Isinik
Senior Member
- Dec 11, 2016
- 104
- 62
Asante ndg kwa ushauri wako.Pole sana
Fanya mazoezi, kula vizuri na jiamini unapokuwa na mpenzi wako. Tatizo linaweza likawa la kisaikolojia zaidi tofauti na unavyoona.
Usije ukununua dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume utajimalizia kabisa,jambo la msingi kuwa mvumilivu matokeo utayapata taratibu.