Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Utakuwa na pepo mkuu, una mke ambaye asbh ungekuwa unapasha, badala yake unapiga punyeto! there must be something wrong mkuu…sio bure, mseti mkeo asubuhi kafanye nae bafuni uone kama kutakuwa na changes, vinginevyo tafuta namna ya kuondokana na hilo pepo

linaweza kuwa pepo la aina ipi mkuu
 
Ni rahisi, ukienda kuoga, hiyo hali ya kupiga punyeto ikianza kukutokea, kasirika na ikatae, then malizia kuoga haraka haraka na ondoka
 
Jamaa anajipiga ma selfie alaf mega-pixels anaji adjustia mwenyewe na kiganja chake...tehe

Kitandani hapo unakuta ashajidinya bao kadhaa. Tehe

U just have to decide to stop it once and for all. It begins in the mind.
 
acha kuangaika na vitu visivyo na mana kwani punyeto ina shida gani we jichue tu lakini hakikisha mkeo unamfikisha kileleni
 
dawa ya kuacha kupiga punyeto ni kupaka pili pili kwenye mikono yako kila siku asubuhi na jioni..
pia usijipe nafasi ya kukaa peke yako sababu utapata hisisa mbaya ya kupiga punyeto.
acha kuwatch porn movies hii itakusaidia
 
wadau salamu ziwafikie;

nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto, ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo; nifanyeje ili niache tabia hii??

Mkeo awe anakupa tena asibuhi utaacha
 
Mueleze mkeo tatizo lako kama mmeshibana. Uwe unaenda nae bafuni asubuhi kuoga
 
Back
Top Bottom