[emoji3][emoji3]sijui ndo mwisho wa dunia maana naona mambo yamekuja kuwa Vice versa. Kijana mwenzetu anataka kuongeza mapupu ilihali kwa wengine ni mizigo! we hushangai mkuu?

Labda wakati wa kuggdn anataka shemeji awe anazimeza vzr zisioneshe utofauti
 
Punyeto haina athari kimwili isipokuwa kisaikolojia, una tatizo lingine ambalo limesababisha hizo korodani kuwa hivyo lakini sio punyeto.
 
Shukuru Mungu korodani imekuwa ndogo kuliko the man Himself angegeuka kuwa kibamia.Achana na Punyeto ni laana iliyo kuu.
 
Kwa hapo mkuu tafuta watu wa pwani utaweza pata majibu na kama unataka ziwe kubwa nadhani utakuja kutuletea tena uzi hapa ukitaka kujua ni wapi wanapunguza ukubwa wa korodani
 
Dah! Aisee [emoji855][emoji855][emoji855] watu wanaongeza uume wewe unataka kuongeza mabumbu? Tatizo nini mkuu!?!! Noma sana,au unataka busha.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…