Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
0712505049whatsapp
 
Habari wana jamiiform
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha

Nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena

Nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kazi

Naombeni mnisaidie kwani sasa nahisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii[/QUOTE0712505049
 
KUPIGA PUNYETO KWA MUDA MREFU:

Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.

JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame. Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena. Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
  1. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax. (Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kuingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
  1. Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana
  1. Mishipa ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.
Mishipaya uume kulegea
Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto.

Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu. Na magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
  1. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo
Uume hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume usimama. Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu (ubongo), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.

Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu (Alzheimer), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.

Ni vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume.
Mambo mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.

VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
  1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
  2. Uume kusimama ukiwa legelege
  3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
  4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili (Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
  5. Uumekuto kuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
  6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
  7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
  8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke (Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari unasinyaa)
  9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
  10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
  1. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
  2. Hukaa kifuani kwa muda mrefu (Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45)
  3. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
  4. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile.
  5. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
  6. Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
Source: Ruwehy blog
Weka Picha mkuu
 
Mkuu nenda feri pale nunua pweza wakubwa wawili jike na dume,waandae vizuri then. Wachemshe supu na weka tangawizi nyingi nyingi na vitunguu thaumu kiasi ,weka ktk bakuli kula ASUBUHI na jioni mpk imalize ,usisahau kuweka na ndimu kwa mbali katika bakuli ya supu .halafu lete mrejesho.hapa
 
116447cc00ca190be2699f4a080ad2b7.jpg
 
Tafuna vitunguu saumu vitatu kila siku asubuhi unapoamka tu,alafu uwe unakunywa maji ya kutosha.
Mwezi mmoja tu utapiga dudu mpk ushangae
 
Wewe ni sifuri tu,usije kujinywea madawa meeeengiii ukajitafutia majang mengine,wengine wanazaliwa hawana nguvu tu,wengine wanapiga punyeto mpaka uzeeni tena goli mbili au tatu kwa siku,na bado wanauwezo wa.kubaka katika umri wa miaka 63.
moja linakutosha
 
Habari wana jamiiform
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha

Nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena

Nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kazi

Naombeni mnisaidie kwani sasa nahisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii
Mkuu nikiri kwamba kutokana na hili bandiko na muda uliolibandika humu jukwaani, inanipa mashaka kuwa ni wewe ambaye demu wako huyo mwenye elimu kiwango cha degree amenihabarisha kuhusulo. Nimekuwa nikitafuta namna ya kukushauri lakini nashindwa maana wewe ni rafiki yangu ila hujui tuliwahi kumshea huyo demu zamani hadi mimi nilipooa ndo akabaki na wewe. Ni baada ya mimi kuoa ndipo alikuta tunafahamiana kupitia Facebook na aliponiuliza nilikiri kukufahamu. Sasa mkuu nikikuangalia hasa baada ya huyo demu jana kunihadithia tena vile umeshindwa kumpuliza, nashindwa kuamini. Yeye anahisi labda umezitoa kafara nguvu zako ili upate mali.

Anyway inawezekana kuwa si wewe but kuna mwenzio pia anataabika huku mkoani (si mwanaume wa Dar).

Ninakuombea urudiwe na nguvu zako. Ila jitahidi kufuta porn video kwenye storage zako. Jibidiishe na kazi na mazoezi. Soma vitabu vitakatifu n.k
 
Habari Jf Doctors!
Ninayofuraha kubwa kuwaambia kesho january 6 2017 natimiza miezi nane bila kufanya masterbution.
Kiukweli nilihangaika sana kuacha huu mchezo ambao nimeutumikia zaidi ya miaka 6.
Shukrani za pekee sana kwa wadau wote wa jukwaa hili. simaanishi nimeshinda vita hii bali nina sababu ya kusema naelekea sehemu nzuri ya kushinda vita hii. Mungu anisaidie sana..!
 
Habari Jf Doctors!
Ninayofuraha kubwa kuwaambia kesho january 6 2017 natimiza miezi nane bila kufanya masterbution.
Kiukweli nilihangaika sana kuacha huu mchezo ambao nimeutumikia zaidi ya miaka 6.
Shukrani za pekee sana kwa wadau wote wa jukwaa hili. simaanishi nimeshinda vita hii bali nina sababu ya kusema naelekea sehemu nzuri ya kushinda vita hii. Mungu anisaidie sana..!
Hongera zako mkuu
 
Back
Top Bottom