Since 2003,,Zipo njia ambazo zinaweza kusaidia kuacha huo mchezo, japo kisaikolojia inasemekana kwamba ukisha anza huo mchezo ni vigumu sana kuacha,, Pamoja na hayo kuna njia mbali mbali ambazo zinaelezwa kwamba upiga punyeto zinaweza kumsaidia aache mchezo huo,, Kikubwa ni kuacha kutulia mkazo vile vitu ambavyo n vichoche mwili(xvideo),,Ukitaka njia nyingine na ushauli nitafute,,
 
Tafiti zipo nyngi sana ambazo zinafanana effects kama kufeel worthless in life, kuumwa macho, kutokujiamini na kujaa mkono mmoja.
Mi sijawah kuumwa macho wala nn,niko vzr na nazalisha kama kawaida

Mi nadhan madhara ni kwa wale wanaotumia sabuni na vilainishi ambavyo hua vina kemikali,lkn ukipractice kavu bas madhara labda uzeeni ambako wengi sidhan Kama tutafikia huko
 
Jamaa amesema hana mpango wa kuacha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi sijaomba njia za kuacha kupiga hii kitu,sihitaj kuacha maana najiepusha na zinaa,nachoomba kujua ni madhara yapi nitapata maana ni miaka mingi imepita sioni madhara nadhan miaka 14 sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…