CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Yaani huwa wanalamika kimahaba mpaka unamuonea huruma1Wanapopiga na wao wanakuwa na image ya lijamaa ama inakuwaje kuwaje?
Na wanakifa kilele cha mlima?
Wanatoaga ile sauti yao kama leyland Daf inapanda mlima?
Msaada wako ni kushauriwa kuacha haraka.Jamani mmni mhanga wa hili jamb nisaidieni
Ukiweka nia ya kuacha utaacha.Mhhh mm mwenzenu ndio gojo gojo kuacha imekua shida mpk dk hii
Anza kuacha.Na mm ninamiaka 12 sasa nimekua muhanga wa puu[emoji13] [emoji13]
Kuna watu watajitokeza huwezi amini kama huwa nao ni wanachama.Naona Wapiga puli wawe na uzi wao maalum alafu sasa tumlete mtaaalam wa saikolojia.
Pili tuanzishe chama cha wapigaapuli na tuombe msaada serikalini ili kupewa dawa kama mateja wanavyopewa kule mwananyamala.
Tatu,chama kitangazwe na mkutano ufanyike kupata Mwenyekiti ambaye sifa zake ni Awe Kapiga Puli si Chini ya Miaka 20,miaka 10,mweka hazina Miaka 5 .
Nikweli ulicho sema.NI MUHIMU KUTOLICHUKULIA SO DIFFICULT. YOU KNOW HATA DHAMBI IMEKUWA NGUMU KUACHA MAANA IMEAMBIWA NI NGUMU. I TRY TO EMARGINE WALE LOST TRIBE MBONA WANAKAA UCHI NA WANAWEZA? NAWAZA HIVI UKITAKA KUACHA HEBU USILICHUKULIE KUWA NI PROGRAM ILA KUWW NI JAMBO LA KAWAIDA TU NA UKIACHA WAKATI HUO HAKUNA MADHAR UNAWEZA KUPATA.
Watakuwa wananawa kwanza.Kwa suala la punyeto, ili uache paka pilipili mikononi kila unapolala au unapojisikia kupiga. Ukiwa unaoga usipende kujishika kabumbula
Kichwa cha chini kinanguvu sana mkuu.Dawa ya nyeto ni kuacha mwili wako kuendeshwa na kichwa cha chini .... Yaani acha kabisa kuwaza kwa kutumia kichwa cha chini kabisa
good hyo nayo itasaidia.hahaha unaweza kwenda Protect Yourself! | K9 Web Protection - Free Internet Filter and Parental Control Software ukapata software yakukuzia kama unaangalia picha chafu kupitia mitandao yako pia.
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah nilijua ni kwangu tu kumbe wwngi ni wahanga shikamoo puliBinafsi nimezingatia hizo hatua zako tajwa zote hapo juu lakini bado tu " napunyetika " je tatizo langu labda litakuwa ni nini Mkuu?
Unasema!!!!! Labda tupofuke macho coz midada wengine wanavyojiachia inakuaga ngumu kugeuza uso, ni lazima tu anavyomwaga radhi.Pia wanaume nawashauri mkiona sisi wadada tumekaa vizuri na mapaja yapo nje msiangalie maana nayo inawapunguzia hamu ya ku-duu
Wewe unazali tu! Lakini hizo athali zipo tu kwa wapiga punyeto.punyeto haina madhara,uoga wenu na story za vijiweni ndio unasababisha mshindwe kushiriki tendo la ndoa.
Binafsi nimeanza punyeto tangu darasa la 7 mpka namaliza chuo pale MUHAS bado napiga punyeto,nimeacha punyeto baada ya kuoa.
1-sijawahi kupata madhara ya punyeto napiga mpka bao 4.
2-uume haujasinyaa sio mdogo kama mnavyo-danganyana.
3-sina matatizo ya kusahau,sikupata uchovu wa mwili na kiakili.
NB:life style zenu ndio zinawafanya msiwe na nguvu za kimwili ata za kiume,unakula chips yai+soda,mnajishindilia vyakula vya mafuta mnategemea hizo nguvu mtazipata wapi???
mazoezi hamfanyi mnategemea nguvu mnatazipata wapi???
Hayupo kabisa.Hivi kunamwanaume ambae hajawahi kupiga nyeto ????
Ila kweli jah!Yaani hiyo avatar yako tu inaweza sababisha mtu apige kmoja cha faster
Faida inayo.Hivi hii kitu haina faida hata kidogo?