Mkuu, hiyo sidhani kama ni Punyeto, embu tueleze kwanza unafanya punyeto mara ngapi kwa siku na unamwaga mara ngapi?

Mimi sidhani kama Punyeto inaweza ikawa ni sababu, nenda hospitali tu Mkuu ukapate suluhisho.
 
Mkuu, hiyo sidhani kama ni Punyeto, embu tueleze kwanza unafanya punyeto mara ngapi kwa siku na unamwaga mara ngapi?

Mimi sidhani kama Punyeto inaweza ikawa ni sababu, nenda hospitali tu Mkuu ukapate suluhisho.
Nafanya mara 2 au 1 kwa siku. Ila kama nikiamka vizur hata mara 3 mkuu.
 
Asante mkuu
 
Kuacha hiyo kitu ni mziki
Mi nishacha mwaka sasa,ilinitesa kinyama
 
Kuna demu wa rafiki yangu alikuja kulalamika wakiwa room jamaa anashindwa game kisha anaelekea chooni kupiga nyeto. Aisee hii kitu sio ya kuendekeza. Japo si vibaya kupunguza wazungu kwa style hiyo
 
Ukiona hivyo ujue hushibi kijana, piga vitu vya mafuta, tende, juice ya tende, maparachichi, matikiti maji na mchemsho wa kuku wa kienyeji then lete mrejesho
 
Ndg salaam,

Nimekuwa nikijihusisha na mchezo wa kupiga punyeto kwa muda mrefu tangu shuleni miaka ya 90, hadi sasa na familia yaliyonikuta siwezi sahau nimepungukiwa nguvu za kiume. Siwezi mechi hata raundi moja.

Je, naweza pata matibabu ili nirudi ktk hali yangu ya zamani. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kurudisha nguvu za kiume.

Kuhusu kuacha kupiga punyeto nimeweza kujizuia sasa yapata miezi 2 sifanyi tena mchezo huo.

Karibuni kwa ushauri.
 
Pole sana mkuu, mtafute huyu muudum anaweza kukusaidia, ila anatumia natural remedy kama utakubaliana Nazo, maana aliwahi kumtibia rafki angu. No yake,0758157247
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…