love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Hahahahaha Evelyn salt unanikosha roho haswa... Natamani.... NikuoneAngalizo: wakati unaacha kujichua make sure una njia mbadala ya kupunguza na kuondoa nyege
Kama amna mnadala wa kuziondoaje???Angalizo: wakati unaacha kujichua make sure una njia mbadala ya kupunguza na kuondoa nyege
Ukifanya kwa kiasi utajikuta unafanya kila sikuToo much is harmful kwenye kila kitu...fanyeni kwa kiasi.lol
Itakua poa sana ukifanya hivyoVizuri mkuu kwa kuelimisha jf umeielimisha na jamii yangu nitatoa somo kwa vijana wenzangu kupitia reference yako.
Kuwa bize na mambo yako tu siyo lazima utafute pa kuzitoleaAngalizo: wakati unaacha kujichua make sure una njia mbadala ya kupunguza na kuondoa nyege
ni pm tuongee vzuri tusaidiane kuachaSipendi lakini najikuta natamani tu nikimaliza huwa najichukia sana mda mwingine mpaka nalia...du!
Unazijua vizuri nyg?Kuwa bize na mambo yako tu siyo lazima utafute pa kuzitolea
utasikia mtu anapiga puli uku akisema "ya mwisho mwisho mweee!!"Hili tatizo Ni kubwa Sana.ila Kuna siri kubwa ndani yake wengi husema Leo nafanya Mara ya mwisho lkn baada ya siku kadhaa hurudia.kitu cha kushangaza zaidi hujiuliza maswali Na kujipa matumaini kwa majibu mepesiiiii
kukukinga kivipi na tez dume??aixee ni tatizo kumbe...madhara yapo,lkn kwa wanaume inaweza ikawa msaada wa kukukinga na tezi dume(prostate cancer)...kufanya mazoezi na meditation inaweza saidia
utafiti unaonesha hvyo,wanaume ambao wana ejaculate zaidi wana risk ndogo ya kupata tezi dume tofauti na wale ambao hufanya hvyo Mara chache..kukukinga kivipi na tez dume??