sawa kijana endelea tu usije ukasema hukuambiwa yatakapo kufika magonjwa ya ajabu
Mkuu asante kwa kusema wewe ni mtu mzima

Pia kuna tofauti kati ya jf doctor na jf celebrities....Kwa hiyo kuwa makini usijechanganya post....kupost hapa inahitaji utafiti au nukuu za tafiti....ila kule celeb unapost ubuyu tu hata kama ni unconfirmed.
 
Niliipost ,habari na hoja mchanganyiko ili kuwaasa vijana wenye tabia hiyo waache mara moja, ila moderators ndio wameileta huku,

Niliona si vibaya kile kidogo ambacho nina kifahamu niweze kuwaelimisha wadogo zangu



Sasa swali linakuja kwako ,je wapi kwenye maelezo yangu kuna ukakasi ambao unahitaji uthibitisho?

Pili kwa nini unataka ulete ushindani na kejeli zisizokuwa za msingi?

Je nishawahi kukukejeli wewe??
Thibitisha
 
Ayeyeyeyeeeeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
1.Toa mechanism ya namna mgalala unavyo sababisha Kansa ya ubongo....weka ata link.

2.Elezea jinsi gani puchu inavyo athiri life span ya Y-chromosomes.

3.Onesha ushindani na kejeli nilizokutolea.
 
1.Toa mechanism ya namna mgalala unavyo sababisha Kansa ya ubongo....weka ata link.

2.Elezea jinsi gani puchu inavyo athiri life span ya Y-chromosomes.

3.Onesha ushindani na kejeli nilizokutolea.
wewe hujanielewa, nimesema hivyo kutokana na nini ,inaajulikana kama wanaume life expectancy yetu ni ndogo kuliko wanawake, sasa ikiwa ndogo alafu hikohiko kidogo unashindwa kukitunza utakuwa unazidi kujipunguzia muda wa kuishi kutokana na nini puli upelekea hayo magonjwa niliyoyataja hapo juu

Nafikiri ushanielewa sasa?
 
Hiyo research ilifanyika, wapi? Huo ni uongo, madaktar wenyewe wanasema haina madhara kama hayo,
Thibitisha maneno yako kwa data za uhakika ikiwezekana weka source ya taarifa zako.
Ha ha ha , usiwatishe wazee wa chama la wana bhana
 
sasa mbona kila kitu husababisha kifo,umeona puli tu??acha wivu?
 
Hapana sijakuelewa...jibu maswali yangu kwanza.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uongo wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo research uliifanyia wapi. Hebu Weka reference buana. Usilete ma story ya kittaa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…