Punyeto ni nini na nini madhara yake?
[emoji3][emoji3]sijui ndo mwisho wa dunia maana naona mambo yamekuja kuwa Vice versa. Kijana mwenzetu anataka kuongeza mapupu ilihali kwa wengine ni mizigo! we hushangai mkuu?

Labda wakati wa kuggdn anataka shemeji awe anazimeza vzr zisioneshe utofauti
 
Punyeto haina athari kimwili isipokuwa kisaikolojia, una tatizo lingine ambalo limesababisha hizo korodani kuwa hivyo lakini sio punyeto.
 
Shukuru Mungu korodani imekuwa ndogo kuliko the man Himself angegeuka kuwa kibamia.Achana na Punyeto ni laana iliyo kuu.
 
Wanabodi husika na kichwa apo juu mimi nikjana naelekea 25 yrs,niende kwenye tatizo langu ni kwamba katika balehe yangu 14 yrs niliingia rasmi kwenye hii ishu ya nyeto nilidumu nayo mda mrefu naweza sema niliacha nikiwa na kam 19 yrs.

Hasa naona kabisa haijaniacha salama kimaumbile ya korodani ni kwamba zimekuwa ndogo mpaka naogopa yani moja yaupande wakushoto nikiishika kama vile gololi za watoto vile, dah inaniogopesha endapo ntaingia kwenye ndoa manake nikisex malamoja kwa wiki zinapungua hasa naogopa mfano nimeoa afu wiki nzima nikipiga shoo dah naogopa kweli naonakama zitapotea.

Kwenye ishu yakusimamisha sina tatizo kabisa yani ni rijali ipo strong tatizo ni korodani kuwa ndogo sana

Naombeni msaada wenu nitumie njia gani au vyakula gani kuongeza korodani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapo mkuu tafuta watu wa pwani utaweza pata majibu na kama unataka ziwe kubwa nadhani utakuja kutuletea tena uzi hapa ukitaka kujua ni wapi wanapunguza ukubwa wa korodani
 
Dah! Aisee [emoji855][emoji855][emoji855] watu wanaongeza uume wewe unataka kuongeza mabumbu? Tatizo nini mkuu!?!! Noma sana,au unataka busha.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom