Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punyeti inatibika na unarudi ktka hali ya mwanaume wa kweli..Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili, ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24). Ni kijana mtanashati, mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha.
Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la Erectile Dysfunction (jogoo hawiki), yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak. Nikamuuliza nini tatizo, hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically.
Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani, so I understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just because of the pressure ya kupona haraka.
Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivyoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.
Na pia tatizo jingine ni kuwa ameloose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake, kwahiyo muda wote he questions my true feelings, jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi, najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.
Sasa wadau swali langu ni je, hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona, yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida?? Na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??
(This is a serious question) thanks in advance
Nimeandika msg ndefu nmepigiwa simu imepotea nakueleza kivipi excess masturbation INAPONA, pili nmesoma ushauri wa wote naomba uniamini mimi muhanga wa punyeto 90%havitakusaidia simple take it or leave it, hawajui nn maana ya excess masturbation na hawajawah patwa. Khs tiba sio Chini ya miezi 4-6,niamini apone, no porno no masturbation no erection, ubongo umeathirika ni lzm urudi sawa miezi 3 hv yaan asisimamishe kbs hlf sasa baada ya hapo ni mazoezi kwa wingi na kula vzr km ni prone masturbation bas ajifunze normal way kwa mwezi thn miezi4-6km kawa Najua vingi sn khs hilo tatizo kikubwa hela pekee haitakuposhesha wala ushauri wa tiba mbadal wala kubahatisha tiba simple miezi 4-6ya kurudisha kichwa sawa ATAPONA, hatapona kwa bahati take note atapona kwa juhudi na ushauri wangu mimi hapa, km unampenda nanimuelewa msaidie ht mm ni mwanamke anayenipenda kachangia kwanza apone confidence inakuja yenyewe tu haina shida

Pole sana mkuuuu kuhusu Age hata mimi na miaka 22 but nilikuwa nashindwa kuacha punyeto na porn at same time nikawa naaangalia porn tuu sipigi punyeto kwa mda wa mwaka lkn baaadae nikaja kurudia nakushauri mkuuu hacha porn kwanza huyu ndo adui mkubwa kwa sababu hii ni sawa na kupigana kwenye kambi ya Adui ukitegemea msaada wa silaha kwa Adui huyo huyo kwa mfano mimi siwezi kupiga punyeto bila porn ilifikia hatua hata normal erection siwezi kufanya bila kuona any porn material still wanawake nikaona still leo i can see hawana umuhimu kwangu kumbe nilikuwa najimaliza mwenyewe mkuuu everything is possible ukidondoka naamaanisha ukirudia kupiga nyeto kwa bahati mbaya amka endelea na vita... Kila la kheri.[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]##i think u are an expert somehow. yaan katika washauri wote wanashauri tu juu juu ila kiukweli unachosema ni sahihi. kupona utayari wa mtu.. 4-6 month without porn,masturbation and sex. ni ushauri mzur even great physician wanaadvice that. but for me i managed only no masturbation but porn nmeshindwa kila nikiweka bando.
yaani uwezo wa kufikiri kwishnei siku hizi kama sina ubongo vile (nyeto + porno mbayaa) nikitaka kugonga mboo inanywea ndani ya kei. daaah!! labda staili moja tu (namba 7) anyways hata uume wenyewe miaka mitano ilopita ulikua mkubwa kuliko sasa.. sasa hv nauona kibamia. pumbu zinauma kweli kweli..!! mgongo ndo usiseme. na miaka 22 ila nna kiwaraza (nyeto effects) hyo ni because of dht. sina kumbu kumbu yaaani mpaka nimeamua lifestyle yangu bila demu. i don have any job to provide income for me hata ningejaribu dawa za baadhi ya sehemu nazoamini. miaka sasa inapita na nazid kuzeeka tu.
Aisee porno kaka, ni yakuacha tu vinginevyo ndugu hautafurahia hawa wadudu lkn nkutie moyo tu nmetumia more than 3 nasikupona ila nlivyo tumia dawa ya no porno no masturbation no erection nkapona ila kiukweli kaka mwanamke mtamu Acha hiyo kitu unakuja niambia inatesa sana yaan zaidi ya miaka 14 nmejaribu kuacha na kupona nlivyokuja pona aisee pipe inasimama htr mpka unajiogopa mzee##i think u are an expert somehow. yaan katika washauri wote wanashauri tu juu juu ila kiukweli unachosema ni sahihi. kupona utayari wa mtu.. 4-6 month without porn,masturbation and sex. ni ushauri mzur even great physician wanaadvice that. but for me i managed only no masturbation but porn nmeshindwa kila nikiweka bando.
yaani uwezo wa kufikiri kwishnei siku hizi kama sina ubongo vile (nyeto + porno mbayaa) nikitaka kugonga mboo inanywea ndani ya kei. daaah!! labda staili moja tu (namba 7) anyways hata uume wenyewe miaka mitano ilopita ulikua mkubwa kuliko sasa.. sasa hv nauona kibamia. pumbu zinauma kweli kweli..!! mgongo ndo usiseme. na miaka 22 ila nna kiwaraza (nyeto effects) hyo ni because of dht. sina kumbu kumbu yaaani mpaka nimeamua lifestyle yangu bila demu. i don have any job to provide income for me hata ningejaribu dawa za baadhi ya sehemu nazoamini. miaka sasa inapita na nazid kuzeeka tu.
More than 3 millionAisee porno kaka, ni yakuacha tu vinginevyo ndugu hautafurahia hawa wadudu lkn nkutie moyo tu nmetumia more than 3 nasikupona ila nlivyo tumia dawa ya no porno no masturbation no erection nkapona ila kiukweli kaka mwanamke mtamu Acha hiyo kitu unakuja niambia inatesa sana yaan zaidi ya miaka 14 nmejaribu kuacha na kupona nlivyokuja pona aisee pipe inasimama htr mpka unajiogopa mzee