Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu, hiyo sidhani kama ni Punyeto, embu tueleze kwanza unafanya punyeto mara ngapi kwa siku na unamwaga mara ngapi?

Mimi sidhani kama Punyeto inaweza ikawa ni sababu, nenda hospitali tu Mkuu ukapate suluhisho.
 
Mkuu, hiyo sidhani kama ni Punyeto, embu tueleze kwanza unafanya punyeto mara ngapi kwa siku na unamwaga mara ngapi?

Mimi sidhani kama Punyeto inaweza ikawa ni sababu, nenda hospitali tu Mkuu ukapate suluhisho.
Nafanya mara 2 au 1 kwa siku. Ila kama nikiamka vizur hata mara 3 mkuu.
 
Yawezekana kuwa chanzo, kwani punyeto hukamua pengu kwa wingi hivyo unahitaji kujipumzisha bila kupunyeka kwa muda wa week 3, utakuwa sawa,

Kama unahisi maumivu sehemu za viongo vyako vya uzazi nenda hospital kwani pengine umepata maambukizi ya ugonjwa,

Pia jaribu kupunguza upigaji wa nyeto kwani hakika siku ukipata demu hutamkuna vizuri kutokana na kiungo chako kuwa legevu kutokana na punyeto ya kila mara misuli huwa laini,
Asante mkuu
 
Kuna demu wa rafiki yangu alikuja kulalamika wakiwa room jamaa anashindwa game kisha anaelekea chooni kupiga nyeto. Aisee hii kitu sio ya kuendekeza. Japo si vibaya kupunguza wazungu kwa style hiyo
 
Habari za saa hii wana JF,

Mimi ni mmoja wa member wa CHAPUTA kwa muda wa takribani miaka miwili sasa.
Sasa leo asubuhi nilipokuwa nikipiga punyeto nikashangaa kuona badala ya shahawa kutoka yakatoka maji maji hivi kama gundi.

Sasa wadau hapa naweza kuwa na tatizo lipi na mpaka umri huu sijawahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote.
Ukiona hivyo ujue hushibi kijana, piga vitu vya mafuta, tende, juice ya tende, maparachichi, matikiti maji na mchemsho wa kuku wa kienyeji then lete mrejesho
 
Tuache punyeto vijana,mi nimeanza dozi ya kienyeji baada ya kuwa napiga kimoja chalii
97b8e95777a4a4dc28c40f9f7ff82c79.jpg
 
Ndg salaam,

Nimekuwa nikijihusisha na mchezo wa kupiga punyeto kwa muda mrefu tangu shuleni miaka ya 90, hadi sasa na familia yaliyonikuta siwezi sahau nimepungukiwa nguvu za kiume. Siwezi mechi hata raundi moja.

Je, naweza pata matibabu ili nirudi ktk hali yangu ya zamani. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kurudisha nguvu za kiume.

Kuhusu kuacha kupiga punyeto nimeweza kujizuia sasa yapata miezi 2 sifanyi tena mchezo huo.

Karibuni kwa ushauri.
 
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
Pole sana mkuu, mtafute huyu muudum anaweza kukusaidia, ila anatumia natural remedy kama utakubaliana Nazo, maana aliwahi kumtibia rafki angu. No yake,0758157247
 
Back
Top Bottom