Asante ndg kwa ushauri wako.
 
Nashauri serikali swala la punyeto liondolewe kwenye syllabus uko primary tumefundishwa kama njia nzuri ya kuzuia ukimwi ndo michezo inakoanziaga, nakumbuka mwalimu philibert Raphael ndo ulinifundish huu mchezo darasa la sita namshukuru mungu nimeacha na sijawai kuwa na nguvu za kiume
 
Pole ndugu hilo ni tatizo la vijana wengi wa kiume hata watu wazima. Tatizo la ugonjwa huu ni bora hata madawa ya kulevya, unaweza pelekwa rehab ukapona. Punyeto haina rehab ni kujikontrol tu mwenyewe, Mm nina shinda siku mbili hapa sijapiga nyeto naona kama nimekaa mwaka mzima.
 
Nielewe hapo awali nilikuwa vzr kabisa baada ya miaka mingi ya mchezo wa punyeto sasa nguvu za kiume zimepungua
mkuu hii reply haikuwa yako...kuna kiumbe hapo juu ndo inamuhusu....sio ww mkuu
 
Punyeto haina madhara unayoyataja hapa, utakuwa na matatizo mengine pengine stress na matatizo kama hayo
 
Mkuu, hapo mwisho unasema hujawahi kuwa na nguvu za kiume???? [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Siamini Kama Punyeto Inaua Nguvu Za Kiume
kinachoua nguvu za kiume sio punyeto, ni aina ya punyeto wanazopiga na aina ya vilainishi watumiavyo. Punyeto ni njia salama sana katika sex abstain. Pamekuwa na story nyingi za vitisho kuhusu punyeto bila ya kuwaambia watu njia salama zakufanya punyeto, kiuhalisia kama kuna madhara katika punyeto yanatakiwa madhara hayo hayo yawepo katika normal sex, maana kinachofanyika nikile kile. Kuna namna bora za kufanya punyeto bila madhara kama vile pia kuna namna bora ya kufanya sex bila madhara.
 
Uko Sahihi Kabisaa,watumie Kilainishi Ambacho Akileti Msuguano
 
Mkuu kwa nn upige punyeto muda wote huo na kujisababishia matatizo yote hayo na huku kuna hata wale wa kununua kinachotakiwa kwa ambao tunaendekeza mchezo huu tunatakiwa kupiga angalau mara tatu au nne kwa mwezi afu na siku zingine tupate hata wale wa kununua kwa ajili ya kujipunguzia mihemko yetu mbona simple sana na ndo huwa natumia mimi na sijawahi pata hilo tatizo na hii ni kwa ambao wako bize sana na kazi zao au ikibidi tafuta demu wa kujiliwaza kwa muda mbona wapo ni maneno yako tu..
 
 
Mkuu kwasasa na mke na watoto,tatizo ilikuwa namna ya kuacha purry,ila kwa kuwa nilifanya kwa muda mrefu huko nyuma sasa hivi tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na wakati mwingine kushindwa kabisa limjitokeza na kuna wakati nawahi sana kumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…