Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Ni mwaka wa 4 sasa najitahidi niache ila nashndwa ata nikipata mwanamke naona hana ladha nisaidieni wakuu!
namna rahisi ya kuacha kwanza ni kujuwa kwanza madhara yake, ukishayajuwa utaamuwa mwenyewe.Ni mwaka wa 4 sasa najitahidi niache ila nashndwa ata nikipata mwanamke naona hana ladha nisaidieni wakuu!
wewe umenishauri vema mkuu asante!Hilo ni pepo la ngono. Nenda kwenye maombi ukaombewe. Soma vitabu vya Mungu, hudhuria ibadani, na kwenye semina ya neno la Mungu. Hiyo ndo dawa pekee ya ugonjwa wako.
Chunguza ujue kitu kinachokutia hamu ya kufanya iyo kitu (porn, playboy magazine etc), then kiepuke. Ukidhamiria utaweza.
Na mdada utafute pia!
mnh hata ladha ya mwanamke huipendi umefikia pabaya ndgu
Narekebisha tu mkuu najua umekosea, Hapo kwenye RED sema TUNA na sio WANA na hapo chini ni UTATU badala ya UTAWA. Hilo tu!
masaburi masaburi masaburiTatizo lake huyu jamaa anaindekeza sana nafsi yake, kaishakuwa teja wa kujichua