Ahsante kwa ushauri.
 
Mkuu hayo mazoezi yanakuaje au unayafanya kwa mtindo upi? Naoma ufafanuzi kidogo, nimeipenda hii.
Kegel exercises ni mazoezi yanayohusisha msuli uitwao PC muscle(puboccocygeus muscle) unaocontrol kutoka kwa mkojo,ejaculatio(kupizi) na uimara wa uume wako.
Kitu cha kwanza kabisa ni lazima uujur huu msuli na sehemu ulipo.
Njia pekee ya kuutambua huu msuli ni hii, pale unapotoa haja ndogo jaribu kuukata mkojo, utahisi kama vile anus imekaza hivi na uume unakua umekaza.. huo msuli unaokua umekaza ndio PC muscle..
Sasa jinsi ya kufanya mazoezi na huu msuli ndo tunaita KEGEL EXERCISE.
Unachotakiwa kufanya:
1. Bana msuli huu kwa sekunde 3 kisha pumzika kwa sekunde 3 tena. Fanya hivo mara kumi.
2. Bana msuli kwa sekunde tano kisha pumzika kwa sekunde 5..
Fanya hivo mara kumi tena. Endelea kuongeza muda wa kubana kadri unapozidi kuzoea ila muda wa kupumzika usizidi sekunde 5.
Kadri unapoweza kubana kwa muda mrefu, ndo msuli mambo yanazidi kua mazuri na utaona mwenyewe tu perfomance yako kitandani.

NOTE:
~Wakati unabana hakikisha misuli ya mapaja, makalio na tumboni iko relaxed kabisa na isihusike.
~Usifanye zaidi ya mara tatu kwa siku.
 
Ulipiga kwa mda gani, na ulivyoacha ulirudi kawaida baada ya mda gani??
punyeto nilipiga kwa miaka 11 nabaada ya kuacha ndani ya miezi sita nikaanza ona mabadiliko kidogo angalau na ninaendelea kufanya kegel exercise nakula vizuri,sina stress natumaina nitarudia hali ya kawaida as soon as possible
 
punyeto nilipiga kwa miaka 11 nabaada ya kuacha ndani ya miezi sita nikaanza ona mabadiliko kidogo angalau na ninaendelea kufanya kegel exercise nakula vizuri,sina stress natumaina nitarudia hali ya kawaida as soon as possible
Mkuuu me nimepiga kwa miaka 9 lakini ku recover aiseee inahitaji maamuzi magumu zaidi ya jambazi..kwanza kuacha punyeto pili mazoezi kula vizuri usiwe na stress..... lkn inachukua mda siyo kazi ya siku moja.
 
Mkuuu me nimepiga kwa miaka 9 lakini ku recover aiseee inahitaji maamuzi magumu zaidi ya jambazi..kwanza kuacha punyeto pili mazoezi kula vizuri usiwe na stress..... lkn inachukua mda siyo kazi ya siku moja.
mi juzi kati hapa nilijaribu game nikawaza yasije kunitokea kama yale ya mwanzo kumuacha mtoto wa watu hewani,so nikalewa konyagii nitoe hofu nikaenda shivas kununua kahaba ili nisihaibikelikua mara yangu ya kwanza kufanya huo uchafu.
nilitembea na game fresh kabisa usku kama goli 4 lakini asubuhi dushee iligoma kushtua tena!

punyeto mbaya sana anayepiga aache.atakuja juta
 
Ahsante sana umeeleweka vyema.
 
Pole sana ila jaribu mara kwa mara wanawake usiogope aibu.
 
Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho

Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.


Ahahahaha!!! HII NI KWELI KABISA. LEO TAREHE 06/07/2016 SIKU YA EID, Napiga ya mwisho kabisa. Na ninaacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…