Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Umetishaa! ndg mweka hazina.Baba we jigegede na mapuli unachofanya ni kukidhalilisha chama kionekane kibaya... Chaputa never die, unatusaliti
Ntafute 0655229028habari wana jamiiform mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kaxi naombeni mnisaidie kwani sasa naisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii
acha porojo ww duniani kote tafiti zote hazijaonyesha kama punyeto ina leta matatizo hayo! au ww hiyo reserch ulifanyia wapi??Kuna upotoshaji sana kwenye mitandao ya kijamii kila mtu atajifanya doctor, hapo kwenye red huo ni upotoshaji, punyeto kwa kiwango kikubwa huathiri sana kusimama kwa uume, wakati wa kufanya nyeto kiganya kinavyosugua uume hasa ukiwa unafanya mara kwa mara upelekea mishipa ya uume kushindwa kuwa na nguvu na kudhoofisha kufanya kazi yake,
Pia ina athari kwenye uwezo wa brain to memorise and to work properly , kwa maana unauchocha ubongo kufikiria kile unachokiwaza ili ukojoe, sasa wakati unavutia picha ili ukojoe pale unaufanyisha brain kazi kubwa sana,
duniani kuna imani tofauti usidhani kila mtu ni muumini wa hivyo vitabu vyako vitakatifuKWA WOTE WALIO COMMENTS UPUMBAVU NDIO WAHASIRIKA WAKUBWA WA PUNYETO.
KITU CHOCHOTE KILICHO KATAZWA KWENYE VITABU TAKATIFU NA MAABARA LA ZIMA KITAKU NA MAZARA TU JUU YAKO, KWAHIYO UNAEJIAIFIA UMEPIGA NYETO MIAKA 15 BILA EFFECT YOYOTE, SASA SUBIRIA MREJESHO WAKO.
Mkubwa hii kitu ina madhara vijana wengi wanaumia na hii kitusex is mindset game! nilibahatika kupata semina za Afya na uzazi kutoka kwa Madaktari kutoka Uingereza na India tulikuwa wanafunzi by the time watu waliuliza sana hayo maswali but wote walitoa majibu kuwa hamna reserch yoyote ambayo ilisema punyeto ina madhara!
Ulikua unapiga punyeto kwa muda gani, yani kwa siku mara ngapi au kwa week mara ngapi?
Uongozi wa Chaputa tunasikitika kumpoteza huyu kijana
Inategemea mkuu ulikuwa unapiga kwa stail gani, kama ya mkoni lazima upate madhara baada ya mda.Itachukua miaka mingi sana mpaka nije kuamini punyeto ina madhara.
Nimepiga puli kwa muda wa miaka 13,nimekuja kuacha baada ya kuoa na sijapata tatzo lolote mpaka hivi sasa.
Wewe itakuwa una matatizo yako ya kiafya wala usisingizie punyeto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa kweli atakuwa mwanandoa uyu?Mume wangu alikuwa na tatizo kama hilo, alinioa halafu akawa hawezi, yaani dushe kubwa halafu kama tu.
Ilibidi nimhoji kwa kina, akanambia alianza punye akiwa at 15yrs mpaka ananioa alikuwa at 30, nilimfariji sana nikaamua kumsaidia.
Kwanza jiamini kwamba wewe ni mwanaume mwenye uwezo wa kupiga show.
Ondoa mashaka kuwa mwenza wako anakudharau au atakuacha.
Anza mazoezi, piga mazoezi hasa yale ya kutoa jasho jingi sana mfano kukimbia umbali wa km moja.
Kula mboga za majani, epuka utumiaji wa nyama, kula dona, mbogamboga hasa matembele nk.
Vaa pensi bila chupi, au boxer zinazobana, make sure that hubani sehemu zako za siri, yaani kuvaa suruali na boxer zako zibazobana sana.
Endelea kupiga mazoezi kila jioni, huku ukijozua kupiga punye kwa miezi sita mfululizo.
Wakati wa kufanya mambo yenu na mkeo chakwanza vaa ndomu, maliza fasta then tulia kwa muda kidogo huku mkipiga story ikiamka piga mambo.
Baada ya miezi mitatu utakuwa poa uje hapa ulete mrejesho.
Kumbuka lazima uwe mwanandoa sio ukafanyie umalaya, ukimwi upo, unaua
Kwaiyo inafaa lakini sio kuzidisha mkuu?KWELI KABISA KAKA.