Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole sana kwa hilo tatizo, ni kweli suala la punyeto ni tatizo kwa vijana walio wengi. Kwanza nakupongeza kwa kuamua kujieleza ni hatua nzuri ya kushinda huo mitihani. Moja usipende kukaa mwenyewe muda mwingi hasa kukaa mwenyewe chumbani, pili acha kuagalia mikanda ya x, picha za uchi, au kutembelea tovuti za ngono, tatu muombe mungu sana akusaidie ili hilo shetani liweze kuondoka, nne epuka story za kimapenzi hasa unapokaa na washikaji zako hapo utawin kwa asilimia kubwa
Asante bana kwa ushauri ,nyeto ni tatizo Kwa vijana
 
Utapata shida ukubwani utakapotaka kupanda mlima na jogoo likigoma kuwika!! Utaiibika sana mbele ya warembo amini usiamini . Pale utakapotengewa uwanja na mchezaji akigoma kunyanyuka ni aibu babu kubwa
 
Utapata shida ukubwani utakapotaka kupanda mlima na jogoo likigoma kuwika!! Utaiibika sana mbele ya warembo amini usiamini . Pale utakapotengewa uwanja na mchezaji akigoma kunyanyuka ni aibu babu kubwa
Dah! ndio maana natafuta suluhisho mapema nisije nikaumbuka ,kama ni jipu limeshapasuka.
 
Nilijaribu kuacha Mara kibao,nikipiga nyeto nawaza hii ndio ya mwisho kumbe ndio usugu wenyewe,lakini Kwa Sababu nimeamua kuweka tatizo wazi najua ni ishapona
 
Huu mchezo niliuanza wakati nipo primary wakati ule tunakwenda kuchek movie za kihindi kwenye mabanda ya video,basi navizia usiku mida ya SAA 4,natoroka home nakwenda kucheki movie za x,nimepiga nyeto mpaka namaliza form6,,,baadaye niliona ni ubwege kupiga nyeto,nikatafuta girlfriend,ikawa kama nimejichongea kwani ndio napiga nyeto ya kufa mtu,asubuh,mchana usiku,,,sina raha na hii kitu.punyeto a.k.a nyeto
Fuatilia siasa za bongo especially issue ya makinika
 
Tuache punyeto vijana,mi nimeanza dozi ya kienyeji baada ya kuwa napiga kimoja chalii
97b8e95777a4a4dc28c40f9f7ff82c79.jpg
Mkuu ni pm kuhusi hiyo dawa
 
Back
Top Bottom