Punyeto ni nini na nini madhara yake?
We mdada,huyo mwanaume si wa type yako,hakikisha unampata mwanaume wa hitaji lako.wa moja hawezi mbili,wewe kama moja haikutoshi,hapo utasubiri sana.Kwa umri huo wa huyo jamaa,usitegemee ufanisi zaidi ya hapo,kadri mda unavyozidi kwenda hali imaweza kuwa tofauti zaidi.
Kwa umri wako nakushauri u change motion,umpate wa stahili yako.Pia anza kujizoesha kwa kile kimoja uwe unafika kileleni,ukisubiria vingi,wanaume wa siku hizi chips kuku na soda zimewamaliza kabisa.
Weeeee tutake radhi wapo wa ugali maharage bwana unapewa kadri utakavyo
 
Nina ndugu yangu wa kiume ambaye sasa ana umri takribani kama miaka 27 hivi.Huyu ndugu amekuja kwangu kuomba ushauri na namna atakavyoweza kuacha tabia ya kujichua (punyeto).

Kadri ya maelezo yake amesema kwamba hii tabia kaanza toka alipokuwa miaka 17 wakati yupo fomu 3,kwa saa kamaliza chuo na bado hii tabia inamtawala vilivyo.

Nilimuuliza kwanini asitafute msichana japo wa kumgegeda lakini ameniambia anatamani kufanya hivyo ila shida anaogopa kufa kabla ya siku zake,huu uzi nimeamua niulete hapa ili wadau tumshauri huyu ndugu yetu.
 
Kwanza anatakiwa atubu adhamirie kweli kweli kuiacha tabia hii. Pili amuombe Mungu wake amsaidie katika dhamiri yake hiyo. Tatu ajiepushe kukaa peke yake muda mrefu( an idle mind is the devil's workshop) Nne awe Na tabia ya kufanya kazi au mazoezi ya kuuchosha mwili. Tano anapolala usiku asiwe Na muda mrefu wa kugalala kitandani. Kama hana usingizi atafute kitu mbadala cha kufanya ( mfano kusoma vitabu visivyo Na mtazamo wa kuamsha hisia za kimapenzi n.k) au kuangalia TV channels zisizo Na mwelekeo wa kimapenzi. Saba unapoona unaelekea kufanya kitendo hicho, hebu badili mazingira(/mfano waweza kwenda kijiweni kupiga story au kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine. Asante.
 
Nina ndugu yangu wa kiume ambaye sasa ana umri takribani kama miaka 27 hivi.Huyu ndugu amekuja kwangu kuomba ushauri na namna atakavyoweza kuacha tabia ya kujichua (punyeto).Kadri ya Maelezo yake amesema kwamba hii tabia kaaza toka alipokua miaka 17 wakati yupo fomu 3,kwa saa kamaliza chuo na bado hii tabia inamtawala vilivyo.Nilimuuliza kwanini asitafute msichana japo wa kumgegeda lakini ameniambia anatamani kufanya hivyo ila shida anaogopa kufa kabla ya siku zake,huu uzi nimeamua niulete hapa ili wadau tumshauri huyu ndugu yetu.
Kwanini unamsingizia ndugu yako???
 
tembea na pilipili mfukoni kila ukijisikia paka pilipili.

swissme
 
kwanini anataka kuacha? hutakiwi kuacha bali unapunguza kasi....mwambie akiendelea akifikisha 45 - 50yrs....kwisha habari yake....
 
go straight meen!! why umsingzie ndugu yk? wakat w ndo mhusika mkuu.. anyway kuacha sio rahs kama unavofikil bali punguza angalau kwa mwez mara 1 hv isiwe doz kwamba lazma iwe asubh mchana jion point ya msing ni kufanya exercise ni ktu cha msing sana
 
Hahhha we jamaa unamuabisha mwenzio kasema ndugu yake we unasema yeye mwenyew
 
Nina ndugu yangu wa kiume ambaye sasa ana umri takribani kama miaka 27 hivi.Huyu ndugu amekuja kwangu kuomba ushauri na namna atakavyoweza kuacha tabia ya kujichua (punyeto).Kadri ya Maelezo yake amesema kwamba hii tabia kaaza toka alipokua miaka 17 wakati yupo fomu 3,kwa saa kamaliza chuo na bado hii tabia inamtawala vilivyo.Nilimuuliza kwanini asitafute msichana japo wa kumgegeda lakini ameniambia anatamani kufanya hivyo ila shida anaogopa kufa kabla ya siku zake,huu uzi nimeamua niulete hapa ili wadau tumshauri huyu ndugu yetu.
Mwambie ajiandae dudu kusinyaa kama carrot lililonyauka akifika in his 30s
 
Matatizo huwakumba binadam mkuu,ya nini kumsingizia rafiki yako wakati ww ndio mwenye tatizo?

Anyway it doesn't matter,mwambie kwanza aache kuangalia porno alafu hasiwe mtu wa kujitenga tenga.
 
Ushauri ni mmoja tu anza kutia madem kwa kasi ndo utasahau io kitu japokua mazoezi ya kukimbia, mpira yanasaidia
 
Matatizo huwakumba binadam mkuu,ya nini kumsingizia rafiki yako wakati ww ndio mwenye tatizo?

Anyway it doesn't matter,mwambie kwanza aache kuangalia porno alafu hasiwe mtu wa kujitenga tenga.
Mkuu hili tatizo analo ndugu yangu sio Mimi kama wengi mnavyofikilia,Mimi ni mtu mzima now nishaoa na ninawatoto 4 now,na kiumri nakimbilia 42 sasa,namuonea huyu huruma huyu ndugu yangu asije akaperform less pale atakapooa.Any where nawashukuru wote mlionichangia kwa mawazo,mungu awabariki.
 
go straight meen!! why umsingzie ndugu yk? wakat w ndo mhusika mkuu.. anyway kuacha sio rahs kama unavofikil bali punguza angalau kwa mwez mara 1 hv isiwe doz kwamba lazma iwe asubh mchana jion point ya msing ni kufanya exercise ni ktu cha msing sana
Wewe na Mimi ni wahusika pia mkuu ndo maana tunawajibu wa kumsaidia huyu ndugu kama binadamu mwezetu,huyu dogo ilipaswa afunguke mwenyewe hapa sema ameshindwa kwa sababu akaunti yake imefungiwa.
 
Back
Top Bottom