skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,383
Weeeee tutake radhi wapo wa ugali maharage bwana unapewa kadri utakavyoWe mdada,huyo mwanaume si wa type yako,hakikisha unampata mwanaume wa hitaji lako.wa moja hawezi mbili,wewe kama moja haikutoshi,hapo utasubiri sana.Kwa umri huo wa huyo jamaa,usitegemee ufanisi zaidi ya hapo,kadri mda unavyozidi kwenda hali imaweza kuwa tofauti zaidi.
Kwa umri wako nakushauri u change motion,umpate wa stahili yako.Pia anza kujizoesha kwa kile kimoja uwe unafika kileleni,ukisubiria vingi,wanaume wa siku hizi chips kuku na soda zimewamaliza kabisa.