bila shaka utakuwa upo kwenye chama chetuKwa nini ajinasue? Ni mara elfu kujipa raha mwenyewe kuliko kuhangaika mitaani hovyo hovyo. Bora aendelee tu mpaka atakapopata mtu wa uhakika. Sioni ubaya wowote katika hilo
Proudly...bila shaka utakuwa upo kwenye chama chetu
Hahaha...tofauti yangu na mtoa mada ni kwamba yeye anataka kuacha, mimi sina mpango na wala sijutii hata chembeMmh nawe utakuwa mshirika
Raha unajipa mwenyewe tu .your so selfish.Tuzipate pamoja Reina hhahahProudly...
Ubaya ni pale unapokua addict, kiasi huwezi kusema hapana mbele ya fursa ya kujichua inapotokea.Kwani ubaya wake ni nini?
Addiction ni kitu kingine na ni suala la mtu binafsi kuweza kuwa in charge wa maisha yake. Huwezi sema watu wasinywe pombe kisa watakuwa addicts.Ubaya ni pale unapokua addict, kiasi huwezi kusema hapana mbele ya fursa ya kujichua inapotokea.
Mkumbuke waziri wa Rwanda aliyepiga puchu ofisini na Gaucho.
Matatizo mengi yanayohusishwa na puchu, ya kiafya na ya kisaikolojia, huja kwa wale ambao ni addicts.
Ni kweli ni swala la mtu binafsi.Addiction ni kitu kingine na ni suala la mtu binafsi kuweza kuwa in charge wa maisha yake. Huwezi sema watu wasinywe pombe kisa watakuwa addicts.
Kwa hiyo unakubali kuwa hakuna ubaya (on the face of it). Hapo tuko pamojaNi kweli ni swala la mtu binafsi.
Uliuliza kama kuna ubaya nikajibu ubaya huja ila kama kuna kiwango umefikia, hii hoja yako ya sasa hivi imebase kwenye kudadavua uraibu kuliko swali lako la mwanzo.
Kuwa mraibu ni mchakato, haitakuja ghafla. Na hua hatujui ikiwa sasa hivi ndiyo tumeshakua waraibu ama la..
Lakini ukiona unatamani uwe peke yako ili upige puchu kiasi kwamba unaweza kuzikacha shughuli zako za msingi....jiangalie vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Raha unajipa mwenyewe tu .your so selfish.Tuzipate pamoja Reina hhahah
I SeeProudly...
Sawa. Ila ukuni una raha yake. Trust me, you regret!Hahaha...tofauti yangu na mtoa mada ni kwamba yeye anataka kuacha, mimi sina mpango na wala sijutii hata chembe
Asante sana mkuuMkuu Hongera ulivyo sema vyote ni sawa hakuna kitu cha kuongeza hapo
Umenena mkuu! Kuhusu uongozi nawaachia wengineMkuu hongera kwa kuacha kupiga Punyeto ingawa mwaka huu kuna uchaguzi wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania Chapuwata ungelikuwa bado unapiga wangekuchaguwa uwe kiongozi wao lakini umeacha umekosa uongozi wao. Hongera sana kwa kuacha kupiga punyeto ina madhara sana kiakili na kiafya punyeto sio kitu kizuri kiakili punyeto in haribu mfumo wa ubongo wako unakuwa una matatizo kifikra na kiafya Punyeto inaharibu mishipa ya nguvu za kiume una kuwa ukifanya mapenzi unawahi kukojoa haraka na uume wako kusinyaa wakati wote na hamu ya kufanya mapenzi unakuwa hauna tena.Ningewashauri Vijana muache kupiga Punyeto mutakuja kukimbiwa na wapenzi wenu watakuwa wanakwenda kwenye michepuko kwa sababu hamuwafikishi kileleni ukisha kumaliza wewe Dume haja yako hutaki tena kurudia kufanya mapenzi. Matokeo yake mwenzako aka mpenzi wako wa kike haumfikishi kileleni atakusaliti siku moja aende nje ya ndoa akamalizwe haja yake ya kufika kileleni shauri yenu vijana. Mukisalitiwa na wapenzi wenu wa kike mimi simo.
Nashukuru kusikia hivyo karibu tena mkuuShukran saana Mkuu. Hakika kupitia Uzi waako nimejifunza mengi