AsantePole acha tabia mbaya hiyo
Asante mkuu nitajitahidi kuacha sasa hiviMkuu hata uwe na dem mkali kiasi gani kama unaendekeza hilo swala basi huwezi kuinjoi nae hata kidogo, cha msingi aache kama nilivoacha mimi sasa nafurahia ndoa yangu. Kipindi naendekeza suala hilo nilipata tabu sana mpaka nikahisi nimerogwa kumbe hapana nilijiroga mwenyewe. Cha msingi njia rahisi ya kuepuka kuja kusumbuka baadae acha sasa hivi moja.
Hebu niletee hiyo gundi kuna karatasi zangu hapa zimechanika nataka nizigundisheHabari za saa hii wana JF,
Mimi ni mmoja wa member wa CHAPUTA kwa muda wa takribani miaka miwili sasa.
Sasa leo asubuhi nilipokuwa nikipiga punyeto nikashangaa kuona badala ya shahawa kutoka yakatoka maji maji hivi kama gundi.
Sasa wadau hapa naweza kuwa na tatizo lipi na mpaka umri huu sijawahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote.
Mkuu hii gundi ikitoka tu,inaganda hapo hapoHebu niletee hiyo gundi kuna karatasi zangu hapa zimechanika nataka nizigundishe
Poa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mie naomba nikukwachue
Tuwasiliane basiiiPoa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata mimi iyo ishanitokea ilikua sehemu za paja panauma kimtindo nikishajilipua,ikabid niaache nitafute demu wa kumuwasha toka apo mambo flesh__pole mkuuWakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi
Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation
Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
Dah mkuu nitapambana hadi niweze kuachaYah kabisa yaan hiyo ninpunyeto mkuu sasa hapo ukiwa upo na mwanamke unamchezea bas yanatoka makamasi hivi menfmgi hlf dudu linakua dhaifu pole sana mzee....karibu kwenye janga hili...au soma uzi wangu hapo juu
Asante mkuuUtakuwa na tatizo la uchache wa mbegu"low sperm count"
Nenda kapime sperm upate uhakika wa hilo tatizo .
Mkuu ndo hivyo tena,ila nitajitahidi kuachaDogo unazingua
Asante sana mkuuMsaidieni kiukweli nyeto sio ishu, for sure inamadhara makubwa badae, so kama huwezi kukausha tafuta dem
Mkuu yaan bado naumiza sana kichwa kuhusu hii ishu,mara kibao napanga kuacha lakini nafailMtaji wa mbata na karanga au?
Hapana mkuu ila ni tatizo linalo nisumbua.Mwenezi wa Chaputa nn
Ha Ha Ha Ha Ha Ha HaWahi hospital tu,
Mana inaelekea mbegu ushamaliza