Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kupiga PUNYETO si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili yenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya punyeto kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza.

1. Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
"Watu walio imara katika punyeto kuchukua siku nyingi kuwa wagonjwa," anasema Yvonne K. Fulbright, PhD mtaalam wa afya ya ngono.

Kumbuka
Unapaswa bado kufanya mambo mengine ili kwamba kufanya mfumo wako wa kinga na uwe imara, kama vile:
  1. Kula vizuri.
  2. kuwa imara / kufanya mazoezii.
  3. Kupata usingizi wa kutosha.
  4. Kuweka au kufanya chanjo kadiri inavyotakiwa.

2. Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
"Kwa kupiga puli, hufanya uume/uke kuwa bora na kuboresha hamu yako ya kufanya mapenzi tena na tena ," anasema Lauren Streicher, MD. Yeye ni msaidizi kliniki profesa wa masuala ya uzazi na magonjwa ya wanawake katika Chuo Kikuu cha Northwestern Feinberg katika Shule ya Tiba huko Chicago.


3. huimarisha cha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
Uimara wa nyonga/pelvic ni muhimu kwa ajili ya kuzuia madhaifu hayo, Kitu ambacho huathiri karibu ya wanawake 30% wakati fulani katika maisha yao. punyeto nzuri ni kama kazi ya kuimarisha misuli ya kiuno au nyonga. Wakati una upofika kileleni/mshindo, kwa sababu ukazaji wa misuli yake, hufanya kuimarisha kwa kibofu.


4. Hupunguza shinikizo la damu.
Utafiti unaonyesha uhusiano kati ya punyeto na kupunguza shinikizo la damu, anasema Joseph J. Pinzone, MD. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji na mkurugenzi wa tiba katika chuo cha Amai.
"Kumekuwa na tafiti nyingi," anasema. "Moja ya utafiti wa kihistoria ulibaini kuwa kujichua (Punyeto) hupunguza sytolic shinikizo la damu." na hiyo ndio kipimo cha ya kwanza cha shinikizo la damu.


5. Huhesabika kama moja ya Zoezi
"Punyeto ni aina moja kubwa sana ya zoezi," Pinzone anasema. Japokuwa haiwezi kuchukua nafasi kama ya mashine ya kufanyia mazoezi yale ya kukimbia au kutembea huku upo pale pale (treadmill), lakini huwa inakuwa umefanya kitu fulani.

6. hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
Maisha mazuri ya punyeto ni mazuri pia kwa moyo wako. Licha ya kuwa njia nzuri ya kuongeza kiwango cha ufanisi wa moyo wako, punyeto husaidia kuweka estrogen yako na kiwango cha Testosterone katika uwiano sahihi.


7. Hupunguza maumivu ya mwili
Kabla ya kufikiria panadol au aspirin, jaribu kufika kileleni au mshindo kwa kupiga punyeto.
"kilele au mshindo wa punyeto unaweza kuzuia maumivu," anasema Barry R. Komisaruk, PhD, Profesa, Chuo Kikuu cha New Jersey State.

8. Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer

Punyeto inaweza kusaidia kuizuia saratani ya kibofu.
Watu ambao hupiga puli(angalau mara 10 kwa mwezi) huwa wako katika kiwango cha chini cha uwezekano wa kupata kansa ya kibofu wakati wa utafiti moja ulisema, ambayo ulikuwa ukichapishwa katika jarida la American Medical Association.


9. Inaboresha hali ya usingizi
Unaweza kukubali kwa haraka zaidi baada ya kupiga punyeto, na kwa sababu nzuri. "Baada ya kufika kileleni au mshindo, homoni ya prolactin hutolewa, ambayo hujihusisha na hisia ya utulivu na usingizi" baada ya punyeto, anasema Sheenie Ambardar, MD Mtaalamu wa magonjwa ya akili huko West Hollywood, Califonia.

10. HUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO
Kupiga punyeto kunaweza kupunguza mawazo na wasiwasi.


Imetolewa Na Umoja Wa Vijana Wa CHAPUTA (UVICHAPUTA) Tawi la Jamiiforums
Paka Mweusi Gizani
Hii kitu mm nshashindwA kuiacha yan mm mtaji image tuu basi namaliza kazi
 
Kampeni ya "jitoe chaputa" ilianza kuwa na mafanikio mazuri ila kwa uzi huu naona kampeni ikifeli kwa mwendokasi.


Weka na hasara 10 ili tubainishe wapi kuna faida zaidi.


kampeni hiyo imeshindikana Mkuu kila siku wanachama wanakuja na sababu mpya za kuboresha chama
 
hao wanaoongoza kampeni nao ni chaputa kindakindaki unategemea nini

hasara zipo ila ni za kawaida tu
1.ukizidisha unakuwa domozege
2.ukipiga kwa kutumia sabuni zenye chemicals kali huharibu ngozi
3.ubinafsi
4.kudharau madem
5.ubahili
6.kuwahi kufika kishindo.
7.dudu kulegea na hata kukosa nguvu.
8.kupungua au hata kukosa nguvu za kiume.
9.kupungua size ya dudu.
10.......

Poleni chaputa nawaona uzee wenu mkila tamu kwa macho maana dudu zitakuwa zinalala usingizi kabisa.
 
Hii kitu mm nshashindwA kuiacha yan mm mtaji image tuu basi namaliza kazi
haaaa haaaa haaaa mkuu inabidi ifike wakati ustaafu tu uachie wengine ila utabaki kuwa mwanachama mtiifu na siku moja moja unakumbushia chezo
 
6.kuwahi kufika kishindo.
7.dudu kulegea na hata kukosa nguvu.
8.kupungua au hata kukosa nguvu za kiume.
9.kupungua size ya dudu.
10.......

Poleni chaputa nawaona uzee wenu mkila tamu kwa macho maana dudu zitakuwa zinalala usingizi kabisa.
mkuu acha uongo me nikilitoa dudu langu mbele ya demu wako atakukimbia. na mziki ntakaompa atakusahau kwa hiyo point zako ni uongo. maumbile ya dudu ni kurithi na nguvu za kiume ni lifestyle tu
 
kwenye msongo wa mawazo hapo nakataa,
kwa nini unakataa mkuu toa maelezo.

chukulia mfano mwajuma anakusumbua deile siku anakualika mkutane mwenyewe ukajua siku hiyo anakukubali kumbe anakuita anakuchamba na matusi juu. ukaamua kurudi home ukachukua wese ukanyetuka viwili chap kwa kumtumia irene dem mkali kuliko mwajuma je hapo hujatuliza msongo wa mawazo? msongo huu kumbuka sio wa kimaisha au kufukuzwa kazi
 
Nawaona wenye chama chenu...mimi nilishastaafu huo mchezo kitambo sana
 
daaa leo nimependa kushare na wadau maada hii kuona wana wanadanganyana sana eti musterbation njia sahihi ya kujilidhisha in short is more than dangerous madhara yake ni zaidi unavofikili
1.unaharibu ukuaji wa uume...kwa kuua vimishipa vidogo sana vya damu(source of vibamia).
2.inaua sana nguvu za kusimamisha uume unaposex
3.inaharibu sana mfumo wa akili huua sana uwezo wa kufanya mambo ya msingi kimaisha
4.inasababisha msongo mkubwa wa mawazo,uvivu,uzembe na kutokujiamini sana.
5.inaharibu mahusiano sana kwa kutomlidhisha mwenzako hasa ukiingia tu tayari ushacheka.
6.ukosefu wa nguvu za mwili akili upeo na kupoteza kumbukumbu sana ktk mambo yako.
7.inaharibu sana mfumo mzima wa maisha yako na kujiona mtu wa hatia mda wote kutokana na kutengeneza mahusiano mabaya na muumba wako.
8.kutopenda kushirikiana na wenzako kwa mambo mengi ...wengi hupenda kukaa peke yao alone.
9.husababisha kuathilika sana kisaikolojia ktk akili kutokana na sex imagination znazotengenezwa.
10.inatengeneza sugu ktk uume ambapo ukikutana na k.huleta maumivu kwa uke so sio kila milalamiko means raha sometimes maumivu but anavunga tu.
11.thamani yako kama mwanaume inapungua kupita kiasi ukweli usiopingika.
11a.inasababisha kuchukulia tu poa hata mambo ya maana uzembe uliokithili dat true
12.kwa watu wengine inasababisha ulafi.
13.migogoro katika mahusiano isioisha kutokana na kutokuwa na mudi kabisa na mwenzako.
14.inatoa kabisa nguvu ya kufanya mambo yako kuwa inspired kujituma.

Uamuzi ni wako kunyoa au kusuka........
 
Sio kweli bhana nyeto haina madhara yeyote me napiga ni mwaka wa 8 sasa na mbunye napiga kama kawa
 
Nimekua shabiki wa huu mchezo tangu 2003 nilipoanza form one,lakini tangu nimeanza kupiga hii kitu kimb** changu hakikui wala kupungua yani kiko palepale ila kikisimama kina urefu nchi 6.2 sasa sijui ndo kibamia au ni saiz ya kat,au labda badae kitakua sigara kabisa

Kuacha haka kamchezo siwez ila nikiwaga na dem napiga mpaka ananyoosha maelezo,wengine wanasema kamchezo haka kana madhara lakini nafikiria Mimi tangu 2003 mpaka leo nakafanya na sioni madhara au kwakua situmii kemikali,sabuni hata vilainishi,then kako very active yan hapa nikiona paja la binti tu kinasimama mpaka nakosa poz,na kamchezo naendelea nako

Labda niulize madhara yanatokea baada ya muda gan ?

maana Kama ni watoto nimeshafyatua wa kutosha na wengine wanakuja
 
Back
Top Bottom