Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Miaka 15 ulijaribu dhambi, dhambi haijaribiwi mkuuu. Sasa hiyo ni rasha rasha bado Mvua kamili.
Hapo subiri muda wa kuoa, ukishakuwa na mke wako ndio utatia adabu. Unajifunza dhambi alafu unataka ubaki bila mashaka.
Jiandae mkeo kubanjuliwa tuu maana hukutaka kuwaheshima wanawake wa wenzako na wako hawatamheshimu.
Malipo ni hapa hapa, jiandae.
Hilo ndio la kukumbuka. Uwe fiti kipindi hichi ili iweje. Ili utende maovu, ili upate ukimwi, au mashaka ya rohoni, au unataka kuchanganyikiwa nafsini mwako.
Wazinzi ndio wanaoshika nafasi ya pili kwa mashaka na kuchanganyikiwa baada ya wauaji.
Hivyo tambua unapanga kuchagua fungu baya