CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Nijanga la Taifa.Hili ni janga lisilo tangazwa ila lipo na ni ngumu kuji nasua ila kma ukibadili mtindo wa maisha inawekana hasa matumizi ya smartphone na internet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijanga la Taifa.Hili ni janga lisilo tangazwa ila lipo na ni ngumu kuji nasua ila kma ukibadili mtindo wa maisha inawekana hasa matumizi ya smartphone na internet
Inawezekna sana tu Mkuu.Hivi kama nimekuwa " nikipunyetika " for the past three decades itawezekana kweli niache ndani ya muda mfupi?
Chura ni balaaaa!Hasa ukiona video ya chura
Utafanikiwa tu mkuu kuacha.mficha uchi maladhi humuumbua.
Honestly mi hii kitu bdo inanitesa sana tena sana ingawa nimeanza kujitahidi siku hz ni mara moja kwa wiki tu, but naamini ipo siku itakata kabsa, 3 years now tangu nianze.
Ulicho sema ni kweli kabisa mkuu.Madhara yake makubwa, hata ukipata demu dushe halisimami vizuri, na likisimama ujue dakika tano nyingi wazungu hao alaf halinyanyuki tena hapo....matokeo yake utaanza kutumia madawa na huo ndio mwanzo wa safari ya shimoni..
Solution
Jiwekeze kwenye mazoezi, acha pornography pic & vids, tafuta mpenz,
nayo ni sahihi.Ni ngumu kuacha kwa sababu it offers a simple and an inexpensive way to deal with sexual urges. Ni addiction. Best way ni kuwa na Hofu ya Mungu
Ahsante sana experienced man.issue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,
njia rahisi ya kuacha ni kujiepusha kukaa peke yako, acha kabisa kwa mda kutumia smartphone au tumia palipo na watu, usithubutu kuangalia pornography, tafta mpenzi fanya nae sana kla mda, usipende kushika nyeti zako hasa usiku, mwisho ukianza kupata hisia za punyeto badil akili yako kwa nguvu waza kitu kingine miez 2 tu unapona.
I'm speaking from experience
Me ni graduatorAhsante sana experienced man.
mkuu acha hako kamchezo.Ngoja nikapige ya mwisho.
Hata kama ujaoa inawezekana kuacha.Hili kiukweli ni tatizo kubwa, kuacha mpaka uwe umeoa
Pole sana. Wengi wanaanzia shuleni.Najisikia aibu kusema Ila nimekuwa nahali hii sasa ni miaka saba toka Niko sculi
Teh teh teh teh teh....na kuacha kuangalia porn nayo inaitaji mbinu,yani njia nayo inahitaji njia.
Hongera kwa hapo ulipofikia, komaa na hito staili.ahahaha yani unajilaumu lakini unajikuta unarudia, unaweza pumzika kwa muda hata wa mwaka mzima(though ulisema umeacha;ulipumzika tuu) lakini ipo siku utajipa nosweat utachukucha tena,hapo usipokuwa makini utachukucha frequently kwa muda fulani hadi uje uache/upumzike.mimi ili kuacha/kupumzika ilinibidi nitafute manzi zaid ya mmoja mana niligundua napanda sana mnazi kipindi nikiwa single au manzi yangu akienda kwao likizo.ni mwaka na miezi kadhaa tangu mara ya mwisho kupanda mnazi nimepumzika/nimeacha sijui.
Pole sana!Aisee. Punyeto.ni hatari sana maneno ya wanasayansi yalinidanganya eti haina madhara lkn nimeshuudia mimi wenyewe kutoka kwenye mwili mwangu najuta hata kwa nini nilijaribu kwa sababu inapunguza sana nguvu za kiume na kurudi ktk hali ya kawaida inachukua mda na inahitaji maamuzi kweli kwa sababu vita ya punyeto ni ya akili na kimwili.
Shukuru sana kama umeacha.msomali90 mziki wangua si wa bao moja ya dakika 5 japo wakat wa mwanzo niliteseka sana take ths if u want mimi nilikua napga nyeto mpaka me wangu ulisinyaa na nkua nashndwa kwenda na demu ilinitesa mpaka nkawa nawaza hvi mi kwel ntakua na mke au mtoto kweli? wakat huo kuna kabint mtaani kananikubali kwao wazaz wake wananielewa of whch mwenye ofu nlikua mimi.. nashukuru Mungu nlibulsht kabisa nkawa mbli na picha za ngono nkawa mtu wa mazoez kikubwa nlifkiria sana kushndwa kua na mtoto au kugongewa mpenz wangu ilichukua kama mwaka na nusu kuwa sawa sbu nakumbuka huyu ambae ni mke wangu sku tlitoka wakat huo tko katka maandalizi ya mwisho ya harusi yetu aise nilipewa mech nakumbuka ilikua kiromo hotel pale bgamyo wakat ndio inaanzishwa nkafungua sild japo kwa tbu ila niliona kbisa hali yangu ni tofauti sbu dushe inahtaj papuch af mtoto maumivu mwisho kwenye ndoa tulivyozoeana mwendo wa mpaka 5 ejaculation a game wakat mtoto katapishwa mara 7 na bdo naitaka kwa shauku..mtoto anakutuliza hii ni yako haiami baba..