Bikuhabari ndugu zangu, mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo, kwa wale ambao sio buheri wa afya, ningependa kuwapa pole na kuwatia imani kuwa watapona na kuendelea na majukumu yao.
Bila kupoteza muda ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada husika, baada ya kukaa kwa muda mrefu na kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tabia za wanadamu, nimegundua kuwa wapo watu wanateswa na tabia ambazo wenyewe wanahitaji kuziacha lakini wameshindwa kabisa.
Ningependa kuzitanabaisha tabia hizo kama ifuatavyo :
PUNYETO : Wapo watu wengi ambao wamekuwa ni watumwa wa aina hii ya mapenzi kwa muda mrefu, wapo waliojaribu kuacha wakashindwa, pia wapo waliojaribu kuacha wakafanikiwa na sasa wanaishi maisha huru.
Ingawa kwa idadi kubwa ya watu inaonyesha kwamba wameshindwa kabisa kuachana na mchezo huu ambao madhara yake hutaweza kuyaona kwa kipindi hiki labda mpaka hapo baadae.
USAGAJI NA USHOGA : Tumeshuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamejiingiza kwenye michezo hii huku wengi wao wakishindwa kutoka na kujikuta wakishindwa watumie mbinu gani kuweza kuachana na dhambi hizi za kisodoma na gomora ambazo zimekuwa machukizo mbele ya muumba wetu.
Kwanza kabisa kabla ya kutoa dawa au suluhisho la kuacha tabia hizi tatu kama nilivyozitanabaisha hapo juu yaani PUNYETO, USAGAJI na USHOGA lazima mtu akubali kwa dhamira yake kwamba anataka kujitoa katika tabia hizi hatarishi.
Ndipo tiba itaweza kufanya kazi vizuri kwa mlengwa aliyekusudiwa, hakuna kinachoshindikana chini ya jua na kwa uwezo alionipa Mwenyezi Mungu “Subhanahu Wa Ta'ala'', kwa kutumia vitabu vyake tukufu, mambo haya ni mepesi kuweza kuyatatua.
Kama wewe ni muhitaji au una ndugu, jamaa au rafiki ambaye unahitaji kuweza kumnasua, usisite kunipigia kwenye mawasiliano yangu : 0655 79 33 35.
Mawasiliano baina yangu na mteja ni ya siri kubwa, hivyo ningependa nikutoe shaka kabisa.
NB : Nimesajiliwa na chama cha waganga Tanzania na nafanya shughuli kwa uwazi na pia nina ofisi zangu.
Wote Mnakaribishwa.