issue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,
njia rahisi ya kuacha ni kujiepusha kukaa peke yako, acha kabisa kwa mda kutumia smartphone au tumia palipo na watu, usithubutu kuangalia pornography, tafta mpenzi fanya nae sana kla mda, usipende kushika nyeti zako hasa usiku, mwisho ukianza kupata hisia za punyeto badil akili yako kwa nguvu waza kitu kingine miez 2 tu unapona.
I'm speaking from experience
 
Aseee umeongea ukwel hizi smartphone zinatuharib hasa ukiwa nabundle
 
Lazima utakua unapigiwa mana kabao kamoja hakamtoshi mkeo
 
Hapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..
ahahaha yani unajilaumu lakini unajikuta unarudia, unaweza pumzika kwa muda hata wa mwaka mzima(though ulisema umeacha;ulipumzika tuu) lakini ipo siku utajipa nosweat utachukucha tena,hapo usipokuwa makini utachukucha frequently kwa muda fulani hadi uje uache/upumzike.mimi ili kuacha/kupumzika ilinibidi nitafute manzi zaid ya mmoja mana niligundua napanda sana mnazi kipindi nikiwa single au manzi yangu akienda kwao likizo.ni mwaka na miezi kadhaa tangu mara ya mwisho kupanda mnazi nimepumzika/nimeacha sijui.
 
Aisee. Punyeto.ni hatari sana maneno ya wanasayansi yalinidanganya eti haina madhara lkn nimeshuudia mimi wenyewe kutoka kwenye mwili mwangu najuta hata kwa nini nilijaribu kwa sababu inapunguza sana nguvu za kiume na kurudi ktk hali ya kawaida inachukua mda na inahitaji maamuzi kweli kwa sababu vita ya punyeto ni ya akili na kimwili.
 
msomali90 mziki wangua si wa bao moja ya dakika 5 japo wakat wa mwanzo niliteseka sana take ths if u want mimi nilikua napga nyeto mpaka me wangu ulisinyaa na nkua nashndwa kwenda na demu ilinitesa mpaka nkawa nawaza hvi mi kwel ntakua na mke au mtoto kweli? wakat huo kuna kabint mtaani kananikubali kwao wazaz wake wananielewa of whch mwenye ofu nlikua mimi.. nashukuru Mungu nlibulsht kabisa nkawa mbli na picha za ngono nkawa mtu wa mazoez kikubwa nlifkiria sana kushndwa kua na mtoto au kugongewa mpenz wangu ilichukua kama mwaka na nusu kuwa sawa sbu nakumbuka huyu ambae ni mke wangu sku tlitoka wakat huo tko katka maandalizi ya mwisho ya harusi yetu aise nilipewa mech nakumbuka ilikua kiromo hotel pale bgamyo wakat ndio inaanzishwa nkafungua sild japo kwa tbu ila niliona kbisa hali yangu ni tofauti sbu dushe inahtaj papuch af mtoto maumivu mwisho kwenye ndoa tulivyozoeana mwendo wa mpaka 5 ejaculation a game wakat mtoto katapishwa mara 7 na bdo naitaka kwa shauku..mtoto anakutuliza hii ni yako haiami baba..
 
Kama punyeto ingekuwa na madhara kama ambavyo wataalamu wetu wamekaritishwa na wao kutuletea vivyo hivyo kama imani, nafikiri kusingekuwepo na haja ya kutangaza na kusisitiza njia za uzazi wa mpango maana punyeto haikuanza juzi wala jana na haitoisha leo wala kesho na watoto wanazaliwa kila kukicha.
 
madhara ya hii kitu sio tu kupungukiwa nguvu upande wangu mm haija wahi kunipa shida upande wa nguvu ila ni kuchoka ki akili, alf sa zingine ukiwa unafanya sex na mwanamke kma ni mlevi wa pornography unaanza kuvuta hisia kutoka kwenye hizo pics ulete kwa mtu ulie nae yaan in short ni kitu kibaya sana
 
Jamani hizi smart phone zimeharibu wengi mno watu wanafanya ngono kwenye mtandao actually sio ngono hiyo bado ni punyeto maana nyoka haingii kwenye shimo lake akapata raha yake ila ni kwa kuona papuchi tu kwa hiyo bado ni punyeto tu .Ila nasikia ina madhara makubwa itafika wakati dushe alisimami kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…