Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
hao wanaoongoza kampeni nao ni chaputa kindakindaki unategemea niniKampeni ya "jitoe chaputa" ilianza kuwa na mafanikio mazuri ila kwa uzi huu naona kampeni ikifeli kwa mwendokasi.
Weka na hasara 10 ili tubainishe wapi kuna faida zaidi.
hasara zipo ila ni za kawaida tu
1.ukizidisha unakuwa domozege
2.ukipiga kwa kutumia sabuni zenye chemicals kali huharibu ngozi
3.ubinafsi
4.kudharau madem
5.ubahili