Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wewe mwenyewe ukiamua kuacha utaacha,ila usipoamua kubadilika hata ushauriwe vipi haitasaidia.
 
Endelea kupiga 2 mkuu! kwanza ndio vizuri hupati ngoma .......
 
Ni mwaka wa 4 sasa najitahidi niache ila nashndwa ata nikipata mwanamke naona hana ladha nisaidieni wakuu!

Ndoa yako itakuwa ni kati ya mkono wako na dudu yako.
Nakushauri utangaze ndoa na mkono wako mana una tembea na mchumba wako popote uendapo.
Kila la kheri
 
Chunguza ujue kitu kinachokutia hamu ya kufanya iyo kitu (porn, playboy magazine etc), then kiepuke. Ukidhamiria utaweza.
Na mdada utafute pia!
 
spend muda mwingi kwa kazi, na mpenzi wako muda wa kutosha, ingia jf muda wa kutosha tu then utasahau hizo mambo kabisa kidogo kidogo
 
Hilo ni pepo la ngono. Nenda kwenye maombi ukaombewe. Soma vitabu vya Mungu, hudhuria ibadani, na kwenye semina ya neno la Mungu. Hiyo ndo dawa pekee ya ugonjwa wako.
 
unatumia nguvu sana kubana mboo kwa kutumia kiganja. Unajipimia saiz ya utait. **** ni tofauti. Sasa unapotombana **** inakuwa loose kuliko kiganja chako, so huwezi pata hisia. Endelea na mwanamke wako ukijisahaulisha punyeto na mwisho wa siku utamu utarudi
 
Hilo ni pepo la ngono. Nenda kwenye maombi ukaombewe. Soma vitabu vya Mungu, hudhuria ibadani, na kwenye semina ya neno la Mungu. Hiyo ndo dawa pekee ya ugonjwa wako.
wewe umenishauri vema mkuu asante!
 
Achana na hiyo mambo ya self sex bana,ikizidi sana inamadhara makubwa.
 
Ulisoma seminary wewe anyway sali sana mazoezi kwa sana huku ukisindikizwa na girlfriend popote uwendako.
 
Chunguza ujue kitu kinachokutia hamu ya kufanya iyo kitu (porn, playboy magazine etc), then kiepuke. Ukidhamiria utaweza.
Na mdada utafute pia!

sasa kama anafanya wakati wa kuoga je? Aepuke kuoga? Anyway hii ni psychological issue try to build ur psyche n muombe Mungu atakusaidia
 
Narekebisha tu mkuu najua umekosea, Hapo kwenye RED sema TUNA na sio WANA na hapo chini ni UTATU badala ya UTAWA. Hilo tu!

EWEMKAKA vipi.. ulisha ulishamdunga kitu yule mke wa yule friendie aliyekuomba umtengenezee mkewe..
 
Back
Top Bottom