Nimeandika msg ndefu nmepigiwa simu imepotea nakueleza kivipi excess masturbation INAPONA, pili nmesoma ushauri wa wote naomba uniamini mimi muhanga wa punyeto 90%havitakusaidia simple take it or leave it, hawajui nn maana ya excess masturbation na hawajawah patwa. Khs tiba sio Chini ya miezi 4-6,niamini apone, no porno no masturbation no erection, ubongo umeathirika ni lzm urudi sawa miezi 3 hv yaan asisimamishe kbs hlf sasa baada ya hapo ni mazoezi kwa wingi na kula vzr km ni prone masturbation bas ajifunze normal way kwa mwezi thn miezi4-6km kawa Najua vingi sn khs hilo tatizo kikubwa hela pekee haitakuposhesha wala ushauri wa tiba mbadal wala kubahatisha tiba simple miezi 4-6ya kurudisha kichwa sawa ATAPONA, hatapona kwa bahati take note atapona kwa juhudi na ushauri wangu mimi hapa, km unampenda nanimuelewa msaidie ht mm ni mwanamke anayenipenda kachangia kwanza apone confidence inakuja yenyewe tu haina shida
 
Pole sana sister. Nashangaa hao wanaosema kua punyeto haina madhara. Kiukweli hawajui kitu. Mi mwenyewe shahidi wa hili kwani nyeto imeniathiri to the extent that i cant erect. Yaan kila kitu unachosema ni sahihi hata mkae muda gani he cant erect normally since he has damaged himself. Mimi mwenyewe since i was 13 upto last year nilikua namasturbate. Nimekaa like six month now without masturbate bt sijapona. Kuna dokta alinambia ye ni expert on this ila gharama yake ni kubwa kidogo since mie sina ajira. Ni pm nikupe info zaidi
 
tatizo kubwa na punyeto ni fikra...inafika wakati unaona nu usumbufu kuanza kutongoza na au kumvua mtu nguo....you end up shortcutting na ukiizoea kila mara uingiapo bafuni lazima upige. usipopiga husikii raha.
 
Najuta kuijua punyeto na kuizoea but baaada ya kuona madhara yake na kupata ushauri niliamua kufuata yafuatayo ili kuepukana nayo na kushinda madhara yake niliyokwisha yapata...
1. Kuacha kuangalia picha za ngono kabisa
2. Kufanya mazoezi ya viungo
3.kula vizuri mlo kamili hasa hasa vyakula vya asili
4. Kunywa maji mengi na kula matunda kwa wingi kama tikitiki maji
5. Kujaribu kuubana mkojo kila siku Asubuhi pale ninapoaamka kabla ya kukojoa kama kwa dk 5 hii niliambiwa kwa ajili ya kuipa misuli ya uume nguvu kwa mara nyingine.

Ukifanya hivi hakika kuna mabadiliko utayaaona kwa wale waliokwisha kupata madhara japo matokeo yake si ya muda mfupi kuonekana inahitaji juhudi na bidii ili kuishinda hiii hali kwa sababu inaweza kuchukua hata miezi 3 au 6
Japo wanasayansi wanasema mtu aliyehathirika na punyeto akiacha kwa siku 40 tu anarudi ktk hali yake ya kawaida
Japo kuishinda punyeto na madhara yake ni vita inayoshambulia Mwili na akili inahitaji ujasiri ili kuishinda kwa sababu bila ya hivyo utaishia kujilaumu kila siku kwa kurudia kosa lile lile na kujiona mateka. Naongea haya kwa uzoefu niliopitia kuhusiana na Punyeto na madhara yake niliyoyapata kuanzia ki akili paka ki mwili
Naomba kuwasilisha
 
hongera sana kwa kuwa jasiri kwa kutoonyesha nia ya kumuacha tayari hiyo tiba toshaaa
 
punyeti inatibika na unarudi ktka hali ya mwanaume wa kweli..

kwa wanyama kujamiana ni kuzaa tuu. Ila kwa binadamu ni zaid ya kuzaa, binadamu kujamiiana ni starehe pia.

Hakuna mwanaume aliyezaliwa hajawahi piga punyeto au kuangalia porn. Mm pia ni muhanga wa punyeto since 13 yrs until last years. nina miaka 22 sasa sijapiga punyeto almost 6 month, na nimepiga punyeto miaka 9 ila cha ajabu hata nilipokuwa napiga nyeto nilikuwa nikiwagandamiza mademu vizuri bila wasiwasi wowote, bao moja linanichukua 30 minutes na ninauwezo wa kupiga bao 3 kwa tendo moja. Nakumbuka rafiki yangu aliniambia kwamba demu wako kasema anachoka sana kutokana na kupiga bao nyingi sana kwa hiyo punguza. Dah hiyo niliamini kweli mm nina nguvu za kiume.

Nilijiuliza why napiga nyeto afu nawaridhisha kina dada.

TUMIA MOJAWAPO KATI YA HIZI.

atafune kungumanga moja kila siku kwa siku saba

atafune tangawizi moja gram 50 kila siku kwa siku 7

HIZI sio dawa bali ni matunda au viungo vinavyopatikana magengeni kwa bei rahisi tu pia vinachochea homoni na kupeleka damu kwa wingi kwenye mishipa ya uume na kuufanya uume uvimbe maradufu na kuwa na nguvu.

angalizo; hizi tiba hazina angalizo ila tumia kwa maelezo yaliyotajwa na wala hazina madhara ukiongeza vipimo au ukizidisha siku, kwa maana hivi ni viungo vya chakula tunavyotumia nyumbani
 
 




##i think u are an expert somehow. yaan katika washauri wote wanashauri tu juu juu ila kiukweli unachosema ni sahihi. kupona utayari wa mtu.. 4-6 month without porn,masturbation and sex. ni ushauri mzur even great physician wanaadvice that. but for me i managed only no masturbation but porn nmeshindwa kila nikiweka bando.
yaani uwezo wa kufikiri kwishnei siku hizi kama sina ubongo vile (nyeto + porno mbayaa) nikitaka kugonga mboo inanywea ndani ya kei. daaah!! labda staili moja tu (namba 7) anyways hata uume wenyewe miaka mitano ilopita ulikua mkubwa kuliko sasa.. sasa hv nauona kibamia. pumbu zinauma kweli kweli..!! mgongo ndo usiseme. na miaka 22 ila nna kiwaraza (nyeto effects) hyo ni because of dht. sina kumbu kumbu yaaani mpaka nimeamua lifestyle yangu bila demu. i don have any job to provide income for me hata ningejaribu dawa za baadhi ya sehemu nazoamini. miaka sasa inapita na nazid kuzeeka tu.
 
Pole sana mkuuuu kuhusu Age hata mimi na miaka 22 but nilikuwa nashindwa kuacha punyeto na porn at same time nikawa naaangalia porn tuu sipigi punyeto kwa mda wa mwaka lkn baaadae nikaja kurudia nakushauri mkuuu hacha porn kwanza huyu ndo adui mkubwa kwa sababu hii ni sawa na kupigana kwenye kambi ya Adui ukitegemea msaada wa silaha kwa Adui huyo huyo kwa mfano mimi siwezi kupiga punyeto bila porn ilifikia hatua hata normal erection siwezi kufanya bila kuona any porn material still wanawake nikaona still leo i can see hawana umuhimu kwangu kumbe nilikuwa najimaliza mwenyewe mkuuu everything is possible ukidondoka naamaanisha ukirudia kupiga nyeto kwa bahati mbaya amka endelea na vita... Kila la kheri.[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
We mdada,huyo mwanaume si wa type yako,hakikisha unampata mwanaume wa hitaji lako.wa moja hawezi mbili,wewe kama moja haikutoshi,hapo utasubiri sana.Kwa umri huo wa huyo jamaa,usitegemee ufanisi zaidi ya hapo,kadri mda unavyozidi kwenda hali imaweza kuwa tofauti zaidi.
Kwa umri wako nakushauri u change motion,umpate wa stahili yako.Pia anza kujizoesha kwa kile kimoja uwe unafika kileleni,ukisubiria vingi,wanaume wa siku hizi chips kuku na soda zimewamaliza kabisa.
 
Aisee porno kaka, ni yakuacha tu vinginevyo ndugu hautafurahia hawa wadudu lkn nkutie moyo tu nmetumia more than 3 nasikupona ila nlivyo tumia dawa ya no porno no masturbation no erection nkapona ila kiukweli kaka mwanamke mtamu Acha hiyo kitu unakuja niambia inatesa sana yaan zaidi ya miaka 14 nmejaribu kuacha na kupona nlivyokuja pona aisee pipe inasimama htr mpka unajiogopa mzee
 
More than 3 million
 
Nitakuja nia njia flani itayo msaidia, ngoja niweka mambo sawa nitarejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…