Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Yani isinge kuwa kwa huu uzi na Google translate nisingejua punyeto ndiyo neno la kiswahili la masturbation.
lakini huu uzi ni jitihada nzuri na kunamengine ninaweza kuongezea yamuhimu zaidi kwenye kuacha kabisa punyeto. Alafu hili neno linanichekesha hata kulisema lol.

1: Tafuta mtu unaye muamini atakaye kuwajibisha uwe muaminifu kwenye kutokuangalia picha chafu na kufanya punyeto. Huyu mtu awe na password ya simu au laptop yako na awe anaikagua kwa gafla gafla.
2: Punyeto ina madhara kwenye juhudi zako na mafanikio yako maishani yani inakufanya uwe mvivu na uwe umeridhika na hali ya maisha yako. Hii ni kwasababu kwenye ubongo, mishipa ya ume wako haiwezi kutafautisha kati ya mkono wako au mwanamke, na inakupa reward kwenye reward centers ya brain na unajiskia kama ulichofanya ni kitu kizuri na urudie. Hivi ndivyo unavyokua addicted. Ndivyo tulivyoumbwa tupende tendo la ndoa na kulifanya na mwanamke lakini siyo wenyewe.
3: Punyeto inaharibu uwezo wako wakuongea, na kujieleza hasa hasa kwa wasichana kwasababu kiasili usingekua unafanya punyeto ungekuwa na jitihada kwenye kuongea na wanawake na ungedevelop skills zinazohitajika lakini kama umezoea punyeto hutaweza kuongea na wanawake kwa kujiamini.
4: Usikate tamaa kama kila hapa na pale unarudi kwenye hiki kitendo bado jitahidi kukiacha kila mara kwa mda mrefu zaidi ya mara ya mwisho. Inawezekana kuacha hii tabia watu wengi wanaifanya na wapo YouTube kwenye kikundi kinaitwa NOFAP.


Ahsante sana Mkuu!
 
ahahahaha
Naona Wapiga puli wawe na uzi wao maalum alafu sasa tumlete mtaaalam wa saikolojia.

Pili tuanzishe chama cha wapigaapuli na tuombe msaada serikalini ili kupewa dawa kama mateja wanavyopewa kule mwananyamala.

Tatu,chama kitangazwe na mkutano ufanyike kupata Mwenyekiti ambaye sifa zake ni Awe Kapiga Puli si Chini ya Miaka 20,miaka 10,mweka hazina Miaka 5 .
daa balaa
 
me nna mwaka na miez kadhaa tangu mara ya mwisho kuchukucha,lakini nimeshaacha mara nyingi sana na baada ya muda mrefu siku nikiwa na maupwilu najipa moyo kuwa "mbona sijapiga siku nyingi" napiga tena,bas hapo najikuta napita frequently hata ndani ya wiki tatu,nawaza tena madhara yake naacha.nashukuru sijawahi kuwa na consistency ya kupiga on daily basis nadhani hyo ndo imesaidia sijawahi kupata madhara makubwa.saiv nimejiwekea kuwa nikiwa nachat nipo online na nipo geto peke yangu nikijisikia wigo naenda kulala au natafuta shughuli nyingine ya kufanaya.niliamua kuimagine kuwa kuna mtu ananiroga nipge puli so nashindana naye, sipigi hata wigo upande vipi.nikiona wigo umepanda natoka nje huku nasema"bado hujanipata mshenzi wewe!" ahaha! hii imani ya kipumbavu ilinisaidia.
 
Acha kuangalia video za ponography

Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..

Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga

Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.

Epuka kukaa nyumbani peke yako

Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.

Fikiria kuhusu madhara yake

Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.

Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho

Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

Tafuta mpenzi kama huna kabisa

Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine

Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.

Binafsi nimezingatia hizo hatua zako tajwa zote hapo juu lakini bado tu " napunyetika " je tatizo langu labda litakuwa ni nini Mkuu?
 
me nna mwaka na miez kadhaa tangu mara ya mwisho kuchukucha,lakini nimeshaacha mara nyingi sana na baada ya muda mrefu siku nikiwa na maupwilu najipa moyo kuwa "mbona sijapiga siku nyingi" napiga tena,bas hapo najikuta napita frequently hata ndani ya wiki tatu,nawaza tena madhara yake naacha.nashukuru sijawahi kuwa na consistency ya kupiga on daily basis nadhani hyo ndo imesaidia sijawahi kupata madhara makubwa.saiv nimejiwekea kuwa nikiwa nachat nipo online na nipo geto peke yangu nikijisikia wigo naenda kulala au natafuta shughuli nyingine ya kufanaya.niliamua kuimagine kuwa kuna mtu ananiroga nipge puli so nashindana naye, sipigi hata wigo upande vipi.nikiona wigo umepanda natoka nje huku nasema"bado hujanipata mshenzi wewe!" ahaha! hii imani ya kipumbavu ilinisaidia.
Teh teh teh teh teh......
 
Nina Mke Sasa Nina Mtoto Wa Kiume Niliwah Kua Muhanga Wa Punyeto Tangu Mwaka 2000 Mpaka 2011 Na Kuna Miaka Kama Kuna Sku Nlikosa Kupga Puli Ni Wiki 3 Madhara Yake Makubwa Mno Kwanza Mpaka Nimepata Nguvu Ya Kubebesha Mimba Aise Achen Hyo Kitu Mara Moja Madhara Yake Makubwa Sana.
Hongera kwa kuacha.
 
Back
Top Bottom