boris maganga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 382
- 378
Asante bana kwa ushauri ,nyeto ni tatizo Kwa vijanaPole sana kwa hilo tatizo, ni kweli suala la punyeto ni tatizo kwa vijana walio wengi. Kwanza nakupongeza kwa kuamua kujieleza ni hatua nzuri ya kushinda huo mitihani. Moja usipende kukaa mwenyewe muda mwingi hasa kukaa mwenyewe chumbani, pili acha kuagalia mikanda ya x, picha za uchi, au kutembelea tovuti za ngono, tatu muombe mungu sana akusaidie ili hilo shetani liweze kuondoka, nne epuka story za kimapenzi hasa unapokaa na washikaji zako hapo utawin kwa asilimia kubwa