Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kwa nini ajinasue? Ni mara elfu kujipa raha mwenyewe kuliko kuhangaika mitaani hovyo hovyo. Bora aendelee tu mpaka atakapopata mtu wa uhakika. Sioni ubaya wowote katika hilo
bila shaka utakuwa upo kwenye chama chetu
 
Unajichukulia sheria mkononi(mkono kati).punguza kuangalia pilau zinachochea hamu.kama ni ke njoo pm haha
 
Selfie ni perfect way ya ku avoid kuchunwa na miznguo ya papuchi, but selfie kwa kutumia mikono no hatari sana, pigs selfie kwa njia nyingine ambayo haiathir mishipa ya damu kwny penis...
 
Id yako ni ya kike. Naassume wewe ni ke.

Fanya mazoezi haswa squats, kuruka kamba na kichura chura.
Uwe unakimbia kwa interval ya leo ukikimbia kesho haukimbii.

Main dish ya zoezi lako iwe squats kwa wiki nzima ya kwanza.

Wiki ya pili main dish iwe kukimbia, hivyo wiki hii utakimbia kila siku ila squatsa utafanya kwa interval ya ukifanya leo kesho haufanyi.

Na kwakua wewe ni ke hizo squats fanya bila kubeba mzigo shingoni.

Ukimaliza hizi wiki mbili niconsult upya
 
Kwani ubaya wake ni nini?
Ubaya ni pale unapokua addict, kiasi huwezi kusema hapana mbele ya fursa ya kujichua inapotokea.

Mkumbuke waziri wa Rwanda aliyepiga puchu ofisini na Gaucho.

Matatizo mengi yanayohusishwa na puchu, ya kiafya na ya kisaikolojia, huja kwa wale ambao ni addicts.
 
Addiction ni kitu kingine na ni suala la mtu binafsi kuweza kuwa in charge wa maisha yake. Huwezi sema watu wasinywe pombe kisa watakuwa addicts.
 
Addiction ni kitu kingine na ni suala la mtu binafsi kuweza kuwa in charge wa maisha yake. Huwezi sema watu wasinywe pombe kisa watakuwa addicts.
Ni kweli ni swala la mtu binafsi.

Uliuliza kama kuna ubaya nikajibu ubaya huja ila kama kuna kiwango umefikia, hii hoja yako ya sasa hivi imebase kwenye kudadavua uraibu kuliko swali lako la mwanzo.

Kuwa mraibu ni mchakato, haitakuja ghafla. Na hua hatujui ikiwa sasa hivi ndiyo tumeshakua waraibu ama la..
Lakini ukiona unatamani uwe peke yako ili upige puchu kiasi kwamba unaweza kuzikacha shughuli zako za msingi....jiangalie vizuri
 
Kwa hiyo unakubali kuwa hakuna ubaya (on the face of it). Hapo tuko pamoja
 
Nilipata scholarship nchi ya kiarabu, called Brunei. Nilipofika kule ilinilazimu kuchukua zaidi ya mwaka kurudi Tz due to mihula na upande wa pesa.

As a normal na rijali nilitamani kuwa na mpenzi. Sasa chuoni nilikuta waafrika tupo takriban 12 tu na most of us were men na wabibi wa umri mkubwa wachache.

Siku moja nilibanwaaa ila sheria za hapo ni balaa pamoja na ubaguzi wa ndugu wale. Nilikosa kabisa mpenzi nikajisemea I WILL STAY ALONE for the whole period. Nilikuja kupata chaka moja very secrecy na risk baada ya kutamani sana, pale nililipia lot of hela nikawakula waarabu watatu in one day. Tulinusurika kukamatwa na niliponea tundu la sindano!!! Adhabu yake huwa ni mbaya sana! Nikasema, I wont die here kisa papuchi!!!

Nikaamua sasa ni kitabu na .......

From that time I was affected na nipo kwenye zoezi gumu la kuacha. I have scored 90% in process na nimesema I MUST STOP THIS SHIT!!!

Ushauri: Punyeto ni adui wa self life ila ni kinga kwa migogoro na mademu plus magonjwa ya zinaa.

Tuishi maisha halisia, hatukuumbwa kufanya nyeto. Kujizuia ndio uanaume halisi.
 
Mkuu hongera kwa kuacha kupiga Punyeto ingawa mwaka huu kuna uchaguzi wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania Chapuwata ungelikuwa bado unapiga wangekuchaguwa uwe kiongozi wao lakini umeacha umekosa uongozi wao. Hongera sana kwa kuacha kupiga punyeto ina madhara sana kiakili na kiafya punyeto sio kitu kizuri kiakili punyeto in haribu mfumo wa ubongo wako unakuwa una matatizo kifikra na kiafya Punyeto inaharibu mishipa ya nguvu za kiume una kuwa ukifanya mapenzi unawahi kukojoa haraka na uume wako kusinyaa wakati wote na hamu ya kufanya mapenzi unakuwa hauna tena.Ningewashauri Vijana muache kupiga Punyeto mutakuja kukimbiwa na wapenzi wenu watakuwa wanakwenda kwenye michepuko kwa sababu hamuwafikishi kileleni ukisha kumaliza wewe Dume haja yako hutaki tena kurudia kufanya mapenzi. Matokeo yake mwenzako aka mpenzi wako wa kike haumfikishi kileleni atakusaliti siku moja aende nje ya ndoa akamalizwe haja yake ya kufika kileleni shauri yenu vijana. Mukisalitiwa na wapenzi wenu wa kike mimi simo.
Umenena mkuu! Kuhusu uongozi nawaachia wengine
 
Back
Top Bottom