Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Madhara yake makubwa, hata ukipata demu dushe halisimami vizuri, na likisimama ujue dakika tano nyingi wazungu hao alaf halinyanyuki tena hapo....matokeo yake utaanza kutumia madawa na huo ndio mwanzo wa safari ya shimoni..

Solution
Jiwekeze kwenye mazoezi, acha pornography pic & vids, tafuta mpenz,
Ulicho sema ni kweli kabisa mkuu.
 
issue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,
njia rahisi ya kuacha ni kujiepusha kukaa peke yako, acha kabisa kwa mda kutumia smartphone au tumia palipo na watu, usithubutu kuangalia pornography, tafta mpenzi fanya nae sana kla mda, usipende kushika nyeti zako hasa usiku, mwisho ukianza kupata hisia za punyeto badil akili yako kwa nguvu waza kitu kingine miez 2 tu unapona.
I'm speaking from experience
Ahsante sana experienced man.
 
ahahaha yani unajilaumu lakini unajikuta unarudia, unaweza pumzika kwa muda hata wa mwaka mzima(though ulisema umeacha;ulipumzika tuu) lakini ipo siku utajipa nosweat utachukucha tena,hapo usipokuwa makini utachukucha frequently kwa muda fulani hadi uje uache/upumzike.mimi ili kuacha/kupumzika ilinibidi nitafute manzi zaid ya mmoja mana niligundua napanda sana mnazi kipindi nikiwa single au manzi yangu akienda kwao likizo.ni mwaka na miezi kadhaa tangu mara ya mwisho kupanda mnazi nimepumzika/nimeacha sijui.
Hongera kwa hapo ulipofikia, komaa na hito staili.
 
Aisee. Punyeto.ni hatari sana maneno ya wanasayansi yalinidanganya eti haina madhara lkn nimeshuudia mimi wenyewe kutoka kwenye mwili mwangu najuta hata kwa nini nilijaribu kwa sababu inapunguza sana nguvu za kiume na kurudi ktk hali ya kawaida inachukua mda na inahitaji maamuzi kweli kwa sababu vita ya punyeto ni ya akili na kimwili.
Pole sana!
 
Nikijipa hope ili kuacha ni kuwa na demu utayesex naye anytime jogoo akisimama.... Hii imenilazimisha niwe Bazazi sasa kama siku NNE hivi nyuma nilikuwa na demu, kesho yake nikawa na mwingine, siku ya tatu ile kulala tu mwenyewe ikawa shida nikapunyetika, imenilazimu Jana niite demu mwingine kujiokoa na punyeto.....

Yaani kuacha punyeto kazi sana
 
Grant acha puli bhana!
Hii najua siku hizi dereva boda boda ndo wanazipiga sana maana wengi wameishiwa nguvu za kiume kutokana na kukaa sana kwenye pikipiki na pale mahali kupigwa na joto mda wote,na hao ndio wanaongoza kwa kuchapiwa wanawake zao
 
msomali90 mziki wangua si wa bao moja ya dakika 5 japo wakat wa mwanzo niliteseka sana take ths if u want mimi nilikua napga nyeto mpaka me wangu ulisinyaa na nkua nashndwa kwenda na demu ilinitesa mpaka nkawa nawaza hvi mi kwel ntakua na mke au mtoto kweli? wakat huo kuna kabint mtaani kananikubali kwao wazaz wake wananielewa of whch mwenye ofu nlikua mimi.. nashukuru Mungu nlibulsht kabisa nkawa mbli na picha za ngono nkawa mtu wa mazoez kikubwa nlifkiria sana kushndwa kua na mtoto au kugongewa mpenz wangu ilichukua kama mwaka na nusu kuwa sawa sbu nakumbuka huyu ambae ni mke wangu sku tlitoka wakat huo tko katka maandalizi ya mwisho ya harusi yetu aise nilipewa mech nakumbuka ilikua kiromo hotel pale bgamyo wakat ndio inaanzishwa nkafungua sild japo kwa tbu ila niliona kbisa hali yangu ni tofauti sbu dushe inahtaj papuch af mtoto maumivu mwisho kwenye ndoa tulivyozoeana mwendo wa mpaka 5 ejaculation a game wakat mtoto katapishwa mara 7 na bdo naitaka kwa shauku..mtoto anakutuliza hii ni yako haiami baba..
Shukuru sana kama umeacha.
 
Back
Top Bottom