brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
sawa kijana endelea tu usije ukasema hukuambiwa yatakapo kufika magonjwa ya ajabuAcha Uongo na Upotoshaji!! Mbona Bro Wangu Hajafa Gerezani Na Agonga Puli Segerea Kama Kawa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kijana endelea tu usije ukasema hukuambiwa yatakapo kufika magonjwa ya ajabuAcha Uongo na Upotoshaji!! Mbona Bro Wangu Hajafa Gerezani Na Agonga Puli Segerea Kama Kawa??
Ukifa kwa ukimwi itakua noma sana kuliko puliSasa puli na ukimwi bora nini, maana kufa kupo ni suala la kuchagua ufe vipi tu.
KabisaUkifa kwa ukimwi itakua noma sana kuliko puli
Mkuu asante kwa kusema wewe ni mtu mzimasawa kijana endelea tu usije ukasema hukuambiwa yatakapo kufika magonjwa ya ajabu
Niliipost ,habari na hoja mchanganyiko ili kuwaasa vijana wenye tabia hiyo waache mara moja, ila moderators ndio wameileta huku,Mkuu asante kwa kusema wewe ni mtu mzima
Pia kuna tofauti kati ya jf doctor na jf celebrities....Kwa hiyo kuwa makini usijechanganya post....kupost hapa inahitaji utafiti au nukuu za tafiti....ila kule celeb unapost ubuyu tu hata kama ni unconfirmed.
kwa nini??mkuu hapo kwenye cancer ya ubongo
napata ukakasi
Ayeyeyeyeeeeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Leo napenda kutoa ushauri kwa wadogo zangu na hata pia watu wazima wenzangu ambao mnatabia ya ajabu ya kujichua.
Kwa wewe ambao unaendeleza huu ujinga nakusihi acha mara moja usije ukawaacha ndugu zako wakiwa wapweke kwa kifo cha kujitakia.
Utafiti unaonesha kuwa upigaji wa punyeto husababisha mwili kukosa nguvu mwisho wa siku mpigaji atakuwa mchovu mchovu na mtu anayependa kulala muda wote. Na kama inavyojulikana kulala lala hovyo husababisha ugonjwa wa kiharusi utakao pelekea kifo.
Pia upigaji wa punyeto husababisha kansa ya ubongo ambayo nayo pia itapelekea kifo. Vile vile upigaji wa puli husababisha magonjwa ya moyo.
Alafu kama tunavyojua Y chromosome ina low life expectancy kuliko X chromosome alafu bado mnaendeleza ujinga ujinga.
Pia napenda kukosoa baadhi ya watu wazima humu kwa tabia yao ya kuwapotosha wadogo zetu na kuwaambia eti puli haina effect yoyote na kuipa sifa kedekede.
NB: Huu ni ushauri tu ukiweza uchukue kama hauna maana yoyote kwako pia nayo iko poa maana imeandikwa Asiye sikia la mkuu huvunjika guu.
wewe hujanielewa, nimesema hivyo kutokana na nini ,inaajulikana kama wanaume life expectancy yetu ni ndogo kuliko wanawake, sasa ikiwa ndogo alafu hikohiko kidogo unashindwa kukitunza utakuwa unazidi kujipunguzia muda wa kuishi kutokana na nini puli upelekea hayo magonjwa niliyoyataja hapo juu1.Toa mechanism ya namna mgalala unavyo sababisha Kansa ya ubongo....weka ata link.
2.Elezea jinsi gani puchu inavyo athiri life span ya Y-chromosomes.
3.Onesha ushindani na kejeli nilizokutolea.
Kudadadeki [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jamaa angu alipinda hadi mgongo kipindi nipo kidato
inachekesha na kutia huruma piaJamaa angu alipinda hadi mgongo kipindi nipo kidato
utakuwa mtu wa kwanza kuacha nyeto ghaflaKumbe ndiyo maana muda mwingi nakuwa nimechokachoka na pia napenda kulalala ovyo ovyo, kumbe hii ndiyo sababu. Basi kuanzia leo naacha punyeto.
SaluteSasa puli na ukimwi bora nini, maana kufa kupo ni suala la kuchagua ufe vipi tu.
Hapana sijakuelewa...jibu maswali yangu kwanza.wewe hujanielewa, nimesema hivyo kutokana na nini ,inaajulikana kama wanaume life expectancy yetu ni ndogo kuliko wanawake, sasa ikiwa ndogo alafu hikohiko kidogo unashindwa kukitunza utakuwa unazidi kujipunguzia muda wa kuishi kutokana na nini puli upelekea hayo magonjwa niliyoyataja hapo juu
Nafikiri ushanielewa sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uongo wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo research uliifanyia wapi. Hebu Weka reference buana. Usilete ma story ya kittaa hapaLeo napenda kutoa ushauri kwa wadogo zangu na hata pia watu wazima wenzangu ambao mnatabia ya ajabu ya kujichua.