CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Yani isinge kuwa kwa huu uzi na Google translate nisingejua punyeto ndiyo neno la kiswahili la masturbation.
lakini huu uzi ni jitihada nzuri na kunamengine ninaweza kuongezea yamuhimu zaidi kwenye kuacha kabisa punyeto. Alafu hili neno linanichekesha hata kulisema lol.
1: Tafuta mtu unaye muamini atakaye kuwajibisha uwe muaminifu kwenye kutokuangalia picha chafu na kufanya punyeto. Huyu mtu awe na password ya simu au laptop yako na awe anaikagua kwa gafla gafla.
2: Punyeto ina madhara kwenye juhudi zako na mafanikio yako maishani yani inakufanya uwe mvivu na uwe umeridhika na hali ya maisha yako. Hii ni kwasababu kwenye ubongo, mishipa ya ume wako haiwezi kutafautisha kati ya mkono wako au mwanamke, na inakupa reward kwenye reward centers ya brain na unajiskia kama ulichofanya ni kitu kizuri na urudie. Hivi ndivyo unavyokua addicted. Ndivyo tulivyoumbwa tupende tendo la ndoa na kulifanya na mwanamke lakini siyo wenyewe.
3: Punyeto inaharibu uwezo wako wakuongea, na kujieleza hasa hasa kwa wasichana kwasababu kiasili usingekua unafanya punyeto ungekuwa na jitihada kwenye kuongea na wanawake na ungedevelop skills zinazohitajika lakini kama umezoea punyeto hutaweza kuongea na wanawake kwa kujiamini.
4: Usikate tamaa kama kila hapa na pale unarudi kwenye hiki kitendo bado jitahidi kukiacha kila mara kwa mda mrefu zaidi ya mara ya mwisho. Inawezekana kuacha hii tabia watu wengi wanaifanya na wapo YouTube kwenye kikundi kinaitwa NOFAP.
Ahsante sana Mkuu!