni mwanachama wa kudumu wa CHAPUTA......