boris maganga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 382
- 378
Asante bana kwa ushauri ,nyeto ni tatizo Kwa vijanaPole sana kwa hilo tatizo, ni kweli suala la punyeto ni tatizo kwa vijana walio wengi. Kwanza nakupongeza kwa kuamua kujieleza ni hatua nzuri ya kushinda huo mitihani. Moja usipende kukaa mwenyewe muda mwingi hasa kukaa mwenyewe chumbani, pili acha kuagalia mikanda ya x, picha za uchi, au kutembelea tovuti za ngono, tatu muombe mungu sana akusaidie ili hilo shetani liweze kuondoka, nne epuka story za kimapenzi hasa unapokaa na washikaji zako hapo utawin kwa asilimia kubwa
Uwazi upi ,au na wewe unataka kuanza kupiga nyeto.Nilikuwa nina ushauri mzuri juu ya tatizo lako ila as long as umeshindwa kuwa muwazi
Sorry sitaweza kukusaidia kwa lolote
Asante nashukuru [emoji120]Uwazi upi ,au na wewe unataka kuanza kupiga nyeto.
Dah! ndio maana natafuta suluhisho mapema nisije nikaumbuka ,kama ni jipu limeshapasuka.Utapata shida ukubwani utakapotaka kupanda mlima na jogoo likigoma kuwika!! Utaiibika sana mbele ya warembo amini usiamini . Pale utakapotengewa uwanja na mchezaji akigoma kunyanyuka ni aibu babu kubwa
Uushinde moyo wako basiDah! ndio maana natafuta suluhisho mapema nisije nikaumbuka ,kama ni jipu limeshapasuka.
Fuatilia siasa za bongo especially issue ya makinikaHuu mchezo niliuanza wakati nipo primary wakati ule tunakwenda kuchek movie za kihindi kwenye mabanda ya video,basi navizia usiku mida ya SAA 4,natoroka home nakwenda kucheki movie za x,nimepiga nyeto mpaka namaliza form6,,,baadaye niliona ni ubwege kupiga nyeto,nikatafuta girlfriend,ikawa kama nimejichongea kwani ndio napiga nyeto ya kufa mtu,asubuh,mchana usiku,,,sina raha na hii kitu.punyeto a.k.a nyeto
Mkuu ni pm kuhusi hiyo dawaTuache punyeto vijana,mi nimeanza dozi ya kienyeji baada ya kuwa napiga kimoja chalii
Mkono tu unaonyesha kuwa ni nguliTuache punyeto vijana,mi nimeanza dozi ya kienyeji baada ya kuwa napiga kimoja chalii
Yaliyoandikwa ndani ya huu Uzi ni ukweli 100%,Kwa heri nyeto umenitesa vya kutosha
Poa mkuu aisee kila la heriYaliyoandikwa ndani ya huu Uzi ni ukweli 100%,Kwa heri nyeto umenitesa vya kutosha
Kweli?Daaah umekufa mkuu hapo hakuna tiba ni sawa na nyongo ya mamba uwezi kupona utawasalimia marehemu huko uendapo ndo njia yetu wote